Je, mapenzi ni upendo au ni tendo?

Je, mapenzi ni upendo au ni tendo?

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Ebu leo tuzungumze ili je mapenzi ni upendo au mapenzi ni kitendo.

Iko hivi mfano tuseme mapenzi ni upendo je mbona kuna mtu anaweza kuwa na mpenzi wake akaenda kusaka mpenzi mwingine hii ina maana je ana upendo na yule aliyenae?

Labda tuseme mapenzi ni TENDO ndio maana mtu unaweza kwenda ata mahali ukanunua mtu kwa ajili ya kufanya nae mapenzi ambaye wala haumpendi na yeye wala akupendi.

Pia kama ni hivyo pia mwanamke Naye anaweza fanya ayo mapenzi na watu zaidi ya watatu je huo nao ni upendo.sasa kwakweli upendo ni nini ili utimie.
 
Kwanza suala zima la mapenz wanawake na Wanaume wametofautiana sana

1. Mwanaume anaweza kusex na mwanamke asiyempenda na bado akaenjoy sex

2. Mwanamke Hawez kusex na mwanaume asiyempenda, ukiona umepewa jua kakupenda
 
Kiswahili kigumu, ila umechanganya vitu viwili tofauti, romantic love and sex. For women, love and sex can't be separated, am talking about normal girls not hookers

Girls who are in romantic love can easily accept sex to that man, also a girl can develop romantic love if she has a good sex with a man, even hookers do tho rarely. Thus why you see those young girl in old age were married to strange men but they later fall in love as a result of closeness and sex

For men , sex and love are separable and completely two things, a man can sex with a girl with zero romantic feelings over and over.
 
Kwanza suala zima la mapenz wanawake na Wanaume wametofautiana sana

1. Mwanaume anaweza kusex na mwanamke asiyempenda na bado akaenjoy sex

2. Mwanamke Hawez kusex na mwanaume asiyempenda, ukiona umepewa jua kakupenda
Hiyo namba mbili ni bonge moja la fallacy
 
Kwanza suala zima la mapenz wanawake na Wanaume wametofautiana sana

1. Mwanaume anaweza kusex na mwanamke asiyempenda na bado akaenjoy sex

2. Mwanamke Hawez kusex na mwanaume asiyempenda, ukiona umepewa jua kakupenda
Basi hao wanawake Malaya wanamaupendo sana maana wanasex na dozen ya wanaume!
 
Kwenye ngoma ya Dunia mmakonde anakuambia "Kuna kidudu kinaitwa mapenzi hakijawahi kueleweka" tuishi humo
 
Kwanza suala zima la mapenz wanawake na Wanaume wametofautiana sana

1. Mwanaume anaweza kusex na mwanamke asiyempenda na bado akaenjoy sex

2. Mwanamke Hawez kusex na mwanaume asiyempenda, ukiona umepewa jua kakupenda
Kwa hiyo hawa akina dada poa wao sio wanawake?
 
Kwenye ngoma ya Dunia mmakonde anakuambia "Kuna kidudu kinaitwa mapenzi hakijawahi kueleweka" tuishi humo
Kawaida Sana kwa wapenz wetu wa kishule shule,

Mapenz ya vile kuisha Ni ngumu mno,
Maana mlipendana naturally bila influence ya pesa,umaarufu Wala cheo.

Nna binti aliwai kunipenda sana Tangu Tuko sekondar, binafs sikumpenda maana nilikua player na nilikua na option lukuzi za mabinti wazur sana kuliko yeye na pesa ilikuepo.

Hata kumtongoza nilimtongoza TU Kwasababu ya nyege zangu mazingira alikaa vibaya, baada ya kusex nae nikapita kushoto maana hata kutoka nae out kwa Watu nilimkwepa.(Hakua type yangu).

Kumbe yeye ndo alizid kunipenda sana.

Nowdays kaajiliwa pale wizara ya viwanda&biashara.

Ananisaidia mambo mengi ya kiserikali Kama ex wake na rafiki Yake.

Happy naona kabisa anataman tukumbushe na Kuna mwaka niliwai kujizima data nikataman tukapashe kiporo kdg ila nafs ikasita maana yakishaingia mapenz michongo yangu ataikwamisha na huenda akaniganda Sana.
 
I see mkuu,,afu kupitia hili tunakuja kuoa/kuolewa na somebody ambae Kuna somebody akimtaka anytime atakuwa available[emoji16]
 
Back
Top Bottom