Je, maneno na watu wa kibiblia kwenye Qurani ni Copypaste za kwenye Biblia?

Kwa hiyo waarabu kabla ya mohammad au ulumwengu wote haukuwa unatumia nini au ulikuwa unasubiri ujio wa Mohammad.
Je Mohammad aiiona hiyo injili ya Isa aliookuja au alise.a tu nimeisitisha nimekuja na joja mpya.
Waisrael walijua Kuna nabii atakuja,ndiyo maana walimuuliza yesu ikiwa yeye ndiye nabii yule,yesu akasema hapana,atakuja yeye asiyesema kwa mapenzi yake Bali ya baba,yaani Muhammad hakusema Bali Yale aliyoteremshiwa,kuhusu wakati usihofu,Pana wakati mrefu Sana baina ya Musa na yesu,Ibrahim na Musa, Ibrahim na Muhammad
 
Unamaanisha Musa alimuita Mungu Allah sw!?..ni yuleyule,je walimwitaje kwa lugha zao!?..je tuiamini biblia katika Hilo!?
Hakumuita Allah alimuita YHWH, Mungu ni cheo, ila jina lake halisi la Mungu wa Musa ni YHWH ambalo si jina la cheo. Kumbuka Allah maana yake ni Mungu ambalo kwa Mungu wa Musa ni cheo tu.

Wayahudi wengi walikuwa wanaita watoto wao majina ya kuwakumbusha Mungu wa Musa, mfano Yahushua/Yesu(YHWH anaokoa), EliYahu/ELIYA(YHWH ni Mungu), Yehoshapati(YHWH ni Hakimu).
 
umesoma kitabu gani kinachosema ibrahim alikuwa mwarabu wa iraq? kipindi cha ibrahim waarabu (watoto wa ishamaeli walikuwepo au) nisaidie reffrence ya quruan uliposoma
Unataka reference iwe Qur'an tu!?
 
Mungu yuleyule,majina kwa lugha zao manabii husika,Ila sifa zake ukiwauliza ni zilezile
 
Nipo kwenye mada, Kwanza tuyakinishe ukweli wa maandiko yako, sawa?

Kajisome paragraph yako ya kwanza halafu nioneshe katika biblia zote ulizozisoma ni ipi hiyo ambayo ina miaka "zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.".

Halafu unaongelea "mtume" yupi wa Waislam? Kwa sababu Waislam tuna mitume mingi iliyotajwa kwa majina katika Qur'an.
 
Unaomstari wowote kutoka kwenye injili ya isa kwa wayahudi isa akiandika kuwa kuna mtume mpya atakuja. Kama huna hayo maneno umeyatolea wapi. Maana hayo maneno unayosema yanaonyesha ni kabla ya ujio wa Mohammad SAW.
 
Unataka reference iwe Qur'an tu!?
iwe quruani tu ndiyo......nakuwekea hapa ushahid wa biblia kuwa ibrahim alikuwa mwebrania na aliongea kiebrania kama ilivyo kwa musa na wayahudi wote
 

Attachments

  • 20230911_203846.jpg
    92 KB · Views: 1

Tupe basi hicho kitabu Og,achana na hichi kilichochakachuliwa. Kwa mujibu wa maelezo yako.
 
Biblia ipi unayoisoma, ya lugha gani? Na iliandikwa lini?
Samahani, swali juu ya swali!

1) Quran iliandikwa lini?

2) Iliwekwa kwenye mfumo wa maandishi lini?

3) Nani aliiweka kwenye mfumo wa maandishi?

4) Je, Allah alihusika kwenye huo mfumo wa maandishi au mwanadamu?
 
iwe quruani tu ndiyo......nakuwekea hapa ushahid wa biblia kuwa ibrahim alikuwa mwebrania na aliongea kiebrania kama ilivyo kwa musa na wayahudi wote
Wewe kiingereza huongei,ni muingereza!?.. waisrael wakati wa yesu hawakuongea kirumi,walikua warumi!?..
 
Injili ni Nini kwanza wakuu.

Tusiminyane tu
 
1 and 2 are true...
 
Mtume wa waislam mimi ninayemfaham ni Mohammad ambaye anaushahidi kwa kitabu alichotuletea. Kutaja wengine kabla yake kuwa wanauhusiano naye sio ushahidi. Ushahidi ni angalau wao wenyewe au wenzao wa wakati huo kuwataja kwenye vitabu vitakatifu nje ya Quran. Je unaushahidi huo nje ya quran?

Para ya kwanza haisemi biblia inazaidi ya miaka 1000, ila vinavyotajwa nani ya biblia vina zaidi ya miaka 3000 kqbla ya quran. Ila hata ukitakq hivyo pia bado para iko sawa. Bibliq ni makusanyo yq vitabu vitakatifu. Hii kazi imeanza miaka mingi kabla ya Yesu sio tu Mohammad.
Aliafnya ezra na nehemia baada ya kutoka utumwani babeli na yakakusanywa na kusomwa mbele za watu. Wakati huo kulikuwa na torah na baadhi ya vitabu vya waflme na manabii.
 
Injili ni Nini kwanza wakuu.

Tusiminyane tu
Ijil ni habari njema. Goodnews.
Ni habari njemq yenye uwezo wa kuketa wakovu kwa kila aiaminiye hii ndio kaleta Yesu. Ila Quran inahabari njema nyingi ila hazina ushahidi wa kuwa na nguvu ya kumuokoa anayezifuatilia.
 
Wewe kiingereza huongei,ni muingereza!?.. waisrael wakati wa yesu hawakuongea kirumi,walikua warumi!?..
ndugu alikuwa mwebrania wa kuzaliwa soma andiko vizuri ( ibrahimu huyo mwebrania) ...na enzi za ibrahimu waarabu hawakuwepo duniani....bado nasubiri ushahid wa kwenye quruani tukufu wa ibrahim kuwa mwarabu
 
Qorsn ni plagiarism ya bible
Bible Mungu alishuka usiku mnene,akabondwa na yakobo mpaka ambariki,akambariki yakobo ndo akamwachia arudi mbinguni asionwe na watu,huwezi Kuta hizo kufru kwenye QUR'AN,kusema Qur'an ni desa la bible ni kutovijua vitabu vyote
 
ndugu alikuwa mwebrania wa kuzaliwa soma andiko vizuri ( ibrahimu huyo mwebrania) ...na enzi za ibrahimu waarabu hawakuwepo duniani....bado nasubiri ushahid wa kwenye quruani tukufu wa ibrahim kuwa mwarabu
Mwebrania aliyehamia siyo!?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…