Je, mama Rwakatare atazikwa ndani ya Kanisa kama wanavyozikwa maaskofu wa Kanisa Katoliki?

Wakati Kigogo2014 alisema tayari ameshazikwa? Kwa hiyo wewe unataka kutuaminisha kuwa walimfukua baada ya kumzika? Kwani ukikubali tu kuwa uliingizwa chaka na Kigogo2014 utapungukiwa kitu gani mkuu?

Acha kufatilia huyo unayependa kumsoma ili uwe na amani.
 
Mmeshaingizwa chaka tena na Kigogo2014!! Mama Rwakatare anazikwa tarehe 23/04/2020. Yaani wanasaccos ni rahisi sana kuwaingiza chaka kwa kuwa hawajitambui.
Haijalishi anazikwa lini. Coronavirus ndo imemuondoa.
 
Wakati Kigogo2014 alisema tayari ameshazikwa? Kwa hiyo wewe unataka kutuaminisha kuwa walimfukua baada ya kumzika? Kwani ukikubali tu kuwa uliingizwa chaka na Kigogo2014 utapungukiwa kitu gani mkuu?
Who is Kigogo2014?
 
taarifa zinasema atazikwa tar 23/4/2020 kanisani kwake, na kutakua na watu 10 tu.
 
Duuuuu watu 10 iv hii imekaaje mazee mbona kama harufu ya korona inanukia apo
 
Daa kifo bana.Ndo hatuta muona tena mama etu. Ni Mungu na shetani pekee ndo wanajua wapi uendako Kazi yetu ni kuyaenzi mazuri yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…