johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kazikwa lini?
Askofu anazikwaje na manispaa?!
We dada unafahamu mambo mengi sana.Askofu Sepetu alikuwa ni Askofu wa kanisa la Anglicana hakuwa Mkatoliki.
Kwani mimi nimesemaje?Askofu Sepetu alikuwa ni Askofu wa kanisa la Anglicana hakuwa Mkatoliki.
Amezikwa na manispaa.. joongeze kama manispaa wanamiliki kanisa.
Rudia kichwa cha habari yakoKwani mimi nimesemaje?
Manka uwe unasoma na kuelewa.
Umechelewa, swali lako ungeuliza jana. Ukiona manyoya ujue jogoo kesha liwa usihangaike kumtafuta.Nafahamu kuna huu utaratibu wa maaskofu kuzikwa ndani ya makanisa yao na hili nimelishuhudia kwa madhehebu ya Anlican na Katoliki.
Nakumbuka askofu Sepetu wa Anglican aliziikwa ndani ya Kanisa la mt Nicolaus Ilala Dsm na pale Njombe askofu wa jimbo Katoliki alizikwa Kanisani hata wa Anglican pia.
Ndio nauliza haya makanisa ya Pentecoste yana huo utaratibu na je mama Rwakatare atazikwa pale Kanisani MAG mlima wa moto?
Kwa mnaojua Tafadhali.
RIP mama Rwakatare!
Wewe unaridhika na kichwa peke yake bila tela?Rudia kichwa cha habari yako
Mama Rwakatare meshazikwa na manispaa ila ibada ya mazishi ni kesho viwanja vya karemjee Hall na mgeni rasmi ni Mheshimiwa Kassim Majaliwa.Hivi mazishi ni lini na wapi ?Hatujaona Ratiba kama inavyokuwa kwa watu wengine wazito wa aina yake.
Sasa wanaogopa nini kusema ni Coronavirus ?Waseme bwana hii itaelimisha wengi na kujua kuwa maombi ya showoff hayasaidii.ameshazikwa na manispaa ila ibada ya mazishi ni kesho viwanja vya karemjee Hall na mgeni rasmi ni Mheshimiwa Kassim Majaliwa.