Je, mama Rwakatare atazikwa ndani ya Kanisa kama wanavyozikwa maaskofu wa Kanisa Katoliki?

For sure damu ilichukuliwa hospital alipowasili. Walifanya vipimo kuthibitisha. Mungu tunusuru mno mno kwa hili.
 
Ila sioni sababu ya kuficha haya maradhi. Tukiwa wazi itafanya hata waliokuwa Karibu naye wajitokeze haraka kabla hali zao hazijawa mbaya. Yaani viongozi wa mataifa makubwa tu wanapata COVID na itakuwa hadharani. Tanzania ndiyo tunafahamu medical ethics kuliko dunia. Haingii akilimi kabisa hii. Sorry to say.
 
Duh.. kumbe mama mchungaji kashazikwa😲! Na mbona wanafanya siri hivi, ikiwa mama ana influence kubwa kwenye jamii kuna kipi apa juu ya kifo chake ikiwa ni kweli kashazikwa?
 
Anazikwa 23/04/2020
 
Sasa wanaogopa nini kusema ni Coronavirus ?Waseme bwana hii itaelimisha wengi na kujua kuwa maombi ya showoff hayasaidii.
Mmeshaingizwa chaka tena na Kigogo2014!! Mama Rwakatare anazikwa tarehe 23/04/2020. Yaani wanasaccos ni rahisi sana kuwaingiza chaka kwa kuwa hawajitambui.
 
Maamuzi yanawezwa badilishwa ombi likienda kwa aliye juu na akabadili seconds kabla ya tendo kutendeka. Tulia
 
Wakati Kigogo2014 alisema tayari ameshazikwa? Kwa hiyo wewe unataka kutuaminisha kuwa walimfukua baada ya kumzika? Kwani ukikubali tu kuwa uliingizwa chaka na Kigogo2014 utapungukiwa kitu gani mkuu?
 
Still inawezekana ikawa na mengine kuendelea, fikiria nje ya box
 
Back
Top Bottom