Je, mama Rwakatare atazikwa ndani ya Kanisa kama wanavyozikwa maaskofu wa Kanisa Katoliki?

Mama keshazikwa leo. Yaani unakufa na presha unazikwa kicorona.
Labda corona ndio iliyo mtia presha..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.unawajua hawa jamaaπŸ•΅πŸ•΅πŸ•΅πŸ•΅πŸ•΅πŸ•΅πŸ•΅.wazee wakucheza na jeneza ilibidi tumuage nao ila ndio basi tena tumechelewa.
 
Ccm wabaya sana. Wameshamzika mama wa kisulisuli bila hata kutupa fursa ya kumuaga
 
Sasa hakuna kuchelewesha mazishi ni fasta tu Mbona tutaongea lugha moja


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wakulungwa washafanya yao, huamui wewe kuzika ama kusafirisha.... endelea kuvaa barakoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…