AsanteKaribuni...
NIKIICHUKUA HII MADA NIKAIANZISHA MIMI WATAJAZANA VILEVILE. Ila nina mashaka Al-mukheef mbona unaupromoti sana kana kwamba ni wa kwako? au una id ngapi mkuuHizi mada wala hamtaki kujihusisha nazo ila zingekuwa mada za kula mbususu,kula tunda kimasihara au chai za holoholo mngejazana kibao
Duh!NIKIICHUKUA HII MADA NIKAIANZISHA MIMI WATAJAZANA VILEVILE. Ila nina mashaka Al-mukheef mbona unaupromoti sana kana kwamba ni wa kwako? au una id ngapi mkuu
Yani kumbe wanaangalia majina.Na ninaona hapa jf mada za baadhi ya watu zikipostiwa watu hawajihusushi nazo lakini watu wengine ambao ndo kama nyinyi chap tu wamejazana haijalishi unaongelea kitu gani 😃NIKIICHUKUA HII MADA NIKAIANZISHA MIMI WATAJAZANA VILEVILE.
Mkuu sijawalinganisha ila kwa maoni yangu nimeelezea kua uongozi wao ulikua ni wa viwango vya juu,Si vema sana kuwalinganisha Mwl. JKN na Dr. JPM kutokana na wao kuongoza Taifa hili katika zama tofauti. Ukitaka kumlinganisha JPM tuanze na awamu ya 3; hao ndiyo viongozi wa zama zake. Na kiukweli JPM amewapita sana na ame-set standard ambayo kila Rais ajaye anapaswa kuifikia au ikipendeza kuipita.
Katiba hii hii ndiyo aliitumia Mwl. JKN na alijua ina mianya ya kumruhusu kuwa dikteta (hii ni kauli yake mwenyewe).Kwa kutambua udhaifu huo wa Katiba, Dr. JPM aliiutumia kuimarisha nguvu za mamlaka yake katika kila jambo, kiasi cha kuwaudhi baadhi ya watu! Kipindi chake Mwl. JKN alipata kufanya makosa, lakini alikuwa mwepesi kukiri hadharani na hata kuomba radhi, na mpaka aliandika kijitabu kidogo 'Tujisahihishe' ili kuwafanya viongozi wenzake kujirudi. Tofauti na Mwl. JKN; Dr. JPM aliamini katika mawazo na maono yake, na alipata kusema kuwa yeye ashauriki (alikuwa sawa maana Katiba haimlazimishi Rais kukubali ushauri wa mtu yeyote). Pia Dr. JPM alipata kusema hadharani kuwa akiondoka madarakani (kwa namna yeyote), haamini kama atatokea mwingine kuendeleza au kufanya kama yeye!
Kwa maoni yangu, si sahihi sana kumlinganisha JKN na JPM.
Nawasilisha.
Kwa maana watu wengi wanalalamika tu akija huyu hafai bora yule akija yule hawezi labda mwingine...Sasa tukiweka siasa (vyama) na mgongano wa kimasrahi pembeni, wewe binafsi kwa maoni na mtizamo wako ungependa raisi anayetakiwa kuiongaza Tanzania awe wa namna gani!? au awe na sifa kuu zipi!?
Itapendeza ukitaja sifa zisizopungua tano, tusiishie tu kukosa na kulaumu tumwage wino hapa kupata Tanzania Idealistic President.
Mkuu tulinganishie basi JPM na SSHSi vema sana kuwalinganisha Mwl. JKN na Dr. JPM kutokana na wao kuongoza Taifa hili katika zama tofauti. Ukitaka kumlinganisha JPM tuanze na awamu ya 3; hao ndiyo viongozi wa zama zake. Na kiukweli JPM amewapita sana na ame-set standard ambayo kila Rais ajaye anapaswa kuifikia au ikipendeza kuipita.
Katiba hii hii ndiyo aliitumia Mwl. JKN na alijua ina mianya ya kumruhusu kuwa dikteta (hii ni kauli yake mwenyewe).Kwa kutambua udhaifu huo wa Katiba, Dr. JPM aliiutumia kuimarisha nguvu za mamlaka yake katika kila jambo, kiasi cha kuwaudhi baadhi ya watu! Kipindi chake Mwl. JKN alipata kufanya makosa, lakini alikuwa mwepesi kukiri hadharani na hata kuomba radhi, na mpaka aliandika kijitabu kidogo 'Tujisahihishe' ili kuwafanya viongozi wenzake kujirudi. Tofauti na Mwl. JKN; Dr. JPM aliamini katika mawazo na maono yake, na alipata kusema kuwa yeye ashauriki (alikuwa sawa maana Katiba haimlazimishi Rais kukubali ushauri wa mtu yeyote). Pia Dr. JPM alipata kusema hadharani kuwa akiondoka madarakani (kwa namna yeyote), haamini kama atatokea mwingine kuendeleza au kufanya kama yeye!
Kwa maoni yangu, si sahihi sana kumlinganisha JKN na JPM.
Nawasilisha.
Rais kakwambia kaa na mavi yako tumboni mwako mpaka nyumbani kwako unamuona wa viwango?View attachment 3273778View attachment 3273779
Kutokana na mitazamo tofauti ya wananchi juu ya wenyenchi, kila awamu ya uongozi ukihudumu.
Mimi binafsi natambua umuhimu wa kila awamu kwa nafasi yake, ila awamu ya I & V ni za viwango.
Kuna kufanya vizuri na kuna kuweka viwango(set standards) unakua mfano kwa wakufuatao./igwa
Kwa mtazamo wangu awamu hizo mbili ni ideal for the Government of URT||JMT
Fikra zetu; "tungekua na kiongozi wa aina/sifa hizi angetufaa sana" surprisingly walishakuepo.
Tofauti ya mitazamo wa wananchi dhidi ya utawala kigezo kikuu ni mgongano wa kimasrahi.
Sasa tukiweka siasa (vyama) na mgongano wa kimasrahi pembeni, wewe binafsi kwa maoni na mtizamo wako ungependa raisi anayetakiwa kuiongaza Tanzania awe wa namna gani!? au awe na sifa kuu zipi!?
Itapendeza ukitaja sifa zisizopungua tano, tusiishie tu kukosa na kulaumu tumwage wino hapa kupata Tanzania Idealistic President.
Karibuni...
Ni yupi huyo!Rais kakwambia kaa na mavi yako tumboni mwako mpaka nyumbani kwako unamuona wa viwango?
Magufuli, hujamfuatilia kauli zake?Ni yupi huyo!
Duh!Magufuli, hujamfuatilia kauli zake?