Sasa mbona huwa kama hana interest nae asee[emoji848]Nimekumbuka kuna picha Mange alimpost mama yake, i think walikuwa Airport. Mange amefanana sana na mama yake; na hata kwenye picha yule mama hakuonekana kuwa mwenye shida/maskini.
Sasa mbona huwa kama hana interest nae asee[emoji848]
Kama ni hivyo mbona alishindwa kesi ya mirathi na mke wa mzee.
Na angekua wa halali asingeacha kuandika historia yake hii mnayoipamba mitandaoni.
Hii pia ni sabb kubwa sanaMaybe ni vile alilelewa na baba zaidi + mama yake kufariki; labda hawakupata muda wa kubond sana
Mmmmmh labda sio wote, mbna mie nawaona wako vizuri kwa kila idara.Ila wapare wana roho ngumu jamani eeh Mungu niepushie[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Mange jaman nae mtata, had kumficha mama ake lolNimeshanga[emoji849][emoji849][emoji849]
Au hakuwa mcute?
Hata mimi naikumbuka hiyo picha,na alielezea kwa uwazi kabisa bila kuficha hata mvutano kati ya Wazazi wake wa Custody ya Mange hadi Baba akafaulu kupewa haki ya kumlea.Nashangaa watu wanavyosema alikuwa anamficha Mama yakeNimekumbuka kuna picha Mange alimpost mama yake, i think walikuwa Airport. Mange amefanana sana na mama yake; na hata kwenye picha yule mama hakuonekana kuwa mwenye shida/maskini.
Bora na wewe umesema,yani mtu anapindisha ukweli kisa kujifurahisha nafsi yake.Mange alisema hawezi badili uraia wa Tanzania maana akifanya hivyo tu atakosa haki ya kurithi ardhi Tanzania ambapo ana plots Mbweni ikiwa sehemu ya urithi wake kutoka kwa Baba yake.Mbona ameshawahi kuiandika na kuclarify hilo, wewe kutoiona haimaanishi haipo!
Halafu Mange hajashindwa mirathi bwana, wamegawiwa mali wote. Sources zako mbona hazina facts mama?
Usigubikwe na chuki, najua Mange kachafua wengi mjini hapa tena sometimes kwa kufabricate uongo mbaya sana ila usilipe ubaya kwa ubaya!
Ohoooo!!!Hapana...anaroom tu
Duh[emoji849][emoji848]Upo sahii kabisa Mange alimkana Mama yake Mzazi anakaa Tandika maswekeni akajipenyeza kwa Mwele Kua ndio mama Yake wakati Mwele alikua ni Mchepuko wa baba yake
Mange Hakutaka watu wamjue Mama yake mzazi alikua anamficha Ficha Yule mama kwa sababu ya umaskini japo alishaanza Kua na kipato mama yake akiwa bado hajafariki.
Naona alikuja kugundua Kua mama ni Mama when it was too late akakosa Baraka za mama yake
Aisee,dunia ina mamboNi mistress wa baba yake marehemu .
Duh humu bora usome upite tuMange sio zao la sidechick. Mama yake alikuwa Mke halali wa baba yake ingawa alikuja kuachwa baadaye.
Hata mimi naikumbuka hiyo picha,na alielezea kwa uwazi kabisa bila kuficha hata mvutano kati ya Wazazi wake wa Custody ya Mange hadi Baba akafaulu kupewa haki ya kumlea.Nashangaa watu wanavyosema alikuwa anamficha Mama yake
We acha tu,Enzi za "Mashauzi yanataka pesa au Muke ya Muzungu" 😄 ilikuwa ni moto.Mange ana mapungufu yake mengi tu lakini inapokuja swala la kuweka wazi mambo yake inapohitajika huwa hafichi kitu,iwe mazuri au mabaya.Inaonekana wengi wameanza kumjulia Instagram ndiyo maana wanakuja na story za uongo za mambo ambayo enzi za u-turn tayari yalishawekwa wazi.
We acha tu,Enzi za "Mashauzi yanataka pesa au Muke ya Muzungu" [emoji1] ilikuwa ni moto.Mange ana mapungufu yake mengi tu lakini inapokuja swala la kuweka wazi mambo yake inapohitajika huwa hafichi kitu,iwe mazuri au mabaya.Inaonekana wengi wameanza kumjulia Instagram ndiyo maana wanakuja na story za uongo za mambo ambayo enzi za u-turn tayari yalishawekwa wazi.
Mbona ameshawahi kuiandika na kuclarify hilo, wewe kutoiona haimaanishi haipo!
Halafu Mange hajashindwa mirathi bwana, wamegawiwa mali wote. Sources zako mbona hazina facts mama?
Usigubikwe na chuki, najua Mange kachafua wengi mjini hapa tena sometimes kwa kufabricate uongo mbaya sana ila usilipe ubaya kwa ubaya!
Bora na wewe umesema,yani mtu anapindisha ukweli kisa kujifurahisha nafsi yake.Mange alisema hawezi badili uraia wa Tanzania maana akifanya hivyo tu atakosa haki ya kurithi ardhi Tanzania ambapo ana plots Mbweni ikiwa sehemu ya urithi wake kutoka kwa Baba yake.
Heehh....kumbe una yako mengine zaidi ya huu mjadala. All the Best mamaKutwa midomo mireeefu ndo nimeshaandika hivyo inawauma mezeni wembeView attachment 2121727View attachment 2121728
Heehh....kumbe una yako mengine zaidi ya huu mjadala. All the Best mama
Misukule ya u turn poule
Mange sio mtoto wa sidechick, Mange hajashindwa kesi ya mirathi. Kama hutaki basi ila hutokuja kutudanganya hapa!
JF kiboko ya waongo na wanaodandia matreni kwa mbele!