Sirudii tena [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mapenz shikamoo[emoji23][emoji23]
Hiyo namba mbili ni bonge moja la fallacyKwanza suala zima la mapenz wanawake na Wanaume wametofautiana sana
1. Mwanaume anaweza kusex na mwanamke asiyempenda na bado akaenjoy sex
2. Mwanamke Hawez kusex na mwanaume asiyempenda, ukiona umepewa jua kakupenda
Basi hao wanawake Malaya wanamaupendo sana maana wanasex na dozen ya wanaume!Kwanza suala zima la mapenz wanawake na Wanaume wametofautiana sana
1. Mwanaume anaweza kusex na mwanamke asiyempenda na bado akaenjoy sex
2. Mwanamke Hawez kusex na mwanaume asiyempenda, ukiona umepewa jua kakupenda
Mshkaj unakazaga fuvu ww[emoji23]Basi hao wanawake Malaya wanamaupendo sana maana wanasex na dozen ya wanaume!
Kwa hiyo hawa akina dada poa wao sio wanawake?Kwanza suala zima la mapenz wanawake na Wanaume wametofautiana sana
1. Mwanaume anaweza kusex na mwanamke asiyempenda na bado akaenjoy sex
2. Mwanamke Hawez kusex na mwanaume asiyempenda, ukiona umepewa jua kakupenda
Kawaida Sana kwa wapenz wetu wa kishule shule,Kwenye ngoma ya Dunia mmakonde anakuambia "Kuna kidudu kinaitwa mapenzi hakijawahi kueleweka" tuishi humo
Hawa wananipiga vibuti kila leo huko pm...mbususu ya hawa warembo mie kuiona ni mpaka yesu arudi🤣🤣🤣🤣
I see mkuu,,afu kupitia hili tunakuja kuoa/kuolewa na somebody ambae Kuna somebody akimtaka anytime atakuwa available[emoji16]Kawaida Sana kwa wapenz wetu wa kishule shule,
Mapenz ya vile kuisha Ni ngumu mno,
Maana mlipendana naturally bila influence ya pesa,umaarufu Wala cheo.
Nna binti aliwai kunipenda sana Tangu Tuko sekondar, binafs sikumpenda maana nilikua player na nilikua na option lukuzi za mabinti wazur sana kuliko yeye na pesa ilikuepo.
Hata kumtongoza nilimtongoza TU Kwasababu ya nyege zangu mazingira alikaa vibaya, baada ya kusex nae nikapita kushoto maana hata kutoka nae out kwa Watu nilimkwepa.(Hakua type yangu).
Kumbe yeye ndo alizid kunipenda sana.
Nowdays kaajiliwa pale wizara ya viwanda&biashara.
Ananisaidia mambo mengi ya kiserikali Kama ex wake na rafiki Yake.
Happy naona kabisa anataman tukumbushe na Kuna mwaka niliwai kujizima data nikataman tukapashe kiporo kdg ila nafs ikasita maana yakishaingia mapenz michongo yangu ataikwamisha na huenda akaniganda Sana.