Je, maneno na watu wa kibiblia kwenye Qurani ni Copypaste za kwenye Biblia?

kuendelea kubishana na mtu asiyetoa ushahid toka kwenye kitabu chake huku akiendelea kubishia ushahid wa wazi bilaa ya kuweka ushahid kutoka kitabu chake ni kazi bure
Hebrew ni mtu anaye-cross over,muhamaji,Ibrahim alihama aki-cross over mto Euphrates,hawezi kuwa muebrania kikabila/ethnicity kabla ya Hilo kabila kuwepo,ntakupa Aya toka QUR'AN juu ya ubaba wa Ibrahim kwa waarabu nikitulia
 
Nipo kwenye mada, Kwanza tuyakinishe ukweli wa maandiko yako, sawa?

Kajisome paragraph yako ya kwanza halafu nioneshe katika biblia zote ulizozisoma ni ipi hiyo ambayo ina miaka "zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.".

Halafu unaongelea "mtume" yupi wa Waislam? Kwa sababu Waislam tuna mitume mingi iliyotajwa kwa majina katika Qur'an.
Mimi nikiandika kitabu kitakatifu.
Nikamtaja ndani yake Mtume Mohammad na mitume wengine mbalimbali kama labda mtume Shelukindo au Mtume Zwangendaba au Mtume Trump.
Nikakulazimisha uamini mimi ni mtume kwa sababu kwenye kitabu changu nimetaja mitume ambao huwajui au baadhi au mmoja unamjua.

Je kwa ilimu yako, mimi kutaja hao watu ni sahihi kuamini niko sahihi kwa kutumia ushahidi wangu tu ambao mimi nimekupa bila kuwa na chanzo kingine cha kimitume kinachoaminika au mimi nikukataze usitafute chanzo kingine ila mimi na kitabu changu. Vingine vyote vimefutwa kwa sababu ya changu.

Hii imani huoni ni kujihatarisha sana kiroho mkuu.
 
Usikurupuke na kuandika hovyo na kuleta yasiyokuwepo kwenye mada. Rudia nilichokuuliza, Au umekwama unataguta pa kujikwamuwa?

Nipo kwenye mada, Kwanza tuyakinishe ukweli wa maandiko yako, sawa?

Kajisome paragraph yako ya kwanza halafu nioneshe katika biblia zote ulizozisoma ni ipi hiyo ambayo ina miaka "zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.".

Halafu unaongelea "mtume" yupi wa Waislam? Kwa sababu Waislam tuna mitume mingi iliyotajwa kwa majina katika Qur'an.
 
Kwa mujibu wa waislam wenyewe wanasema Issa ndio Yesu. Hivyo swali liliulizwa kwa mujibu wa waislam.

Lakini pia isa ni ligha tu sio dini.
Issa cha jina Yesu. Kama ilivyo.
Yahaya ndio Yohana.
Yakub ndio yakobo.
Nawewe unaamini kwamba ISSA(A.S)wa kwenye Qur-an ndie YESU wa kwenye Biblia?
 
Usikurupuke na kuandika hovyo na kuleta yasiyokuwepo kwenye mada. Rudia nilichokuuliza, Au umekwama unataguta pa kujikwamuwa?

Nipo kwenye mada, Kwanza tuyakinishe ukweli wa maandiko yako, sawa?

Kajisome paragraph yako ya kwanza halafu nioneshe katika biblia zote ulizozisoma ni ipi hiyo ambayo ina miaka "zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.".

Halafu unaongelea "mtume" yupi wa Waislam? Kwa sababu Waislam tuna mitume mingi iliyotajwa kwa majina katika Qur'an.
Maelezo uliyotoa hayaakisi majibu niliyojibu katika swali ulilouliza. Tulia soma vizuri ujibu upya.
Maelezo ya para ya kwanza nimekupa tena kwa option mbili kinzani. Maelezo unayotoa hayana uhusiano na nilichokijibu.

Kuhusu mtume wa waislam. Nimekutajia mtume wa waislam. Kuhusu waislam kiwa na mitume wengi nimekupa swali uthibitishe maana wewe ndio imeleta hoja ya waislam kuwa na mitume wengi. Nakudai jibu hapo kwenye kipengele cha uwepo wa wingi wa mitume uislamuni.

Pia mada sio usahihi wa vitabu, mada ni uwepo wa story za Kitabu A kwenye Kitabu kipya B.. kitabu A ni makusanyo ya vitabu vyenye umri wa zaidi ya miaka 4000 kwa kitabu B.

Mbona mambo rahisi sana mkuu
 
Nawewe unaamini kwamba ISSA(A.S)wa kwenye Qur-an ndie YESU wa kwenye Biblia?
Naongea kwa muktadha wa waislam wanavyoamini. Japo sina shaka ni Jina issa ndio Yesu. Hilo ni swala la Lugha tu ila wahusika wenye majina hayo wanaweza kuwa tofauti au mmoja halisi amechakachuliwa kwa makusudi maalum
 
QURAN 4: 163-164

" Hakika sisi tumekupa wewe (Muhammad) ufunuo kama tulivyompa ufunuo Nuhu na Mitume waliofuatia baada yake. Na tukampa ufunuo huo huo Ibrahim na Ismail na Is-haka na Yakubu na kizazi chao. Na Issa na Ayubu na Yunus(Yona) na Harun na Suleiman. Na Daudi tukampa Zaburi. Na mitume tuliokusimulia waliokuja kabla yako na wengine hatukukusimulia habari zao. Na Mwenyezi Mungu alisema na Musa wazi wazi"

QURAN 42: 13

"Amekuamrisheni dini ile ile aliyomuusia Nuhu na tuliyokufunulia wewe na tuliyowausia Ibrahim na Musa na Issa kwamba shikeni dini wala msitofautiane Ni magumu kwa washirikina hayo unayowaitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye na humuongoa aelekeaye kwake"

................................

Ni hivi ndugu yangu Muhammad hakuanzisha dini mpya, isipokuwa Mwenyezi Mungu yule yule aliyewapa Utume Mitume wa zamani ndio Mwenyezi Mungu huyo huyo aliyempa Muhammad SAW Utume.

Kusimuliwa visa vya Mitume waliopita ni mafunzo kwetu sisi kujifunza kwa waliyofanya wenzetu na adhabu walizoadhibiwa kwa wale wasiotii ili sisi tupate fundisho.

Pia Mtume Muhammad naye alikataliwa na watu wake pale Makka akahamia Madina baada ya kuteseka sana Makka. Kwa visa vya Mitume waliopita Mwenyezi Mungu anampa moyo Mtume Muhammad kuwa yeye sio Mtume wa kwanza kukataliwa kwani hata Mitume waliopita nao walikataliwa na wakalazimika kuhama miji yao kama Nabii Ibrahim, Nabii Musa n.k
 
Unaushahidi wowote wa uwepo wa kitabu kinachoitwa injili kilichoandikwa na nabii Yesu. Unahata aya moja kutoka kwenye hicho kitabu unitumie.
Hapa. Kama huna usikizungumzie mkuu.

Samahani kama nitakuwa nimekukwaza kukutaza kuxungumzia vitabu ambavyo unaamini vipo lakini hujawahi kuviona wala huna aya zake.
Baada ya kuona uzi wako nkajaribu kuchimba ili nijue nazungumza na mtu wa aina ipi. Kiufupi jitahidi kuwa na ELIMU ndo upinge.

Injili ni kitabu alichoteremshiwa issa (a.s) na ushahidi wa uwepo wa kitabu kinaitwa injili ni huu kweny qur-an 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20230911-220258_Quran.jpg
    Screenshot_20230911-220258_Quran.jpg
    197.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230911-220111_Quran.jpg
    Screenshot_20230911-220111_Quran.jpg
    149.6 KB · Views: 1
Qur-an imenukuu historia zilizopo kwenye vitabu vya zaburi, taurati, injili na sufi. Kisha qur-an ikaleta mafundisho tunayopaswa kufata waislam
Wanasema Quran ilitemreshwa halafu akapewa Muhamad.
Kwahiyo Allah alinukuu historia kutoka kwenye The Holy Bible?
Mbona maajabu haya. Fafanua vizuri
 
QURAN 4: 163-164

" Hakika sisi tumekupa wewe (Muhammad) ufunuo kama tulivyompa ufunuo Nuhu na Mitume waliofuatia baada yake. Na tukampa ufunuo huo huo Ibrahim na Ismail na Is-haka na Yakubu na kizazi chao. Na Issa na Ayubu na Yunus(Yona) na Harun na Suleiman. Na Daudi tukampa Zaburi. Na mitume tuliokusimulia waliokuja kabla yako na wengine hatukukusimulia habari zao. Na Mwenyezi Mungu alisema na Musa wazi wazi"

QURAN 42: 13

"Amekuamrisheni dini ile ile aliyomuusia Nuhu na tuliyokufunulia wewe na tuliyowausia Ibrahim na Musa na Issa kwamba shikeni dini wala msitofautiane Ni magumu kwa washirikina hayo unayowaitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye na humuongoa aelekeaye kwake"

................................

Ni hivi ndugu yangu Muhammad hakuanzisha dini mpya, isipokuwa Mwenyezi Mungu yule yule aliyewapa Utume Mitume wa zamani ndio Mwenyezi Mungu huyo huyo aliyempa Muhammad SAW Utume.

Kusimuliwa visa vya Mitume waliopita ni mafunzo kwetu sisi kujifunza kwa waliyofanya wenzetu na adhabu walizoadhibiwa kwa wale wasiotii ili sisi tupate fundisho.

Pia Mtume Muhammad naye alikataliwa na watu wake pale Makka akahamia Madina baada ya kuteseka sana Makka. Kwa visa vya Mitume waliopita Mwenyezi Mungu anampa moyo Mtume Muhammad kuwa yeye sio Mtume wa kwanza kukataliwa kwani hata Mitume waliopita nao walikataliwa na wakalazimika kuhama miji yao kama Nabii Ibrahim, Nabii Musa n.k
Umeandika vizuri lkn bado itabakia kuwa
Quran imecopy kutoka kwenye the holy bible.
Kasome vizuri Yesu kristo kwenye Biblia na Issa kwenye Quran.
Mmoja kazaliwa kwenye zizi la ng'ombe na mwingine chini ya mtende ila waislam wanaaminisha ni mtu yule yule mmoja.
 
SAS kitabu kimoja kinasema kazaliwa zizini kingne kinasema chini ya mtende still unasema kuna copy are you serious 😁
 
Baada ya kuona uzi wako nkajaribu kuchimba ili nijue nazungumza na mtu wa aina ipi. Kiufupi jitahidi kuwa na ELIMU ndo upinge.

Injili ni kitabu alichoteremshiwa issa (a.s) na ushahidi wa uwepo wa kitabu kinaitwa injili ni huu kweny qur-an 👇
Duh!
Yesu kristo alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe na Issa alizaliwa chini ya mtende.
Huyu huyu issa ndiyo wanasema ndiyo yule wa kwenye The holy Bible.
Kwahiyo Allah alinukuu injili, Torati na Zaburi kutoka kwenye The holy Bible?
 
Maelezo uliyotoa hayaakisi majibu niliyojibu katika swali ulilouliza. Tulia soma vizuri ujibu upya.
Maelezo ya para ya kwanza nimekupa tena kwa option mbili kinzani. Maelezo unayotoa hayana uhusiano na nilichokijibu.

Kuhusu mtume wa waislam. Nimekutajia mtume wa waislam. Kuhusu waislam kiwa na mitume wengi nimekupa swali uthibitishe maana wewe ndio imeleta hoja ya waislam kuwa na mitume wengi. Nakudai jibu hapo kwenye kipengele cha uwepo wa wingi wa mitume uislamuni.

Pia mada sio usahihi wa vitabu, mada ni uwepo wa story za Kitabu A kwenye Kitabu kipya B.. kitabu A ni makusanyo ya vitabu vyenye umri wa zaidi ya miaka 4000 kwa kitabu B.

Mbona mambo rahisi sana mkuu
Wewe huna jawabu mpaka sasa, unakuja na porojo ndeefu. Ngoja nirudie swali moja tu kwanza, naona akili zako finyu kidogo:

Kajisome paragraph yako ya kwanza halafu nioneshe katika biblia zote ulizozisoma ni ipi hiyo ambayo ina miaka "zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam."?
 
SAS kitabu kimoja kinasema kazaliwa zizini kingne kinasema chini ya mtende still unasema kuna copy are you serious 😁
Haujui maana ya copying.
Nenda kamuulize shekh hivi. Issa ni Yesu? Ulete jibu hapa
Mama wa Yesu anaitwa nani kwenye bible?
 
Baada ya kuona uzi wako nkajaribu kuchimba ili nijue nazungumza na mtu wa aina ipi. Kiufupi jitahidi kuwa na ELIMU ndo upinge.

Injili ni kitabu alichoteremshiwa issa (a.s) na ushahidi wa uwepo wa kitabu kinaitwa injili ni huu kweny qur-an 👇
Asante kwa mchango.
Ulichocomment ndio moja ya madhara ya kusoma vitabu vitakatifu kama viapo.
Wenzako walioelewa wamenyamaza au wamepotezea maana wanajua ninavhokitaka hakipo.
 
Back
Top Bottom