Hilo nalo nililifikiria ila ukienda Kenya, Malawi, Zambia na nchi nyingine za ukanda wetu marais wao wanatumia hayo magari.Uko nyuma sana ndugu.
Yale magari hawakutoka nayo huko kwao, yameandaliwa na serikali ya Tanzania kwaajili ya shughuli hiyo.
Labda kampuni ya Toyota wameamua kutumia mkutano huu kama fursa ya kutangaza biashara yao. I'm just thinking..Hilo nalo nililifikiria ila ukienda Kenya, Malawi, Zambia na nchi nyingine za ukanda wetu marais wao wanatumia hayo magari.
Mbona Mimi nimetumia Benz AU hukuniona?Uko nyuma sana ndugu.
Yale magari hawakutoka nayo huko kwao, yameandaliwa na serikali ya Tanzania kwaajili ya shughuli hiyo.
Tanzania kwenye suala la magari ya umma Toyota ndiyo chaguo nambari 1. Yawezekana Toyota wanawapa rushwa maafisa wa serikali na GPSA ili wapate upendeleo kwa kampuni ya Toyota kwenye manunuzi.
Zamani zilitumika Benz ila naona zimepitwa na wakati, wamezipark TEMESA, Mt. Depot nenda kauziwe milioni 4 mbenzi wa ukweliMbona Mimi nimetumia Benz AU hukuniona?
Uholanzi wanazitumia kama taxi; SINA UHAKIKA Ujerumani kwenyeweZamani zilitumika Benz ila naona zimepitwa na wakati, wamezipark TEMESA, Mt. Depot nenda kauziwe milioni 4 mbenzi wa ukweli
hi😉Inashangaza sana
Mbona rais wa Somalia na Djibout wametumia magari tofauti? Na mbona nchi wanachama za SADC marais wao wanatumia Toyota?Hilo swali ungeuliza serikali yako maana ndio waliondaa hayo magari.
Waalikwa wamekuja na ndege zao tu ambazo zimepaki Airport.