leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,583
- 3,182
Anajidanganya!Lakini yeye mwenyewe amesema hakuna wa kuweza kumshusha,means kwamba hakuna wa kumkwamisha mambo yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajidanganya!Lakini yeye mwenyewe amesema hakuna wa kuweza kumshusha,means kwamba hakuna wa kumkwamisha mambo yake
Roma alikuwa ameenda kutalii?Kama sijaona mtu aliyetekwa, utaniaminisha vipi kwamba watu wanatekwa. Vile vile Kuna uthibitisho wowote kwamba hayati Magufuli aliteka watu. Na kutekwa kwa watu Kuna uhusiano gani na fani yake ya mziki. Kwanini mlazimishe akili zifanane
Muulizeni kabila lake ili tumuandikie kwa lugha ya mama yakeUmeisoma? Bado imetafsiliwa kiswahili lakini bado huelewi,ok subiri tafasiri ya kiyunani unakuja kesho huenda utaelewa.
Nasikitika kuwa vyombo vyote vya habari maarufu duniani vimelidaka Jambo hili saa hizi tunatrend kote duniani mtu kupingwa na watu wake Ila sababu tu ndio zinazotia aibu!
Iwe burudani iwe sanaa... iwe sijui nini ila "yeyote ashirikiye uovu ni mwovu hata kama ni nduguyo au mzazi wako..." yapasa akanywe... yapasa aonywe... ikiwa yeye alijipachika kusiko basi atokeze atubu... ikiwa yeye alitumika kisiasa basi na ajitokeze aseme sababu... ikiwa alitishwa si aseme tu "fdenge alijiteua kuwa mlezi wetu..." sidhani kama haya yooote yatajitokeza... kelele zikizidi huyu mtoto ataporomoka!!!Huyo alitoa hoja akili Hana hizi ni tuzo za burudani si za siasa
Sidhani kama cdm wanahusika na hili ila nikionacho ni "...mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe!!" Nimedondoa hilo andiko ili mfano utimie kwa wenye akili ya kuijua kesho... wajijua wewe ni mwanamuziki sijui msanii na una wapenzi au mashabiki si wa chama fulani pekee... kisha unaamua kuwa mpumbavu aidha kwa kushawishiwa na wapumbavu au njaa... haikutoshi kupanda majukwaani unaona ili kutimiza matakwa ya njaa yako au uchawa "unatukana na kukejeli wapenzi na mashabiki wako kwa sababu unaiona leo na kwa ule upumbavu unamtumai mwanadamu..."Chadema imejaa utoto mwingi. Kama kinahitajika chama mbadala, kinachoweza shika madaraka baada ya CCM, tuandae chama, kingine. Chadema si chama sahihi
Mna double standards .Angekuwa Kiba au Harmonize anagombea tuzo mngefanya mnayoyafanya? Maana percent kubwa ya wasanii wanashiriki kampeni za CCM, sasa why Mondi? Hii vita hamtashindaSidhani kama cdm wanahusika na hili ila nikionacho ni "...mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe!!" Nimedondoa hilo andiko ili mfano utimie kwa wenye akili ya kuijua kesho... wajijua wewe ni mwanamuziki sijui msanii na una wapenzi au mashabiki si wa chama fulani pekee... kisha unaamua kuwa mpumbavu aidha kwa kushawishiwa na wapumbavu au njaa... haikutoshi kupanda majukwaani unaona ili kutimiza matakwa ya njaa yako au uchawa "unatukana na kukejeli wapenzi na mashabiki wako kwa sababu unaiona leo na kwa ule upumbavu unamtumai mwanadamu..."
Sisemi mengi ila kuna funzo na kama hakujifunza na wanaodhani anaonewa sana "ati na cdm!!" Nina mashaka na "afya ya kufikiri kwao!" Je ROMA alipofikwa mondi alikuwa upande gani?
Wakikubali kutumika wajue kuna malipo na wakianza kulipwa kwanini wanalialia?
Kama ambavyo "CDM na MABEBERU walivyovuruga uchumi na kutuchelewesha kupata maendeleo..." ndivyo ambavyo wamesababisha tuwe na majizi ya mafuta na mali zingine za umma huku tukiwa na madc na marc wenye tuhuma za maovu na uhujumu uchumi huku bunge likijaa wanacdm!!!
Wala hakuna apiganae vita na wajinga wafuata mkumbo au wachumia tumbo... kuna kitu hamjifunzi ila ujumbe umefika la si hivyo KWANINI PRESHA ZINAWAPANDA NA BWANA YENU ALIPOA GHAFLA?Mna double standards .Angekuwa Kiba au Harmonize anagombea tuzo mngefanya mnayoyafanya? Maana percent kubwa ya wasanii wanashiriki kampeni za CCM, sasa why Mondi? Hii vita hamtashinda
Mna double standards .Angekuwa Kiba au Harmonize anagombea tuzo mngefanya mnayoyafanya? Maana percent kubwa ya wasanii wanashiriki kampeni za CCM, sasa why Mondi? Hii vita hamtashinda
Itachukua muda mrefu sana watu kujifunza kaka,maana hawajui kutofautisha ushabaki wao kwa mtu na wajibu wa mtu wanae mshabikia kwa mashabiki wake,ni sawa na rafiki yako kipenzi mwenye biashara yake ya juice unaipenda juice yake na wewe unamchangia kila siku kwa kununua juice yake halafu anakuja mtesi wako anasimama nae na wala hapazi sauti yake kukutetea unaumia,unateseka yeye yupo kimya na wala haishi kumsifia mtesi wako utakuwa na akili timamu kuendelea kumpenda na kumwinua? jibu ni hapana ila tunateswa na ujinga wetu wenyewe ni wakati sasa wa kuwafundisha hawa watu wajitambue.Wala hakuna apiganae vita na wajinga wafuata mkumbo au wachumia tumbo... kuna kitu hamjifunzi ila ujumbe umefika la si hivyo KWANINI PRESHA ZINAWAPANDA NA BWANA YENU ALIPOA GHAFLA?
Wa nchi gani huyo?Binafsi naona ni UJINGA uliopitiliza,
Kenye west alikuwa ni mshirika wa Trump lkn wamerekani waliokuwa democrat na vyama vyengine still walimpenda kenye west
Pambana na kutatua shida za familia yako na ukoo wako. Kumchukia mtu ambaye si sababu ya umaskini wako haikusaidii jinga weweWala hakuna apiganae vita na wajinga wafuata mkumbo au wachumia tumbo... kuna kitu hamjifunzi ila ujumbe umefika la si hivyo KWANINI PRESHA ZINAWAPANDA NA BWANA YENU ALIPOA GHAFLA?