Je, mamlaka husika zinatoa majibu ya uongo kwa wanaopima Covid 19?

Mpumbavu mkubwa wewe. Huu ulionao wewe sio ujinga.

Hata hayo machache niliyokuandikia hapo hukuambulia chochote?

Maana yake ni kwamba hata ule msingi mdogo wa kuanzia kuelewa haya mambo wewe huna!

Basi nakuacha uendelee kuwa mpumbavu.
Kwani msomi hujui,matokeo yanajazwa na watu kwenye komputa na kuwa printed? Neg 1 braini!
 
Ndiyo maana hujui maana ya 'certification, na accreditation', unajipigia tu kivyako huku ukijifanya mjuaji.

Ngoja nirudie, wewe ni mpumbavu, huwezi kuelimishwa. Unanipotezea muda wangu bure hapa.

Sitakujibu tena upumbavu wako.
 
Ok, maabara ipo certified and accredited. Je, matokeo hayawezi kuwa manipulated?
 
Back
Top Bottom