1. Kwanini biblia itaje na kuandika stori zilizokuwepo kwenye vitabu vya kiyaudi ambavyo vilikuwepo miaka zaidi ya 2000 ?
2. Unaweza kunitajia Hud , qaarun, idrisa, samiry, dhurqalnain, luqman, haman, swaleh ,abraha, dhu nuwas, uzair, zayd bin haritha na wengineo wengi waliotajwa kwenye quran wanapatika ukurasa upi wa kwenye biblia?
3. Labda nikwambie ukweli mchungu ambao ninyi wakristo hamuutaki na ndo reality hamuwezi kuibadili hauwezi kufanya mchana kuwa usiku kwa kufumba macho , ni hivi isa bin maryam(peace be upon him) mnayemwita yesu alikuwa ni mtu na mtume wa Allah( the almighty) na alipewa kitabu cha injil ambacho kina ujumbe wa tawhid na sheria mpya za Allah(the almighty) kwa wana wa israel ila waliomwamini ni wachache na majority ya waisrael wakataka kumwua hivyo Allah(the almighty) akamuepusha na njama zao na akamuhifadhi mpaka muda maalum atarudi ikiwa ni ishara ya siku za mwishi atamalizia umri wake duniani ataoa atakufa atazikwa karibu na mtume muhammad ( peace be upon him) .
Sasa alivyoondoshwa na kuhifadhiwa na Allah( the almighty) aliacha kitabu cha mwenyezi mungu (injil) ambapo walibakia nacho wale walioamini ikiwa ni pamoja na swahaba zake (hawariyun)miaka ilivyokwenda waisrael wakawa wana ki edit kwa kuondoa baadhi ya makatazo na amri na kuweka za kwao mwisho wa siku wakaja watu kama wakina paulo wakaanzisha ukristo warumi waka adopt dini hii mpya wakaendelea pale waliopoishia wayahudi kwa kuongeza maneno yao kwenye hichi kitabu kipya cha biblia wakatengeneza dini mpya ya mseto yenye mafundisho ya kipagani na baadhi ya kiyahudi wakapata Roman catholic.
Masahihisho
Isa bin maryam(peace be upon him) alikuwepo miaka 560 kabla ya kuzaliwa kipenzi cha Allah ( the almighty ) bwana mtume muhammad (peace be upon him).