Je, majukumu ya nafasi ya Waziri Mkuu yanapunguza nguvu ya nafasi ya Rais kiasi cha kusababisa msuguano baina ya nafasi hizo mbili?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Nafasi ya Waziri Mkuu Tanzania imekuwa mwiba mchungu kwa miaka mingi dhidi ya Marais waliopo Madarakani.

Pamoja na kwamba Marais ushiriki kupendezekaza jina la Waziri Mkuu; wengi uwaona kama watu wenye nguvu na ambao usipokaa nao kwa akili wanaweza kukuoutsmart.

Kati ya mawaziri wakuu waliowahi kuwepo ni wawili tu ndio waliokosa uwezo na ushawishi wa kutishia nafasi ya Rais aliyepo na anayekuja. Mzee Pinda by nature hakuwahi kuwa tishio kwa JK same as Frederick Sumaye kwa Mkapa.

Mawaziri wakuu waliobaki wamejipambanua kwa umahiri na hivyo kuwafanya waonekane kama wanauwezo mkubwa kuliko Marais.

Mfano mmoja ulio wazi ni nguvu ya Kisiasa aliyokuwa nayo Lowasa; kwa nguvu aliyokuwa nayo ilimfanya JK na baadaye JPM baada tu yakuingia madarakani kuhamisha majukumu ya tawala za mikoa na serikali za mitaa kwenda ofisini kwake kwa lengo la kumpunguzia nguvu Waziri Mkuu.Kumbuka huyu ni mteule wake lakini nafasi hiyo ilionekana tishio kwa JPM na akaona arejeshe serikali za mitaa kwake na Serikali kuu Pia.

SSH kama alivyofanya mtangulizi wake siyo tu kwamba anasimamia tawala za mikoa bali anasimamia pia Serikali kuu ila ameweka Makamu Waziri Mkuu si kwa lengo jingine bali kuionyesha nafasi ya Uwaziri Mkuu kwamba siyo nafasi nzuri sana kiutawala kwa sababu inakuexpose kuliko aliyekuteua.

Kasimu Majaliwa na Mama Samia awana ugomvi wowote. Bali nafasi ya Urais na Uwaziri Mkuu zina ugomvi mkubwa na wa muda mrefu. Ugomvi wa nafasi hizi mbili unawezalinganishwa na ugomvi wa nafasi ya Urais na Makamu wa Rais huko Kenya kwa sasa.

Ugomvi mkubwa uliopo katika nafasi ya Waziri Mkuu ni kwamba, kama ambavyo Rais anapokuwa mwenyekiti wa chama anaweza kusema hakuna fomu zaidi ya ile ya mwenyekiti katika kugombea Urais basi Waziri Mkuu naye anaweza akatamka au wapambe wake wakatamka kwamba yeye ndiye mrithi wa Rais ajaye na mchezo unaishia hapo. Hali hii imepelekea Rais aliyepo kupewa vitisho na maneno mengi yanayomfanya wakati wote aishi akiogopa kivuli cha kiti cha Waziri Mkuu.

Lakini pia hata Makazi ya viongozi hawa na mgawanyo wa majukumu yamekuwa na kizungumkuti. Haya yote ufanyika na wataalam wa siasa kumfanya Rais asiwe rafiki wa kiti cha waziri Mkuu ila awe Rafiki wa Waziri Mkuu. Kwa maana nyingine, wanaowaza kuwa warithi wa kiti cha Urais wamekuwa na nguvu kubwa yakupambana na kukidhoofisha kiti cha Waziri Mkuu kuliko nafasi nyingine yoyote. Nataka kusema nini! Watu wanaotaka kugombea Urais au wanaoandaliwa wapo kwenye risk sana wakipewa nafasi ya waziri Mkuu. Kama unataka Urais kwa mfumo huu wa vita kati ya viti hivi viwili bora ubaki kama waziri wa kawaida au uwe nje ya siasa za juu.

Hata hivyo, kwa kuwa nafasi ya Waziri Mkuu ni moja, na ili kuondoa fikra zakuzuia wagombea urais wengi kwamba waziri Mkuu ni tishio napendekeza iwe wazi kwamba ukishika nafasi ya Waziri Mkuu utakuwa umepoteza sifa ya kugombea Urais.

Tukiweka mazingira haya yakawa ya kitamaduni au kisheria itamsaidia RAIS aliyepo kuwa na amani na Waziri Mkuu kama nafasi ya uongozi sambamba na Waziri Mkuu kwa personality. Lakini pia itasaidia mteule kwenye nafasi hii awe the most competent person ambaye hatakuwa na fikra za kushika nafasi ya juu zaidi.

Kinyume na hapo Waziri Mkuu wa Tanzania ataendelea kuandamwa na vita ya madaraka kutoka juu, chini, mashariki na Magharibi na hivyo kukosa uhuru wa kumsaidia Rais na kuwasaidia wananchi. Namwona Kasimu Majaliwa akiwa na malengo makubwa kumsaidia Rais lakini mfumo unamkataza kufanya hivyo. Anachoweza kufanya kutamka kwa dhati ya moyo wake kwamba hana mpango wa kugombea Uraisi; hii itampunguzia kupigwa vita na kumfanya asifanye kwa viwango vile.

Wanafalsafa na wanataaluma sijui kama nimewaza sahihi ila ukweli ni kwamba vita ya viti hivi ni kubwa zaidi. Tusaidie mawazo ya kutatua vita hii ambayo hata kikiingia chama kingine lazima tu viti hivi viwili vitaendelea kugombana.

Kiti cha Makamu wa Rais hakina vita kwa sababu kimenyamazishwa kwenye muundo wa Muungano. Kwamba utaangaika na Muungano na Mazingira and that Y Mzee wa Kigoma katika macho ya nje siyo threat ; ila Waziri Mkuu anapotakwa kuwa ndiye Msimamizi wa shughuli za serikali na anakaa muda Mwingine na Wabunge na kwa kuzingatia wabunge ndio wanaochora michango ya kupata kura........this vita will never end.

Let us fight hii vita kwa kumpiga marufuku waziri Mkuu ajaye asiwe na maono ya Urais ili awe uru kuhudumia wananchi kwa vipawa alivyojaaliwa.

Food for thought from Sato Land to My Mama Tanzania
 
KIla mmoja aheshimiwe mawazo yake nchi huru katika maraisi wote yupi aliwahi kupita kwenye cheo cha uwazri mkuu!
Wanaweza wakawa hawana quality au wanakosa uungwaji mkono kufikia ugombea Urais; ila changamoto kubwa kwangu ni kuona Waziri Mkuu as a person akianza vita since day one anapoanza kuhudumu..............hana uhuru na hana kibali chakuwa timu japo ya makatibu wakuu wanaoweza kuifanya serikali isogee mbele

Imekuwa ni post ambayo kadri siku ziendavyo inamomoyoka na soon itabaki ceremonial
 
Sio Rais ndio atakuwa ceremonial?
 
Sijaona ugomvi wowote kati ya sehemu hizo mbili, hata issue ya Tamisemi bafo haimake sense kwangu kivile kwa sababu after all Waziri Mkuu ndio mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali, kuhamisha taasisi, idara na wizara ni jambo la ufanisi tu naniuleta tija zaidi

Ila mwisho wa siku Waziri mkuu bafo anafika huko kote na anawajibika endapo wizara fulani itafanya madudu na hatochukua hatua stahiki za kumshauri Rais ijapokuwa maamuzi ya mwisho ni ya Rais mwenyewe kuamua atakalo
 
Mfano mmoja ulio wazi ni nguvu ya Kisiasa aliyokuwa nayo Lowasa; kwa nguvu aliyokuwa nayo ilimfanya JK na baadaye JPM baada tu yakuingia madarakani kuhamisha majukumu ya tawala za mikoa na serikali za mitaa kwenda ofisini kwake kwa lengo la kumpunguzia nguvu Waziri Mkuu.Kumbuka huyu ni mteule wake lakini nafasi hiyo ilionekana tishio kwa JPM na akaona arejeshe serikali za mitaa kwake na Serikali kuu Pia.
mbona hata Mkapa alihamisha majukumu ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa ofisi yake katika awamu ya pili? Inasemekana (rumours) kwamba Sumaye alikuwa anatumia LGAs kujipanga kugombea urais, Mzee akamshtukia kwa hivyo aliiondoa kijanja ikawa chini yake.

Ila na nafasi ya Waziri Mkuu ina majukumu makubwa kwa upande wa serikali, na hasa lile lidude la serikali za mitaa ukiangalia ndiyo serikali yenyewe kwa upande wa huduma za wananchi.
 
Pengine kwakua wote ni watendaji...Ingefaa tumwomdoe Rais kwenye utendaji Ili abakie kuwa Rais wa Tanzania, Kisha tuwe na mawaziri wakuu wa wili
1. Waziri Mkuu Bara
2. Waziri Mkuu Zanzibar

Hii itaondoa pia kero nyingi za Muungano

Rais anakuwa Amiri jeshi Mkuu na mwenye maamuzi Kwa mambo ya kisiasa kitaifa na kimataifa. Kisha Waziri Mkuu ndiye anakuwa mtendaji Mkuu wa Serikali
 
Nakubaliana na wewe ndio maana nikasema upo ugomvi wa wazi wa nafasi hizi mbili; ugomvi huu hauna tija kiutendaji ila una tija kisiasa

Hoja yangu mimi tunaondoaji huu ugomvi usiosemwa adharani? Jamvi hili limetengenezwa kujadili yasiyozungumzika adharani ili wasiotaka kuyazungumza waanze kuyazungumza
 
Pengine kwakua wote ni watendaji...Ingefaa tumwomdoe Rais kwenye utendaji Ili abakie kuwa Rais wa Tanzania, Kisha tuwe na mawaziri wakuu wa wili
1. Waziri Mkuu Bara
2. Waziri Mkuu Zanzibar

Hii itaondoa pia kero nyingi za Muungano

Rais anakuwa Amiri jeshi Mkuu na mwenye maamuzi Kwa mambo ya kisiasa kitaifa na kimataifa. Kisha Waziri Mkuu ndiye anakuwa mtendaji Mkuu wa Serikali
Upo sahihi; je waziri Mkuu unayemzungumzia hapa abaki na nafasi ya kuruhusiwa kugombea Urais?

Akiruhusiwa kugombea Urais shida ipo palepale ; ugomvi wa kiti cha Rais na waziri Mkuu ni madaraka ya Urais.

Kiti cha Urais kina wivu mkubwa kuliko kiti kingine chochote nchni.......tunakisiadiaje kibaki na wivu wake bila kuathiri majukumu ya Waziri Mkuu?
 
Nafasi ya Waziri Mkuu Tanzania imekuwa mwiba mchungu kwa miaka mingi dhidi ya Marais waliopo Madarakani.

Pamoja na kwamba Marais ushiriki kupendezekaza jina la Waziri Mkuu; wengi uwaona kama watu wenye nguvu na ambao usipokaa nao kwa akili wanaweza kukuoutsmart.

Kati ya mawaziri wakuu waliowahi kuwepo ni wawili tu ndio waliokosa uwezo na ushawishi wa kutishia nafasi ya Rais aliyepo na anayekuja. Mzee Pinda by nature hakuwahi kuwa tishio kwa JK same as Frederick Sumaye kwa Mkapa.

Mawaziri wakuu waliobaki wamejipambanua kwa umahiri na hivyo kuwafanya waonekane kama wanauwezo mkubwa kuliko Marais.

Mfano mmoja ulio wazi ni nguvu ya Kisiasa aliyokuwa nayo Lowasa; kwa nguvu aliyokuwa nayo ilimfanya JK na baadaye JPM baada tu yakuingia madarakani kuhamisha majukumu ya tawala za mikoa na serikali za mitaa kwenda ofisini kwake kwa lengo la kumpunguzia nguvu Waziri Mkuu.Kumbuka huyu ni mteule wake lakini nafasi hiyo ilionekana tishio kwa JPM na akaona arejeshe serikali za mitaa kwake na Serikali kuu Pia.

SSH kama alivyofanya mtangulizi wake siyo tu kwamba anasimamia tawala za mikoa bali anasimamia pia Serikali kuu ila ameweka Makamu Waziri Mkuu si kwa lengo jingine bali kuionyesha nafasi ya Uwaziri Mkuu kwamba siyo nafasi nzuri sana kiutawala kwa sababu inakuexpose kuliko aliyekuteua.

Kasimu Majaliwa na Mama Samia awana ugomvi wowote. Bali nafasi ya Urais na Uwaziri Mkuu zina ugomvi mkubwa na wa muda mrefu. Ugomvi wa nafasi hizi mbili unawezalinganishwa na ugomvi wa nafasi ya Urais na Makamu wa Rais huko Kenya kwa sasa.

Ugomvi mkubwa uliopo katika nafasi ya Waziri Mkuu ni kwamba, kama ambavyo Rais anapokuwa mwenyekiti wa chama anaweza kusema hakuna fomu zaidi ya ile ya mwenyekiti katika kugombea Urais basi Waziri Mkuu naye anaweza akatamka au wapambe wake wakatamka kwamba yeye ndiye mrithi wa Rais ajaye na mchezo unaishia hapo. Hali hii imepelekea Rais aliyepo kupewa vitisho na maneno mengi yanayomfanya wakati wote aishi akiogopa kivuli cha kiti cha Waziri Mkuu.

Lakini pia hata Makazi ya viongozi hawa na mgawanyo wa majukumu yamekuwa na kizungumkuti. Haya yote ufanyika na wataalam wa siasa kumfanya Rais asiwe rafiki wa kiti cha waziri Mkuu ila awe Rafiki wa Waziri Mkuu. Kwa maana nyingine, wanaowaza kuwa warithi wa kiti cha Urais wamekuwa na nguvu kubwa yakupambana na kukidhoofisha kiti cha Waziri Mkuu kuliko nafasi nyingine yoyote. Nataka kusema nini! Watu wanaotaka kugombea Urais au wanaoandaliwa wapo kwenye risk sana wakipewa nafasi ya waziri Mkuu. Kama unataka Urais kwa mfumo huu wa vita kati ya viti hivi viwili bora ubaki kama waziri wa kawaida au uwe nje ya siasa za juu.

Hata hivyo, kwa kuwa nafasi ya Waziri Mkuu ni moja, na ili kuondoa fikra zakuzuia wagombea urais wengi kwamba waziri Mkuu ni tishio napendekeza iwe wazi kwamba ukishika nafasi ya Waziri Mkuu utakuwa umepoteza sifa ya kugombea Urais.

Tukiweka mazingira haya yakawa ya kitamaduni au kisheria itamsaidia RAIS aliyepo kuwa na amani na Waziri Mkuu kama nafasi ya uongozi sambamba na Waziri Mkuu kwa personality. Lakini pia itasaidia mteule kwenye nafasi hii awe the most competent person ambaye hatakuwa na fikra za kushika nafasi ya juu zaidi.

Kinyume na hapo Waziri Mkuu wa Tanzania ataendelea kuandamwa na vita ya madaraka kutoka juu, chini, mashariki na Magharibi na hivyo kukosa uhuru wa kumsaidia Rais na kuwasaidia wananchi. Namwona Kasimu Majaliwa akiwa na malengo makubwa kumsaidia Rais lakini mfumo unamkataza kufanya hivyo. Anachoweza kufanya kutamka kwa dhati ya moyo wake kwamba hana mpango wa kugombea Uraisi; hii itampunguzia kupigwa vita na kumfanya asifanye kwa viwango vile.

Wanafalsafa na wanataaluma sijui kama nimewaza sahihi ila ukweli ni kwamba vita ya viti hivi ni kubwa zaidi. Tusaidie mawazo ya kutatua vita hii ambayo hata kikiingia chama kingine lazima tu viti hivi viwili vitaendelea kugombana.

Kiti cha Makamu wa Rais hakina vita kwa sababu kimenyamazishwa kwenye muundo wa Muungano. Kwamba utaangaika na Muungano na Mazingira and that Y Mzee wa Kigoma katika macho ya nje siyo threat ; ila Waziri Mkuu anapotakwa kuwa ndiye Msimamizi wa shughuli za serikali na anakaa muda Mwingine na Wabunge na kwa kuzingatia wabunge ndio wanaochora michango ya kupata kura........this vita will never end.

Let us fight hii vita kwa kumpiga marufuku waziri Mkuu ajaye asiwe na maono ya Urais ili awe uru kuhudumia wananchi kwa vipawa alivyojaaliwa.

Food for thought from Sato Land to My Mama Tanzania
Ili kuondokana na janga hili la Ugomvi wa Madaraka, njia pekee ni kubadili Katiba ya nchi kwanza Kisha kuweka Mifumo mipya ya uendeshaji wa Serikali.
Aidha, kuwepo na Cheo Cha Rais na Makamu wa Rais tu bila ya Waziri Mkuu, au Kuwepo na Cheo Cha Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu bila ya kuwepo kwa Cheo Cha Urais wala Umakamu wa Rais.
 
Sijaona ugomvi wowote kati ya sehemu hizo mbili, hata issue ya Tamisemi bafo haimake sense kwangu kivile kwa sababu after all Waziri Mkuu ndio mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali, kuhamisha taasisi, idara na wizara ni jambo la ufanisi tu naniuleta tija zaidi

Ila mwisho wa siku Waziri mkuu bafo anafika huko kote na anawajibika endapo wizara fulani itafanya madudu na hatochukua hatua stahiki za kumshauri Rais ijapokuwa maamuzi ya mwisho ni ya Rais mwenyewe kuamua atakalo
Mzee unaujua moto wa sokoine enzi hizo,ile ngoma ilikua ikitoa maagizo lazima yatekelezwe.
 
Upo sahihi; je waziri Mkuu unayemzungumzia hapa abaki na nafasi ya kuruhusiwa kugombea Urais?

Akiruhusiwa kugombea Urais shida ipo palepale ; ugomvi wa kiti cha Rais na waziri Mkuu ni madaraka ya Urais.

Kiti cha Urais kina wivu mkubwa kuliko kiti kingine chochote nchni.......tunakisiadiaje kibaki na wivu wake bila kuathiri majukumu ya Waziri Mkuu?
Mtu akishakuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Speaker au Judge Mkuu, ama Katibu Mkuu Kiongozi, asiruhusiwe kugombea u Rais...Hii itaondoa hali hiyo ya kunyemeleana badala ya Kila mtu kufanya kazi yake...
 
Pengine kwakua wote ni watendaji...Ingefaa tumwomdoe Rais kwenye utendaji Ili abakie kuwa Rais wa Tanzania, Kisha tuwe na mawaziri wakuu wa wili
1. Waziri Mkuu Bara
2. Waziri Mkuu Zanzibar

Hii itaondoa pia kero nyingi za Muungano

Rais anakuwa Amiri jeshi Mkuu na mwenye maamuzi Kwa mambo ya kisiasa kitaifa na kimataifa. Kisha Waziri Mkuu ndiye anakuwa mtendaji Mkuu wa Serikali
hii ni njia bora sana, na itatusaidia kusogeza nchi mbele!

Raisi abaki na wizara ya ulinzi, na foreign affairs....... zingne ziwe chini ya PM,,,
 
Nafasi ya Waziri Mkuu Tanzania imekuwa mwiba mchungu kwa miaka mingi dhidi ya Marais waliopo Madarakani.

Pamoja na kwamba Marais ushiriki kupendezekaza jina la Waziri Mkuu; wengi uwaona kama watu wenye nguvu na ambao usipokaa nao kwa akili wanaweza kukuoutsmart.

Kati ya mawaziri wakuu waliowahi kuwepo ni wawili tu ndio waliokosa uwezo na ushawishi wa kutishia nafasi ya Rais aliyepo na anayekuja. Mzee Pinda by nature hakuwahi kuwa tishio kwa JK same as Frederick Sumaye kwa Mkapa.

Mawaziri wakuu waliobaki wamejipambanua kwa umahiri na hivyo kuwafanya waonekane kama wanauwezo mkubwa kuliko Marais.

Mfano mmoja ulio wazi ni nguvu ya Kisiasa aliyokuwa nayo Lowasa; kwa nguvu aliyokuwa nayo ilimfanya JK na baadaye JPM baada tu yakuingia madarakani kuhamisha majukumu ya tawala za mikoa na serikali za mitaa kwenda ofisini kwake kwa lengo la kumpunguzia nguvu Waziri Mkuu.Kumbuka huyu ni mteule wake lakini nafasi hiyo ilionekana tishio kwa JPM na akaona arejeshe serikali za mitaa kwake na Serikali kuu Pia.

SSH kama alivyofanya mtangulizi wake siyo tu kwamba anasimamia tawala za mikoa bali anasimamia pia Serikali kuu ila ameweka Makamu Waziri Mkuu si kwa lengo jingine bali kuionyesha nafasi ya Uwaziri Mkuu kwamba siyo nafasi nzuri sana kiutawala kwa sababu inakuexpose kuliko aliyekuteua.

Kasimu Majaliwa na Mama Samia awana ugomvi wowote. Bali nafasi ya Urais na Uwaziri Mkuu zina ugomvi mkubwa na wa muda mrefu. Ugomvi wa nafasi hizi mbili unawezalinganishwa na ugomvi wa nafasi ya Urais na Makamu wa Rais huko Kenya kwa sasa.

Ugomvi mkubwa uliopo katika nafasi ya Waziri Mkuu ni kwamba, kama ambavyo Rais anapokuwa mwenyekiti wa chama anaweza kusema hakuna fomu zaidi ya ile ya mwenyekiti katika kugombea Urais basi Waziri Mkuu naye anaweza akatamka au wapambe wake wakatamka kwamba yeye ndiye mrithi wa Rais ajaye na mchezo unaishia hapo. Hali hii imepelekea Rais aliyepo kupewa vitisho na maneno mengi yanayomfanya wakati wote aishi akiogopa kivuli cha kiti cha Waziri Mkuu.

Lakini pia hata Makazi ya viongozi hawa na mgawanyo wa majukumu yamekuwa na kizungumkuti. Haya yote ufanyika na wataalam wa siasa kumfanya Rais asiwe rafiki wa kiti cha waziri Mkuu ila awe Rafiki wa Waziri Mkuu. Kwa maana nyingine, wanaowaza kuwa warithi wa kiti cha Urais wamekuwa na nguvu kubwa yakupambana na kukidhoofisha kiti cha Waziri Mkuu kuliko nafasi nyingine yoyote. Nataka kusema nini! Watu wanaotaka kugombea Urais au wanaoandaliwa wapo kwenye risk sana wakipewa nafasi ya waziri Mkuu. Kama unataka Urais kwa mfumo huu wa vita kati ya viti hivi viwili bora ubaki kama waziri wa kawaida au uwe nje ya siasa za juu.

Hata hivyo, kwa kuwa nafasi ya Waziri Mkuu ni moja, na ili kuondoa fikra zakuzuia wagombea urais wengi kwamba waziri Mkuu ni tishio napendekeza iwe wazi kwamba ukishika nafasi ya Waziri Mkuu utakuwa umepoteza sifa ya kugombea Urais.

Tukiweka mazingira haya yakawa ya kitamaduni au kisheria itamsaidia RAIS aliyepo kuwa na amani na Waziri Mkuu kama nafasi ya uongozi sambamba na Waziri Mkuu kwa personality. Lakini pia itasaidia mteule kwenye nafasi hii awe the most competent person ambaye hatakuwa na fikra za kushika nafasi ya juu zaidi.

Kinyume na hapo Waziri Mkuu wa Tanzania ataendelea kuandamwa na vita ya madaraka kutoka juu, chini, mashariki na Magharibi na hivyo kukosa uhuru wa kumsaidia Rais na kuwasaidia wananchi. Namwona Kasimu Majaliwa akiwa na malengo makubwa kumsaidia Rais lakini mfumo unamkataza kufanya hivyo. Anachoweza kufanya kutamka kwa dhati ya moyo wake kwamba hana mpango wa kugombea Uraisi; hii itampunguzia kupigwa vita na kumfanya asifanye kwa viwango vile.

Wanafalsafa na wanataaluma sijui kama nimewaza sahihi ila ukweli ni kwamba vita ya viti hivi ni kubwa zaidi. Tusaidie mawazo ya kutatua vita hii ambayo hata kikiingia chama kingine lazima tu viti hivi viwili vitaendelea kugombana.

Kiti cha Makamu wa Rais hakina vita kwa sababu kimenyamazishwa kwenye muundo wa Muungano. Kwamba utaangaika na Muungano na Mazingira and that Y Mzee wa Kigoma katika macho ya nje siyo threat ; ila Waziri Mkuu anapotakwa kuwa ndiye Msimamizi wa shughuli za serikali na anakaa muda Mwingine na Wabunge na kwa kuzingatia wabunge ndio wanaochora michango ya kupata kura........this vita will never end.

Let us fight hii vita kwa kumpiga marufuku waziri Mkuu ajaye asiwe na maono ya Urais ili awe uru kuhudumia wananchi kwa vipawa alivyojaaliwa.

Food for thought from Sato Land to My Mama Tanzania
Falsafa ya kwanza ya kuwepo kwa Waziri Mkuu ni Kumkinga Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa nchi. Katika hali ya kawaida ikitakiwa Waziri Mkuu awe Mkuu wa Serikali ili aweze kuwa na nguvu ya kiuongozi ndani ya Serikali. Rais angebaki na Ukuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu. Mtu mwenye vyeo hivyo viwili vikubwa hapaswi kuwa mtu wa kulaumiwa laumiwa na wa kufanya teuzi hadi za Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa.
Kazi ya kuwa Mkuu wa Serikali, kuunda, kuiratibu na kusimamia ingebaki kwa Waziri Mkuu.
Falsafa ya pili ya kuwepo kwa nafasi ya WM Tanzania ni kuusharabu mfumo wetu wa Semi-Parliamentary System. Yaani sisi mawaziri wetu wanakuwa wabunge kabla ya kuwa mawaziri. Mawaziri wetu huwajibika kwa Bunge moja kwa moja ndani ya Bunge. Serikali yetu huwajibika kwa Bunge kupitia mawaziri na hivyo kuhitajika Mkuu wa Shughuli za Serikali.
Falsafa ya 3 ni kuusharabu na kuimarisha mfumo wetu wa Muungano. WM wa TZ ni kama leader of Tanganyika.
Kuhusu misuguano: haiepukiki. Hata bila PM, kungetokea mojawapo wa Mawaziri anakuwa machachari, anatishia nafasi ya Boss.
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Hakuna lolote!
Si chochote Wala si lolote!
 
Back
Top Bottom