johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nafahamu kuna huu utaratibu wa maaskofu kuzikwa ndani ya makanisa yao na hili nimelishuhudia kwa madhehebu ya Anlican na Katoliki.
Nakumbuka askofu Sepetu wa Anglican aliziikwa ndani ya Kanisa la mt Nicolaus Ilala Dsm na pale Njombe askofu wa jimbo Katoliki alizikwa Kanisani hata wa Anglican pia.
Ndio nauliza haya makanisa ya Pentecoste yana huo utaratibu na je mama Rwakatare atazikwa pale Kanisani MAG mlima wa moto?
Kwa mnaojua Tafadhali.
RIP mama Rwakatare!