Je, majeshi ya Tanzania na Afrika Kusini yameshidwa na M23?

Nchi ina watu wa hovyo sana.
JW na SA sio kazi yao kupigana hao ni sawa na marefa...huwezi kuingilia mgogoro wa ndani ya nchi ukae upande mmoja.
M23 ni Wa Congo hakuna nchi inaruhusiwa kuwaua
 
M23 wanapigania maslahi ya watu wa mashariki ya drc
Kazi ya jw na SA nikulinda amani za watu wa mashariki ya DRC.

Kazi ya jeshi la DRC ni kupora maslahi ya watu wa mashariki ya DRC
 
Un,usa, EU
Fuatilia ujue kiini cha Mzozo naona haujui.
Apo ni Wacongo wanapigana wao kwa wao na sio Congo inapigana na Rwanda.
Huoni Waasi wanaandaa hadi Matamasha na watu wanakuja kuwasikiliza na kuwashangalia
UN, USA, EU na DRC wanasema jeshi la Rwanda,wewe mgonjwa fungus unadai ni wacongo
 
Kwa hiyo Drc kwa sasa ina amani na makundi ya waasi yamedhibitiwa ?

..maana yake ni kwamba waliokuwa wakisababisha vurugu na mauaji ni hao M23.

..hivi kwanini hamjiulizi mbona maeneo mengine ya DRC yametulia?

..Kwani DRC ina jirani mmoja tu, Rwanda?

..Mbona mipaka na majirani wengine wa DRC iko shwari?
 
Huyo unayemseama kuwa ni kamanda mkuu, huyo ni watanzania si wa kongo.

1. Ile ni nchi huru huwez peleka majeshi yako huko bila taratibu.

2. Vita ni gharama; kumbka had sasa tanzania tunaugulia madhara ya vita ya kagera,
Nchi itakapoingia kwenye vita ambayo haihusu, maanake maendeleo yote yanasimama, tanzania tutaanza kugharamia vita, bod ya elimu ya juu itakuwa hoi, watumish hoi, sasaiv tu hatuna vita lakn watu wanalia na ugumu wamaisha. Tukitulia madhara yake ni madogo kuliko kuingia nao.

3. Umewah kujiulza kwa nn trump anajitoa kwenye vita mbali mbal ikiwemo ukrain na anawapa mashart makubwa? Kwa nin vita ya nch na nch haijawah kufanyka kwenye ardh ya marekan?

TULIZA UPUUZI, VITA SI NGUO KWAMBA KILA MWENYE AKILI TIMAMU LAZIMA AVAE.
 
Kamundu
Tshisekedi siyo kiongozi mzuri mwenye ukaribu wa kweli na East Afrika, aondolewe aende zake! Go go forward M23.
Huyu huyu ndiye kinara na mpiga debe wa bandari ya lobito, akwende zake!
 
We mtz wa wapi!?..unaonekana kabisa mjivuni wa pua ndefu
Sio kila anayesema ukweli ni mjivuni na mtusi ukweli usemwe tu, m23 tusiwachukulie poa zile propaganda za kipindi kile sijui mwakibolwa aliwadurusha sijui kitu gani wkt huu zinakuwa proofed wrong, wahuni wanarusha manati sio mchezo
 
Sidhani kama Tz wameswashindwa hao jamaa.

Naaamini kabisa huko hatujaingia miguu yote
Utawaweza hao?;
1739850849795.png
 
Waje tu hakuna namna serikali ya kongo inachangamoto nyingi.Shida inaanza pale wanapotwisha mzigo mataifa kama Rwanda kuhisika directly wakisahau shida kubwa ni utawala ndani ya nchi yao
We ni mpumbavu kweli kweli huyo nangaa alikuwa Mwenyekti wa Tume ya uchaguzi congo ameshiriki kumuingiza madarakani tshekedi wakati alikuwa kashindwa! Unamuamini mtu wa Namna hiyo ?

Wa cha kujiukiza kwanini Machafuko hutokea kwenye mpaka wa Congo na Rwanda tu ? Congo inapakana na Tanzania, Angola, Uganda. N.k why machafuko na vita zote za congo ( first and second congo war zinatokea Mpakani na Rwanda ? Tafuta elimu mjinga wewe!

Kwanini Kagame analazamisha Watusi watambuliwe Congo na Sio Wahutu. Congo kuna Wahutu wengi kuliko Watusi. Kwanini Huwa hawazungumzii Wahutu. Kwanini kikwete alimshauri wayamalize na Wahutu wa FDLR alianza kumtisha kikwete?

Changanya akili zako.
 
Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23?

Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda kwenye vita nusunusu.

Waandishi wa habari wa Tanzania badala ya kuuliza maswali kama haya wanabaki kusifia sifia kila kitu. Yaani miradi yetu ya treni ina maana gani kama hakuna usalama Congo ya mashariki?. Jeshi letu kama halipigani kwa manufaa ya nchi wanabaki kuonyesha misuli kwenye sherehe tu sio powa. Haya ndiyo mambo ambayo jeshi letu linatakiwa kupigania sio kutishia waandamanaji au kusaidia wizi wa kura kwa wapinzani bali kupigania nchi na sio kinyonge nyonge

Watanzania tunabaki kuchekeshwa chekeshwa na serikali kama watoto wadogo. Hii ni dharau kubwa. Hakuna mtu anajua kuhusu mazishi ya wanajeshi wetu, hakuna bendera nusu mlingoti.......... huu ndiyo uzalendo wa aina gani. Hakuna hotuba yeyote ya kamanda mkuu ambaye ni Raisi.
Nenda wewe kajitolee kweny jeshi la congo ⛏️ Ili upigane kwa ajili ya amani ya congo
 
We ni mpumbavu kweli kweli huyo nangaa alikuwa Mwenyekti wa Tume ya uchaguzi congo ameshiriki kumuingiza madarakani tshekedi wakati alikuwa kashindwa! Unamuamini mtu wa Namna hiyo ?

Wa cha kujiukiza kwanini Machafuko hutokea kwenye mpaka wa Congo na Rwanda tu ? Congo inapakana na Tanzania, Angola, Uganda. N.k why machafuko na vita zote za congo ( first and second congo war zinatokea Mpakani na Rwanda ? Tafuta elimu mjinga wewe!

Kwanini Kagame analazamisha Watusi watambuliwe Congo na Sio Wahutu. Congo kuna Wahutu wengi kuliko Watusi. Kwanini Huwa hawazungumzii Wahutu. Kwanini kikwete alimshauri wayamalize na Wahutu wa FDLR alianza kumtisha kikwete?

Changanya akili zako.
Ona hii kenge,huwezi kuandika utumbo wako vizuri sio?

Mjuzi wa mambo unashindwa ku-spell jina la rais wa DRC bado unadai unajua kinachoendelea kule sio? "tshekedi" ni kitu gani?

Kagame ni mtusi ndio maana anapambania upande wake.Wahutu kama wanapitishwa kwenye moto nao wajipambanie.

Kwamba machafuko yapo mpakani mwa Congo na Rwanda sio?Kwahiyo hujui sababu ni nini?Rwanda ni taifa huru kama ambavyo DRC ni taifa huru.Wakongo wanashindwa nini kulinda maeneo yao?(kwamba mke wako akitembea na jirani unaenda kupambana na jirani sio?huwezi kujiuliza kwamba wewe ndio mwenye shida na mkeo?jirani yeye anatumia ujinga wako na hii ndio jibu jepesi kwa pimbi kama wewe kueleza picha ya kilichopo kati ya M23 na DRC)
 
Aiseeh umezunguka sana.sema kwenye maonyesho na kuzuia maandamano tunaweza ila sio kwenye vita ni weupe
 
Nchi ina watu wa hovyo sana.
JW na SA sio kazi yao kupigana hao ni sawa na marefa...huwezi kuingilia mgogoro wa ndani ya nchi ukae upande mmoja.
M23 ni Wa Congo hakuna nchi inaruhusiwa kuwaua

Wewe naona umelala usingizi. Tumepeleka jeshi sio refa. Kama ni refa tungepeleka mgambo. Pili wanajeshi wameuliwa. Tatu Tanzania tuna manufaa ya moja kwa moja kuhakikisha kuna imani. Nchi zinapeleka majeshi kupigana kwa manufaa ya nchi zao mambo ya urefa ni siasa tu. Hii ni vita Mama anawachekesha chekesha tu wakati Rwanda ndiyo ananufaika sisi tumekaa kama mateja. Sasa hiyo treni bila Congo ni hasara kubwa
 
Kwa hiyo jeshi letu na la SA limeshindwa kuwadhibiti M23??
 
Wanyamrenge Ni hatari Sana, Na Tz Haina namna Zaidi ya kuweka guard Mapema maana Kama Congo inaanguka basi Mda si mrefu M23 watakuwa wametanua nguvu Kazi Yao Na 5yrs to come wataanza kuzitiisha Tz, Burundi Na Kenya Na conquest itaanza rasmi. Tusishangae nchi yetu kuwa Chini ya Hawa watu, Historia Yao toka Zama Za akina KAIBANDA zinatosha Na mission Ni long run Kweli Kweli
 
Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23?

Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda kwenye vita nusunusu.

Waandishi wa habari wa Tanzania badala ya kuuliza maswali kama haya wanabaki kusifia sifia kila kitu. Yaani miradi yetu ya treni ina maana gani kama hakuna usalama Congo ya mashariki?. Jeshi letu kama halipigani kwa manufaa ya nchi wanabaki kuonyesha misuli kwenye sherehe tu sio powa. Haya ndiyo mambo ambayo jeshi letu linatakiwa kupigania sio kutishia waandamanaji au kusaidia wizi wa kura kwa wapinzani bali kupigania nchi na sio kinyonge nyonge

Watanzania tunabaki kuchekeshwa chekeshwa na serikali kama watoto wadogo. Hii ni dharau kubwa. Hakuna mtu anajua kuhusu mazishi ya wanajeshi wetu, hakuna bendera nusu mlingoti.......... huu ndiyo uzalendo wa aina gani. Hakuna hotuba yeyote ya kamanda mkuu ambaye ni Raisi.
Jeshccm halina jipya,wanasubiri siku ya sherehe za kina ndina wakapasuane na mitofari
 
1739974574800.png
1739974584275.png
1739974633198.png

Tumekuwa kama jeshi la picha
 
View: https://youtu.be/I-coQHrn2HU?si=awfoDA_6UY5oXH0D
 
Amiri jeshi mkuu tupe mwelekeo tumeshidwa sasa na tutaanza kumuomba Rwanda kupeleka vitu vyetu Congo

1740173307274.png
 
Back
Top Bottom