Je, mama Rwakatare atazikwa ndani ya Kanisa kama wanavyozikwa maaskofu wa Kanisa Katoliki?

Je, mama Rwakatare atazikwa ndani ya Kanisa kama wanavyozikwa maaskofu wa Kanisa Katoliki?

Attachments

  • IMG-20200421-WA0062.jpg
    IMG-20200421-WA0062.jpg
    42.9 KB · Views: 1
Mama keshazikwa leo. Yaani unakufa na presha unazikwa kicorona.
Labda corona ndio iliyo mtia presha..😂😂😂.unawajua hawa jamaa🕵🕵🕵🕵🕵🕵🕵.wazee wakucheza na jeneza ilibidi tumuage nao ila ndio basi tena tumechelewa.
 
Nafahamu kuna huu utaratibu wa maaskofu kuzikwa ndani ya makanisa yao na hili nimelishuhudia kwa madhehebu ya Anlican na Katoliki.

Nakumbuka askofu Sepetu wa Anglican aliziikwa ndani ya Kanisa la mt Nicolaus Ilala Dsm na pale Njombe askofu wa jimbo Katoliki alizikwa Kanisani hata wa Anglican pia.

Ndio nauliza haya makanisa ya Pentecoste yana huo utaratibu na je mama Rwakatare atazikwa pale Kanisani MAG mlima wa moto?

Kwa mnaojua Tafadhali.

RIP mama Rwakatare!
Ccm wabaya sana. Wameshamzika mama wa kisulisuli bila hata kutupa fursa ya kumuaga
 
Sasa hakuna kuchelewesha mazishi ni fasta tu Mbona tutaongea lugha moja


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wakulungwa washafanya yao, huamui wewe kuzika ama kusafirisha.... endelea kuvaa barakoa.
 
Back
Top Bottom