inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ili iweje!?..inabadili nini!?Basi usirudie tena kumdhalilisha pedophile Muhammad
Nenda kasome maana ya jina Israel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili iweje!?..inabadili nini!?Basi usirudie tena kumdhalilisha pedophile Muhammad
Nenda kasome maana ya jina Israel
Umemdhalilisha Sana pedophile MuhammadIli iweje!?..inabadili nini!?
Mpinga kristo!!!Quran imetaja majina ya watu ambao tayari biblia ilishawataja zamani miaka zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.
Quran imetaja story zinazofanana na story za kwenye biblia au maandiko ya kiyahudi yaliyokuwepo miaka zaidi ya 2000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.
Nini chanzo cha hizi story kuonekana humo?. Najiuliza. Kama mwenyezi Mungu alisahau kitu huko nyumq kwa nini asingeleta story na mambo mapya ili yaonekane ni mbadala wa yale yaliyokuwepo?
Je hizi ni moja ya sababu?
1: Kwa sababu ukristo ulikuwepo uarabuni zaidi ya miaka 600 kabla ya kuzaliwa Mtume wa waislam, basi zilichanganywa ili kuvuta wafuasi.
2: Kwa sababu Mtume wa waislam alipotokewa na kitu asichokifahamu, mkewe mkubwa alimpeleka kwa mkristo ili amsaidia ndugu Waraqa. Na kazi ya huyu waraqa ilikuwa ni kutafsiri maandiko ya biblia kwa kiarabu, basi kuishi hapo ambapo alitabiriwa utume alipata ideas mbili tatu kuhusu mambo yaliyokuwemo kwenye maandiko ya wakristo na wayahudi.
3: Kile kilichomtokea pangoni ndio kilimpa hayo maagizo na kumpa tips zinazoendana na maandiko kabla yake ila zikiwa zimechanganywa ili kuleta utofauti.
4: Au yale yalikuwa ni maelekezo ya Allah ambayo hayatakiwi kuhojiwa wala kuzungumziwa wala kulinganishwa na chochote.
Wajuvi mtujuze sisi wenye akili viherehere tusiona mipaka kujifunza mambo.
Comments ziheshimu imani za watu.
Una kifungu chochote kuwa quran isiharibiwe kwa sababu Muhammad ni mtume wa mwisho.Usikate tamaa unapotaka kujifunza kitu, iko hivi Mwenyezi Mungu ameilinda Quran isiharibiwe na watu kwa sababu Muhammad ni Mtume wa mwisho, yaani hakuna tena Mtume mwingine atakayekuja baada ya Muhammad mpaka mwisho wa dunia. Kwa hivyo Mwenyezi Mungu ameahidi kuilinda Quran isiharibiwe na wanaadamu ili vizazi vyote vitakavyokuja vikute ujumbe ule upo vile vile bila kuharibiwa.
Na kuhusu vitabu vya Injili na Taurati Mwenyezi Mungu aliwaacha wanaadamu wafanye watakavyo kwani kwa wakati ule Mitume bado walikuwa wanaletwa kwa hivyo wale wanaokuja walikuwa wakisahihisha makosa yaliyofanywa na wafuasi wa Mitume waliopita.
Usifikiri Mwenyezi Mungu hataacha kuwaadhibu wale waliobadilisha maandiko Yake matakatifu, atawaadhibu tu siku ya Kiama.
Hebu cheki You Tube Kuna mama mmoja mmarekani mzungu anaitwa Nur Nasir (alitumia jina hili baada ya kusilimu) unaweza ukaangalia story yake ya conversion from Christian to Islam kwenye You Tube. Huyu mama amefanya utafiti mwenyewe kwa kutumia kitabu cha Biblia na mwisho wa utafiti wake akaona kuwa Yesu sio Mungu wala si mwana wa Mungu bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Baada ya kuthibitidha hili kupitia vitabu vyake mwenyewe yaani Gospel na Torah ndio akaamua kusoma Quran na mwisho akasilimu. Mwanzoni alikuwa haiamini kabisa Quran kwa hivyo hakuisoma kabisa mpaka alipofanya utafiti wake mwenyewe kupitia Bible.
Na kuna kijana mwingine from China ambaye alisilimu huko Singapore huyu yeye alimuomba Mwenyezi Mungu amuonyeshe kati ya Quran na Bible ipi ni kweli? Na Mwenyezi Mungu akamuonyesha. Akasilimu (ukienda You Tube angalia Chinese man convert to Islam in Singapore by the name Sherald.
Si kwamba vitabu vya Taurati na Injili ni havifai moja kwa moja hapana, ni maneno ya Mwenyezi Mungu na ni vitabu vyake isipokuwa wanaadamu wameharibu baadhi ya maandiko katika hivyo vitabu.
Kama una nia ya kuutafuta ukweli basi muombe Mwenyezi Mungu akuongoze katika njia sahihi, muulize Mwenyezi Mungu ukweli ni upi na Yeye atakuonyesha. Itabidi ujitose katika kusoma kwa bidii na kumuomba Mungu na Yeye atakuonyesha njia sahihi.
Imekopi mambo mengi kimakosa inaonekana lengo ni kukifanya kionekane kitabu hicho kinauhusiano na Mungu wa kwenye agano la kale na jipya ili kiwe na sura ya udini. Vibginevyo kingekuwa kama vitabu vya kihindu.Sio kweli,ingekuwa Qur'an imecoppy Biblia.Ingekubaliansa moja kwa moja na
1.Kusulubiwa kwa Yesu,QUR'AN imekataa kama Yesu kasulubiwa.
2.Kuuwawa kwa Yesu,Qur'an imekataa kama Yesu kauwawa.
3.Kufa kwa Yesu,Qur'an imekataa kama kufa.Inasema hakufa,yuko hai,mbinguni
4.Kuzikwa kwa Yesu,Qur'an inakataa kuzikwa kwa Yesu,inasema hakuuwawa,hakuzikwa,yuko hai,mbingumi.
Na mengine mengi,yapo yanaotofautiana
1.Kama habari za Paulo,hazimo kwenye Qur'an
2.Kuolewa na fundi seremala kwa Mama wa Yesu,na Yoseph hazimo kwenye Qur'an
3.Ibada za kiislamu zipo tofauti kabisa na za ndani ya biblia,hazifanani kabisa.
4.Mtoto wa kiislamu,akizaliwa anakuwa muislamu,moja moja,lakini kwenye biblia,mpaka mtoto abatizwe.
5.Katika nyumba za ibada za waislamu,kiongozi wa ibada,anafanya ibada kama wengine,anaowaongoza,wakati katika biblia kongozi,anafanya ibada tofauti na anaowaongoza.
6.Quran imebaki katika lugha ya asili,ilitafsiriwa inahesabiks ni tafsiri sio Qur'an wenyewe.Lakini biblia,tafsiri inahesabika ndio biblia yenyewe.
7.Qur'an ukianza kuisoma,ni lazima umlani shetani,wakati biblia ukiiosoma,humlani shetani,unasoma moja kwa moja tu.
8.Nk
Kati ya Biblia na Quran ipi ilianza?ALAH alishusha vitabu 4.
TORATI-- --MUSA
ZABURI --DAUDI.
INJILI--ISSA(YESU)
FURQAN --MUHAMAMAD(SAW).
Tofauti ya ukiristo na uislam Ni vitu 2 tu.
--YESU sio MINGU.
--YESU hakusulubiwa msalabani.
--ALAH(MUNGU) --Hana mtoto,,Hana mke,wala hakuzaa wala hakuzaliwa.
Ukiangalia mengine yote yanafanana.
Hata YESU pia alisema kwenye INJILI KWAMBA,,,,
SIKUJA KUTENGUA TORATI BALI KUITIMILIZA.
means MUNGU huyo huyo wa MUSA ndy wa YESU,
MUNGU wa MUSA ndy MUNGU wa MUHAMMAD (SAW).
amri Kumi ya TORATI ya MUSA ndy amri Kumi za MUNGU WA MUHAMMAD..
DINI Ni moja Ila imeingiliwa na binadamu wakaichafua ndy utofauti wa uislam na ukristo..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Wakristo hawamtumbui Issa bali wanamtambua Yesu kristo aliyesurubiwa msalabani na siku ya tatu akafufuka na hana uhusiano wowote na Issa.Sio kweli,ingekuwa Qur'an imecoppy Biblia.Ingekubaliansa moja kwa moja na
1.Kusulubiwa kwa Yesu,QUR'AN imekataa kama Yesu kasulubiwa.
2.Kuuwawa kwa Yesu,Qur'an imekataa kama Yesu kauwawa.
3.Kufa kwa Yesu,Qur'an imekataa kama kufa.Inasema hakufa,yuko hai,mbinguni
4.Kuzikwa kwa Yesu,Qur'an inakataa kuzikwa kwa Yesu,inasema hakuuwawa,hakuzikwa,yuko hai,mbingumi.
Na mengine mengi,yapo yanaotofautiana
1.Kama habari za Paulo,hazimo kwenye Qur'an
2.Kuolewa na fundi seremala kwa Mama wa Yesu,na Yoseph hazimo kwenye Qur'an
3.Ibada za kiislamu zipo tofauti kabisa na za ndani ya biblia,hazifanani kabisa.
4.Mtoto wa kiislamu,akizaliwa anakuwa muislamu,moja moja,lakini kwenye biblia,mpaka mtoto abatizwe.
5.Katika nyumba za ibada za waislamu,kiongozi wa ibada,anafanya ibada kama wengine,anaowaongoza,wakati katika biblia kongozi,anafanya ibada tofauti na anaowaongoza.
6.Quran imebaki katika lugha ya asili,ilitafsiriwa inahesabiks ni tafsiri sio Qur'an wenyewe.Lakini biblia,tafsiri inahesabika ndio biblia yenyewe.
7.Qur'an ukianza kuisoma,ni lazima umlani shetani,wakati biblia ukiiosoma,humlani shetani,unasoma moja kwa moja tu.
8.Nk
Una kifungu chochote kuwa quran isiharibiwe kwa sababu Muhammad ni mtume wa mwisho.
Vitabu vyote vya mwenyezi Mungu kabla ya mtume viharibiwe hadi atakapokuja mtume.
Umeandika uongo mkubwa sana ambao hata mtume akisimama na wewe mbele ya kiti cha hukumu cha Yesu atakukana.
Wakati mtume anatokewa na jibril pangoni alipelekwa kwa Waraqa. Hadith sahih Bukhari imeweka wazi kuwa huyu Waraqa alikuwa anatafsiri injil. Maana take hadi mtume anapata huo unaoitwa utume injil ilikuwepo.
Katika nguzo za uislam, zinawataka waamini vitabu vya mwenyezi Mungu yaani Injil, Zabur na taurat. Sasa mnanguzo ya uongo. Maana Imani chanzo chake ni kusikia neno la Mungu, sasa utasikiaje kitu ambacho hakipo.
Umeandika contradictions
Allah alikuwa wapi waandishi wakiharibu vitabu vyake ?Hivyo vitabu vyote vilivyotangulia kama mikono ya waandishi haikuharibu maneno yao yangekuwa sawa sawa na Quran tu kwa sababu vitabu vyote vimeteremshwa na Mungu huyo huyo mmoja.
Kwa nini vitabu vyoote vipqkaziwe kuharibiwa na waandishi, wakati mfumo wa Mungu kabla ya quran alikuwa anawaagiza watu wake waandike.Ni kweli sisi waislamu tunaamini Injili, Zaburi na Taurati ni vitabu vya Mwenyezi Mungu vilivyoteremshwa kwa Mitume tofauti kwa zama zao, ila sasa kuna kitabu cha nne ambacho ni Quran kilicho teremshwa kwa Mtume wa sasa ambaye ni wa mwisho ambaye ni Muhammad (SAW).
Hivyo vitabu vyote vilivyotangulia kama mikono ya waandishi haikuharibu maneno yao yangekuwa sawa sawa na Quran tu kwa sababu vitabu vyote vimeteremshwa na Mungu huyo huyo mmoja. Hizi tofauti zimeletwa na wafuasi wa Mitume waliopita ambao ndio walibadilisha baadhi ya maneno kwenye vitabu vya zamani.
Quran haijawahi na haiwezi kubadilishwa mpaka mwisho wa dahari. Ni ahadi ambayo Mwenyezi you ameahidi na ndio mana hadi leo miaka 1400 bado ipo vile vile.
Ni zaidi ya nukuu.... imehamisha biblia.!! K2 wataelewa !!Qur-an imenukuu historia zilizopo kwenye vitabu vya zaburi, taurati, injili na sufi. Kisha qur-an ikaleta mafundisho tunayopaswa kufata waislam
Kwanini waliamua kuanzisha uislam badala ya kusambaza injili?Wapo wanazuoni wanadai Wakatoliki ndio waliounzisha uislam kupitia watawa wa kiJesuit,lengo kuu ni kuwaweka waarabu under one control sababu ilikua ni vigumu kuwacontrol sababu walikuwa wakiabudu masanamu.
Ndio unaona huo mfanano wa Quran kukopi maandiko ya Biblia.
dini zote Dunia ni branch ya ukatoliki ikiwemo uislam.Ndo maana ya church and churches.