JE MAGUFULI<=>kama<=> NYERERE( Njoo tumuunde Rais kwa mfano wetu)

Alo unakaujanja fulani hivi utakua unacheza sana Chess, draft...

Unanigeuzia kibao, Hutaki kuingia mtegoni, We taja hata sifa mbili tu unazoona hizi kwa hali yetu hii kama nchi tukiwa na kiongozi wa aina hii tuta-break circle (startus quo iliyopo). Au kwa sifa hizo hataishia kufanya vizuri tu bali ataweka viwango, maana kama kufanya vizuri wote wamefanya vizuri na kila awamu ina mchango wake.
Mkuu,

Sifa uziseme wewe halafu kuzitaja nizitaje mimi?
 
Na ndio lengo la huu uzi Kwamba mchangiaji kama akipenda, Aorodheshe sifa kuu ambazo yeye kwa mtazamo wake anaona zitafaa kuiongoza Tanzania endapo kiongozi huyo atakuwanazo...

Kutokea hapo wengine watakua wanachambua na kutoa maoni kama sifa ipi inafaa na ipi haifai na ni kwanini, Mfano;
Kwa maoni yangu sifa hizi naona zinafaa.

1)Kiongozi mwenye kujitoa sadaka(anayethubutu kuji-sucrifice yeye kwa maslahi ya wote na sio anaye-sacrifice raia kwa maslahi yake).

2)Kiongozi mwenye mvuto kwa watu (charisma, kiasili anapendwa na watu wakimuona wanasikia amani)

3)Kiongozi mwenye uthubutu(anatumia nguvu na mamlaka aliyonayo).

4)Kiongozi mwenye maamuzi magumu(anaejiamini na anamsimamo katika kile anachokiamini)

5)Mwenye hekima (uwezo kutatua matatizo na changamoto hasa za dharura kwa usahihi mkubwa).
 
Hizo sifa zote, ukiondoa hiyo ya 5 tu labda, hata Adolf Hitler alikuwa nazo.
 
Basi kwa hali ya maendeleo tuliyokuwa nayo ndio zinatufaa kama tunahitaji mabadiliko...

Ila kama tumeridhika na hari hii na hatuoni shida kuendelea kusindikiza wezetu (watugeuze shamba la bibi) basi tuendelee hivi hivi.

Demoklasia ni kwa mataifa yaliyofikia boom stage (yaliyojipata kama US, China, Japan, Germany etc) hawana chakupoteza hata wakileta mzaha kwenye madaraka,

Ila kwa nchi inayojitafuta ku practice democracy ni uongo/unafiki ni sawasawa na mtu alieridhika huku haja accomplishe chochote cha muhimu bado.
 
Back
Top Bottom