Je, majeshi ya Tanzania na Afrika Kusini yameshidwa na M23?

Walio maliza kozi wakiend wanakua na morali sana
 
Hata kama Tshekedi aliibiwa kura Ili ashinde, je kuwatumia Rwanda (M23) kumuondoa madarakani ndio suluhisho la matatizo ya Drc?....huoni hao wavamizi ndio wanaivuruga nchi zaidi huku raia wakiteseka?
M23 si wavamizi ni wacongo walozaliwa Congo DRC wenye vinasaba vya Rwanda.

Tusiwaite wavamizi.
 
Hata AU Imeshindwa, wa kuiokoa DRC ni Wazungu pekee
My dear friend,SADAC ni walinzi wa amani tu.
Ila kama kuna upande ukikiuka watu hukaa chini na kutatua.
Goma plus M23 plus Kagame forces na labda Museveni forces plus Kenya Forces. wana biashara yao.
Nadhani ndio hapo kuna hatua mpya ambayo sio popular lakini South Africa, Angola,Zimbabwe,Wana majeshi makubwa ya kisasa watakapo fanya vitu vyao.
Mimi nawaomba wasiojua wafungue macho.Rwanda ya Kagame na hata Uganda zipo mashakani.Hivi makombola 50 Rwanda itapona?
Ruto acha unafiki Angola na South Africa wataipasua Port Mombasa.Wake up.
 
Yanotokea Congo DRC ni mfano wa Syria.

Yalotokea Syria yana baraka zote kutoka juu kaskazini.
Nafikiri ndio hivyo maana hakuna wa kuwazuia wala kelele nyingi kwa sasa
Jamaa wanazidi kukamata tu miji
 
Hapo juu waweza kuwa sahihi Ila hapo chini kwa nchi hizo zingine ( South Africa, Zimbabwe, Angola ) Hawana chao hapo na huenda wamechuma sana.

Lakini upepo hubadilika.
 
Kuna mtu ana kwambia yeye nchi kaizidi duniani ndio maana anafaa kupewa maswali
 
Na jeshi la Rwanda linalowasaidia sio vamizi ?
Hii ndo ipo disputed lakini upande wa mama siju zote husaidia pale mpwa anapokwama.

My friend hii imepangwa na ndo yatekelezwa.
 
Kwa hiyo jeshi la Rwanda linatoa msaada kwa mpwa wake M23 na sio uvamizi?
Kwa sie tulio nje twaona hivyo lakini pale jikoni penyewe haiko hivyo.

Congo ni failed state kwa sasa hivyo ni Nani mwenye nguvu ndie ataweka order.

Kama umemsikiliza Nangaa anasema wataiweka Congo kutoka failed state kuwa modern state.
 
Ndio ila watafanya jambo ila naona wimbi la wakimbizi likiamia TZ
Waje tu hakuna namna serikali ya kongo inachangamoto nyingi.Shida inaanza pale wanapotwisha mzigo mataifa kama Rwanda kuhisika directly wakisahau shida kubwa ni utawala ndani ya nchi yao
 
M23 si wavamizi ni wacongo walozaliwa Congo DRC wenye vinasaba vya Rwanda.

Tusiwaite wavamizi.

..M23 ni wavamizi.

..silaha ndogo na nzito walizonazo zimetoka nje ya DRC.

..jambo la kujiuliza ni majeshi ya Tanzania, Malawi, na Afrika Kusini, yalikuwa wapi wakati silaha nzito zinaingia DRC na kupelekea M23 kuwashambulia?

..Ndio maana nasema warudi nyumbani kwasababu hawalindi amani, wala hawaitetei nchi mwanachama wa SADC ambayo imevamiwa.
 
Tukupeleke wewe front line Goma??
Kama hujatolewa utumbo na kagame
 
Kwa sie tulio nje twaona hivyo lakini pale jikoni penyewe haiko hivyo.

Congo ni failed state kwa sasa hivyo ni Nani mwenye nguvu ndie ataweka order.

Kama umemsikiliza Nangaa anasema wataiweka Congo kutoka failed state kuwa modern state.
Nangaa atashindwa kama alivyoshindwa Joseph Kabila akipewa nchi, sababu waliomuweka hapo ni Wanajeshi wa Rwanda.

Ili kupata legitimacy itabidi apunguze idadi yao jeshini na serikalini, akitaka kufanya hivyo atapinduliwa, machafuko yatarudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…