ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Ebu leo tuzungumze ili je mapenzi ni upendo au mapenzi ni kitendo.
Iko hivi mfano tuseme mapenzi ni upendo je mbona kuna mtu anaweza kuwa na mpenzi wake akaenda kusaka mpenzi mwingine hii ina maana je ana upendo na yule aliyenae?
Labda tuseme mapenzi ni TENDO ndio maana mtu unaweza kwenda ata mahali ukanunua mtu kwa ajili ya kufanya nae mapenzi ambaye wala haumpendi na yeye wala akupendi.
Pia kama ni hivyo pia mwanamke Naye anaweza fanya ayo mapenzi na watu zaidi ya watatu je huo nao ni upendo.sasa kwakweli upendo ni nini ili utimie.