Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Watanzania wengi wanamshobokea Magufuli kwa Stockholm Syndrome.Duh!
Ugonjwa wa mtu aliyetekwa na gaidi kumpenda na kumshobokea gaidi aliyemteka.
Watanzania wengi wanamshobokea Magufuli kwa Stockholm Syndrome.Duh!
Magufuli na Nyerere ni mbingu huku Mwinyi, Jakaya na Samia ni ardhi.secretarybird njoo uchangie huku vitu vya msingi achana na mambo ya mbususu
Ila wewe sio great thinker Kama huwezi kujibu mada basi unapita kimyakimya sio Kubandika kejeli umetuona sisi wote ni watoto?Hizi mada wala hamtaki kujihusisha nazo ila zingekuwa mada za kula mbususu,kula tunda kimasihara au chai za holoholo mngejazana kibao
Duh!
Yani mimi niweze kuwaongelea Nyerere na Magufuli kweli! na wakati sijui chochote kuhusu siasa
Huu uzi niliukuta tu wakati nasubiria daku nikaona bora nipoteze muda pamoja na kumkejeli muanzisha mada.
Marais niliowashuhudia mimi ni wawili tu Magufuli na Samia na Kikwete kwa mbali hao wengine hata siwajui.Magufuli na Nyerere ni mbingu huku Mwinyi, Jakaya na Samia ni ardhi.
Mkapa yuko kwenye ozone layer kwa sababu alijitahidi kidogo.
Magufuli ni faya.
Magufuli alikuwa problem fixer, ndio kuna moves alikurupuka na kuleta madhara mfano issue ya korosho.Nyerere alikuwa bora lakn kama angeongezea sifa za kiMagufuli ingekuwa bora zaidi maana yake,
Nyerere + Magufuli = Nyerere bora zaidi
Nilimpendea kwenye usubutu na maamuzi magumu...Magufuli alikuwa problem fixer, ndio kuna moves alikurupuka na kuleta madhara mfano issue ya korosho.
Ila Magufuli alikuwa trouble shooter wa underlying issues za Tanzania. Mfano bad culture iliyopo usalama wa taifa hawa watu wanaamini hizo ni nafasi za kupiga deal kubwa.
Ushawahi kukutana na hawa watu wanavyoamini hizo ni opportunity ya kupiga wao deal, kuliko kuifanyia kazi nchi.
Ni tatizo kubwa, sasa unatengeneza culture gani ya walinzi wa nchi wenye tamaa. Ndio kitu ambacho Magufuli alikuwa anapigania kukiweka sawa, uwezi kuwa popular serikalini kwa mazingira waliyozoea.
Tanzania ni nchi ambayo, inaelekea pabaya sana kwa uongozi uliopo kwa sababu nyingi sana.
Hatusemi kwa kujiandikia tu ni kwa ku-analyse mambo kadhaa; mbele yenu sio nzuri.
Magufuli was special, if you are analytical na uelewa wa siasa za kuendesha nchi.
Ni chizi tu au mtu mwenye uelewa mdogo anaweza sema otherwise dhidi ya dhamira ya Magufuli kwa Tanzania.
Shughuli ya kuendesha nchi sio ya mzaha.
Hayo ni mambo vision ya tu.Nilimpendea kwenye usubutu na maamuzi magumu...
Kuna mambo bila maamuzi ya kiume tutaendelea kua bendera fata upepo.
Magulifu alikua anaamua mambo hata kama kuna mashirika au capitalists wamesema...
Kikubwa alichozingatia ni kama taifa tunamasrahi nalo hilo jambo, kama kwa hali yetu na mazingira yetu huku tunamasrahi nalo basi hakuona ugumu kipishana nao kimawazo
Mfano: ujenzi WA BWAWA JNHEP.
Namna ya kuikabili Covid19,
Kama asingekua na sifa ya maamuzi magumu na usubutu tungekua unatoa macho tu hadi Leo.
Je inawezekana wa Tanzania wengi kua na tatizo la Stockholm syndrome?Watanzania wengi wanamshobokea Magufuli kwa Stockholm Syndrome.
Ugonjwa wa mtu aliyetekwa na gaidi kumpenda na kumshobokea gaidi aliyemteka.
Hebu ziorodheshe hapa tuzichambue.Lakini ukiorodhesha sifa tano za ideal president kwa nchi ya Tanzania utaona mjomba alikua nazo.
1. Kutokataka serikali ikopeshwe kwa hela za taasisi za serikali inazoziweka kwenye commercial banks.Hebu ziorodheshe hapa tuzichambue.
Usimfananishe baba wa Taifa na garashaView attachment 3273778View attachment 3273779
Kutokana na mitazamo tofauti ya wananchi juu ya wenyenchi, kila awamu ya uongozi ukihudumu.
Mimi binafsi natambua umuhimu wa kila awamu kwa nafasi yake, ila awamu ya I & V ni za viwango.
Kuna kufanya vizuri na kuna kuweka viwango(set standards) unakua mfano kwa wakufuatao./igwa
Kwa mtazamo wangu awamu hizo mbili ni ideal for the Government of URT||JMT
Fikra zetu; "tungekua na kiongozi wa aina/sifa hizi angetufaa sana" surprisingly walishakuepo.
Tofauti ya mitazamo wa wananchi dhidi ya utawala kigezo kikuu ni mgongano wa kimasrahi.
Sasa tukiweka siasa (vyama) na mgongano wa kimasrahi pembeni, wewe binafsi kwa maoni na mtizamo wako ungependa raisi anayetakiwa kuiongaza Tanzania awe wa namna gani!? au awe na sifa kuu zipi!?
Itapendeza ukitaja sifa zisizopungua tano, tusiishie tu kukosa na kulaumu tumwage wino hapa kupata Tanzania Idealistic President.
Karibuni...
Ukiwa kiongozi katika democrasia ukataka unyooke kama sheria inavyosema kana watu hawatakuelewa na hata wa chama chako watakuona kama unakipoteza unakiharibu chama(mvuto unapotea)Hayo ni mambo vision ya tu.
Vita kubwa ya Magufuli ilikuwa kubadili culture ya civil servants, huko ndio kulikuwa na ugomvi halisi na mgumu.
Na hakuna kiongozi wa Tanzania atakaeweza kuindeleza nchi bila ya kutatua ilo tatizo.
Serikalini (utumishi) ni shida na hawataki kubadilika. Bila ya kuwabadili hao watu hakuna maendeleo.
Wao wanataka mtu kama Samia, sasa ni kipi kinachoendelea leo kwa mtu mwenye akili timamu ambae hakutabiri kukuwa kwa madeni, kushuka kwa thamani ya shilling, you name it mimi naweza kukupa mchango wa utabiri kutoka 2021 hiyo ndio fate.
Magufuli was special na without intervention hawa watu hiyo miaka mitano ya mbele wanaenda iharibu nchi balaa.
Siasa pia ni science, ndio maana utaona uwa naandika usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili. Na analysts ndio usalama wa taifa watu ambao wanaweza kukwambia move A matokeo ya mbele ni B.
Sinangi au kutukana watu bure kwenye siasa ni baada ya ku-evaluate kama topic unaijua unaweza pima uwezo wa michango.
Sasa ukisikia senior civil servant huko kwa wenzetu sio watu wa mzaha-mzaha hata kidogo.
Kwa paragraph hizo mbili nakubaliana na wewe 100%Ukiwa kiongozi katika democrasia ukataka unyooke kama sheria inavyosema kana watu hawatakuelewa na hata wa chama chako watakuona kama unakipoteza unakiharibu chama(mvuto unapotea)
Ukiwa mzalendo wa kweli mwisho wa siku utajikuta uko pekeako hakuna anaekusapoti, kwasababu kutakuwa umeshagusa masrahi ya watu wengi na wenye nguvu.
Alo unakaujanja fulani hivi utakua unacheza sana Chess, draft...Hebu ziorodheshe hapa tuzichambue.
Hizo hela Magufuli aliziweka pamoja halafu akazipiga vibaya sana.1. Kutokataka serikali ikopeshwe kwa hela za taasisi za serikali inazoziweka kwenye commercial banks.
Halafu hela hizo-hizo za serikali banks inatumia kununulia government treasury bills.
Alipotaka ziwekwe kwenye account ya hazina kuondoa huo upuuzi ulizuka ugomvi mkubwa sana kwenye jamii, eti anaua biashara ya mabank.
Kosoa hatua hizo kwanza tukupe mifano mingine ya uzalendo wake.