Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mtz wa wapi!?..unaonekana kabisa mjivuni wa pua ndefuWa Tz,
UN, USA, EU na DRC wanasema jeshi la Rwanda,wewe mgonjwa fungus unadai ni wacongoFuatilia ujue kiini cha Mzozo naona haujui.
Apo ni Wacongo wanapigana wao kwa wao na sio Congo inapigana na Rwanda.
Huoni Waasi wanaandaa hadi Matamasha na watu wanakuja kuwasikiliza na kuwashangalia
Kwa hiyo Drc kwa sasa ina amani na makundi ya waasi yamedhibitiwa ?
Sio kila anayesema ukweli ni mjivuni na mtusi ukweli usemwe tu, m23 tusiwachukulie poa zile propaganda za kipindi kile sijui mwakibolwa aliwadurusha sijui kitu gani wkt huu zinakuwa proofed wrong, wahuni wanarusha manati sio mchezoWe mtz wa wapi!?..unaonekana kabisa mjivuni wa pua ndefu
Utawaweza hao?;Sidhani kama Tz wameswashindwa hao jamaa.
Naaamini kabisa huko hatujaingia miguu yote
We ni mpumbavu kweli kweli huyo nangaa alikuwa Mwenyekti wa Tume ya uchaguzi congo ameshiriki kumuingiza madarakani tshekedi wakati alikuwa kashindwa! Unamuamini mtu wa Namna hiyo ?Waje tu hakuna namna serikali ya kongo inachangamoto nyingi.Shida inaanza pale wanapotwisha mzigo mataifa kama Rwanda kuhisika directly wakisahau shida kubwa ni utawala ndani ya nchi yao
Nenda wewe kajitolee kweny jeshi la congo ⛏️ Ili upigane kwa ajili ya amani ya congoJe Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23?
Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda kwenye vita nusunusu.
Waandishi wa habari wa Tanzania badala ya kuuliza maswali kama haya wanabaki kusifia sifia kila kitu. Yaani miradi yetu ya treni ina maana gani kama hakuna usalama Congo ya mashariki?. Jeshi letu kama halipigani kwa manufaa ya nchi wanabaki kuonyesha misuli kwenye sherehe tu sio powa. Haya ndiyo mambo ambayo jeshi letu linatakiwa kupigania sio kutishia waandamanaji au kusaidia wizi wa kura kwa wapinzani bali kupigania nchi na sio kinyonge nyonge
Watanzania tunabaki kuchekeshwa chekeshwa na serikali kama watoto wadogo. Hii ni dharau kubwa. Hakuna mtu anajua kuhusu mazishi ya wanajeshi wetu, hakuna bendera nusu mlingoti.......... huu ndiyo uzalendo wa aina gani. Hakuna hotuba yeyote ya kamanda mkuu ambaye ni Raisi.
Ona hii kenge,huwezi kuandika utumbo wako vizuri sio?We ni mpumbavu kweli kweli huyo nangaa alikuwa Mwenyekti wa Tume ya uchaguzi congo ameshiriki kumuingiza madarakani tshekedi wakati alikuwa kashindwa! Unamuamini mtu wa Namna hiyo ?
Wa cha kujiukiza kwanini Machafuko hutokea kwenye mpaka wa Congo na Rwanda tu ? Congo inapakana na Tanzania, Angola, Uganda. N.k why machafuko na vita zote za congo ( first and second congo war zinatokea Mpakani na Rwanda ? Tafuta elimu mjinga wewe!
Kwanini Kagame analazamisha Watusi watambuliwe Congo na Sio Wahutu. Congo kuna Wahutu wengi kuliko Watusi. Kwanini Huwa hawazungumzii Wahutu. Kwanini kikwete alimshauri wayamalize na Wahutu wa FDLR alianza kumtisha kikwete?
Changanya akili zako.
Nchi ina watu wa hovyo sana.
JW na SA sio kazi yao kupigana hao ni sawa na marefa...huwezi kuingilia mgogoro wa ndani ya nchi ukae upande mmoja.
M23 ni Wa Congo hakuna nchi inaruhusiwa kuwaua
Kwa hiyo jeshi letu na la SA limeshindwa kuwadhibiti M23??Wewe naona umelala usingizi. Tumepeleka jeshi sio refa. Kama ni refa tungepeleka mgambo. Pili wanajeshi wameuliwa. Tatu Tanzania tuna manufaa ya moja kwa moja kuhakikisha kuna imani. Nchi zinapeleka majeshi kupigana kwa manufaa ya nchi zao mambo ya urefa ni siasa tu. Hii ni vita Mama anawachekesha chekesha tu wakati Rwanda ndiyo ananufaika sisi tumekaa kama mateja. Sasa hiyo treni bila Congo ni hasara kubwa
Jeshccm halina jipya,wanasubiri siku ya sherehe za kina ndina wakapasuane na mitofariJe Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23?
Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda kwenye vita nusunusu.
Waandishi wa habari wa Tanzania badala ya kuuliza maswali kama haya wanabaki kusifia sifia kila kitu. Yaani miradi yetu ya treni ina maana gani kama hakuna usalama Congo ya mashariki?. Jeshi letu kama halipigani kwa manufaa ya nchi wanabaki kuonyesha misuli kwenye sherehe tu sio powa. Haya ndiyo mambo ambayo jeshi letu linatakiwa kupigania sio kutishia waandamanaji au kusaidia wizi wa kura kwa wapinzani bali kupigania nchi na sio kinyonge nyonge
Watanzania tunabaki kuchekeshwa chekeshwa na serikali kama watoto wadogo. Hii ni dharau kubwa. Hakuna mtu anajua kuhusu mazishi ya wanajeshi wetu, hakuna bendera nusu mlingoti.......... huu ndiyo uzalendo wa aina gani. Hakuna hotuba yeyote ya kamanda mkuu ambaye ni Raisi.
Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23?