Je, Master J huwa anampiga Shaa?

Mimi akinizingua tuu,nawasha gari,huyooo naenda National Park yeyote ile kwa wiki bila ya kumwambia nipo wapi wala kuwasiliana naye wala watu wake wa karibu.
 
Ulivyojiweka ndivyo utakavyofanywa.
Kama unajibiwa vibaya, ivyo ndivyo ulivyojiweka.
By the way..
Kwa mkono wangu huu, mmh..!! Sijuiii...

Nitapiga vipigo vya kisaikolojia maana mimi mkono wangu ni mzito sana, nikiushusha mara moja tuu kila kilicho chini ya nkono kinakua chapati na sijui kukadiria kipigo cha mwanamke wala mwanaume wala cha mbwa, nikipiga nimepiga.

Lakini Grace wawatu mpaka nimpige amefanya nini jamani. Mtoto wa watu very innocent. Yani hata nikitamani mabinti huko duniani, nikikumbuka innocence yake tuu habari inaishia hapo hapo
 
Sasa mke yupo ndani utajikataje kimya kimya? Utakimbia nyumbani kwako?
Ndio sijui itakuwaje maana sipendi mwanamke mwenye kelele yani mimi mwanamke akitaka nimkinai mapema aanze mdomo na kutaka kunipanda kichwani fasta tunamalizana.
Uwa naomba huu mtihani usinikute kwenye ndoa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] safi sister angu baby wake alikuwaga anampiga hata akiwa na mimba siku hyo acha amvute dudu Hadi kazimia mpaka Leo amekoma, hii tabia ya kupigana sio nzuri
Angeuaaa uwiii[emoji119][emoji119]
 
Kweli mkuu, kunasiku wife yaani anakataa kumnyonyesha dogo, namuuliza kwanini hataki akanijibu mnyonyeshe na wewe kama unaona raha, alikula banzi ambalo hatakuja sahau
Huyu hana akili...anakataaje kumnyonuesha mtoto...yni mi navyopenda wanangu kuliko kula eeeh...
 
Unampiga Samia?
 
Kweli mkuu, kunasiku wife yaani anakataa kumnyonyesha dogo, namuuliza kwanini hataki akanijibu mnyonyeshe na wewe kama unaona raha, alikula banzi ambalo hatakuja sahau
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mimi ujanja wangu wote mwanaume akiwa karibu sigombani,sibishi,situtakani mqqna najua kabisa kibongobongo kifuatacho ITV ....[emoji1][emoji1][emoji1]sijawahi hata kutiwa singi,Mimi hua nikiona hapa pamekaa vibaya naomba msamaha au nakaa kimya baasi!
Jeuri tukiwa mbali mbali
 
Hata simjibishi nakuwa kimya nafanya yameisha huku naanda rungu navunja mguu nasepa zangu mie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli mkuu, kunasiku wife yaani anakataa kumnyonyesha dogo, namuuliza kwanini hataki akanijibu mnyonyeshe na wewe kama unaona raha, alikula banzi ambalo hatakuja sahau
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
'I took it like a champ'

Ni kosa la nani kuiaminisha jamii kwamba kupigwa ni kipimo cha upendo? Kwamba wivu ni namna ya kuexpress unavyompenda mtu? Kwamba ukipigwa ukavumilia "You are a champ"?

Wanawake wamekua programmed kua victims since birth no wonder mwanamke atapigwa na partner wake atalia atanyamaza na atajiona yeye ndiye kisababishi cha kupigwa.

Kama uhusiano wako upo hivi tafadhali jua upo kwenye uhusiano na manipulator. Atapindua maneno kukufanya uone wewe ndiye mwenye makosa, atakufanya uhisi bila yeye hauwezi.

Na jamii inachukulia kupigana ni sehemu ya maisha ya ndoa, hili swala linaonekana la kawaida kiasi kwamba Shaa yuko proud to take a beating.

'I took it like a champ'

Beaten by somebody you believe you love each other. Ni upuuzi.
 

Ukamchezesha...reset [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…