Je, marekani itaweka zuio kwa kampuni ya China ya AI [Deepseek] ili kulinda makampuni yake ya ndani ya Artifical Intelligence[AI]

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Kampuni ya AI kutoka China ya Deepseek imezua gumzo katika vyombo vya marekani hivi karibuni kwa toleo lenye uwezo mkubwa

Hali hiyo imeleta hofu kwa makampuni ya marekani katika soko na ushindani,je serikali ya Marekani itachukua hatua za haraka kudhibiti hali hii

Je, huu utakuwa muendelezo wa vita vya kiteknolojia kati ya marekani na China katika kutawala ulimwengu wa kiteknolojia kwa sasa na miaka ijayo ?

DeepSeek-V3 Capabilities
DeepSeek-V3 achieves a significant breakthrough in inference speed over previous models.

It tops the leaderboard among open-source models and rivals the most advanced closed-source models globally.

View: https://youtu.be/WEBiebbeNCA?si=flwCXL6n1QD_L0MC

View: https://youtu.be/zHdM0oviHnY?si=gdAdwXNiwpEIXysQ

View: https://youtu.be/MozJ43LMR6I?si=6YA-Ijgm33q2fBWS

Hapa Mchina kapiga kata funua knockout blow, kitakachowagharimu Wachina ni serikali ya Kikomunisti ya CCP kuwa na mkono mrefu kwenye AI zao.
Wanasema kwenye hii AI ukiuliza maswali negative kumuhusu Xi Jinping haikupi majibu au inatoa majibu fyongo, mara iji autocorrect.
 
Hapa Mchina kapiga kata funua knockout blow, kitakachowagharimu Wachina ni serikali ya Kikomunisti ya CCP kuwa na mkono mrefu kwenye AI zao
Kweli. maybe watafanya kama TikTok na Douyin.

Moja inabase China mainland na nyengine inakuwa global version nafikiri hivyo
 
Hiyo AL inajihusisha na nini fafanua basi Kwan wote tunazijua mkuu
 
Kampuni ya AI kutoka China ya Deepseek imezua gumzo katika vyombo vya marekani hivi karibuni kwa toleo lenye uwezo mkubwa

Hali hiyo imeleta hofu kwa makampuni ya marekani katika soko na ushindani,je serikali ya Marekani itachukua hatua za haraka kudhibiti hali hii

Je, huu utakuwa muendelezo wa vita vya kiteknolojia kati ya marekani na China katika kutawala ulimwengu wa kiteknolojia kwa sasa na miaka ijayo ?

DeepSeek-V3 Capabilities
DeepSeek-V3 achieves a significant breakthrough in inference speed over previous models.

It tops the leaderboard among open-source models and rivals the most advanced closed-source models globally.

View: https://youtu.be/WEBiebbeNCA?si=flwCXL6n1QD_L0MC

View: https://youtu.be/zHdM0oviHnY?si=gdAdwXNiwpEIXysQ

View: https://youtu.be/MozJ43LMR6I?si=6YA-Ijgm33q2fBWS

Mkuu hii habari nilitaka kuandika toka jana. Ni free hata API zake na mbaya zaidi ni kwamba wenyewe wamefanya optimization kwa kutumia graphics card toleo la zamani kitu kinapiga kazi. China ni balaa kabisa.
 
Hiyo AL inajihusisha na nini fafanua basi Kwan wote tunazijua mkuu
DeepSeek v3 is an advanced AI-powered application designed primarily for data search and retrieval, leveraging deep learning techniques to enhance its ability to understand and process large amounts of unstructured data.
It allows users to search through vast datasets and find highly relevant information with a higher level of precision compared to traditional search tools.
The system’s intelligence comes from its ability to comprehend context, analyze semantic meaning, and learn from the data it processes, rather than just matching keywords.
It's more than just a search engine—it's a data intelligence tool that continuously adapts and evolves with user input and data changes.
 
Hapa Mchina kapiga kata funua knockout blow, kitakachowagharimu Wachina ni serikali ya Kikomunisti ya CCP kuwa na mkono mrefu kwenye AI zao.
Wanasema kwenye hii AI ukiuliza maswali negative kumuhusu Xi Jinping haikupi majibu au inatoa majibu fyongo, mara iji autocorrect.
Screenshot_2025-01-26-13-52-16-99_7614e48627b7380b17b386d382d1b2ef.jpg

Deepseek imekunywa maji ya bendera.
 
The problem is not DeepSeek. What's disturbing US tech elites, is how can an unknown Chinese tech startup, manage to creat AI that has more computing power, outpacing OpenAI using outdated microchips, and training in LLM with a less than $6 Million.

OpenAI trained it's system, with bombshell amount of $60 million. If you think about it, it's just a money pit and gigantic ponzi scheme.​
 
View attachment 3214697

Deepseek imekunywa maji ya bendera.
Inaweza kukufanya usiendelee kuitumia. Bidhaa zote zinazotengenezwa china kuna vitu huwezi kufanya ni kosa kubwa. Mfano kudai kwamba Tawan ni nchi, ni kosa kubwa kuna kiipindi tulikuwa tuna localize interface ya Harmony OS walikuwa kwenye guidelines wanasisitiza sana sana usije ukatfsiri interface kwa kusema kuwa Taiwan ni nchi maana ni kosa kubwa sana.
 
Iko biased, swali nililoiuliza kuhusu raisi wa China ikashindwa kunijibu nimeiuliza swali hilohilo kuhusu raisi wa Venezuela, imefunguka balaa.
 
Usitegemee bidhaa yoyote ya china ikuambie kitu negative kuhusu china na hiyo ni sheria.
Lakini hii deepseek imetengenezwa kwa funding ya just 5 milion dollars ndiyo maana kwa uwezo wake imekuwa na habari kubwa na ina run kwa kutumia gpu ambalo si toleo la sasa zaidi
 
Back
Top Bottom