Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
kenya ni small part tu. hofu yangu nikuwa. after mataifa yote almost jirani zetu kutake measures za kupambana na huu ugonjwa. watakuwa certified na free ku travel nchi zingine.Mnakumbuka hili suala mwaka jana lilileta sintofahamu kubwa na Kenya? Madereva walikuwa wanapimwa Tanzania wanaambiwa hawana virus wakitaka kuingia Kenya wakipimwa mpakani wanakutwa na virus. Nchi ya masongombwingo!
what about us? utuliokataa measure yoyote ya kudhibiti huu ugonjwa? na tukihisifu live kuwa ugonjqa haupo? tutakuwa red flagged.
nchi zingine hazitotuamini au hazitoamini raia wa nchi yetu.
still jina la nchi litakuwa limechafuka kutokana na siasa chafu