Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Hapana, unataka kuniwowa (oa)?Umeolewa...[emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, unataka kuniwowa (oa)?Umeolewa...[emoji848][emoji848]
Kofi la mapenzi ndio lipoje wewe acha siasa ...haliumi?Mimi siyo mpigaji hata kidogo,huwa inatokea mara moja Kwa mwaka tena labda niwe na hasira sana
Sinampiga mbele za watu na ilikuwa Kofi Tu la mapenzi
Mimi akinizingua tuu,nawasha gari,huyooo naenda National Park yeyote ile kwa wiki bila ya kumwambia nipo wapi wala kuwasiliana naye wala watu wake wa karibu.Sijawai kupiga mwanamke na uhenda inaweza isitokee kabisa mimi kumpiga mwanamke.
Lakini wanawake wana midomo sana na wabinafsi sometimes unawaelewa wanaopiga mwanamke.
Mimi demu akizingua na makelele yake au mawivu najikataa kimya kimya atashangaa tu eeeh hivi kumbe mapenzi yashaisha.... ikitokea kwa mke sijui itakuwaje wanawake punguzeni midomo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio sijui itakuwaje maana sipendi mwanamke mwenye kelele yani mimi mwanamke akitaka nimkinai mapema aanze mdomo na kutaka kunipanda kichwani fasta tunamalizana.Sasa mke yupo ndani utajikataje kimya kimya? Utakimbia nyumbani kwako?
umenena vyema sio mnakaa kwenye ndoa au mahusiano hamzinguani hata kidogo huo ni upimbiEntertainment itatoka wapi tukipunguza midomo? Mtakuwa bored
Angeuaaa uwiii[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23] safi sister angu baby wake alikuwaga anampiga hata akiwa na mimba siku hyo acha amvute dudu Hadi kazimia mpaka Leo amekoma, hii tabia ya kupigana sio nzuri
Huyu hana akili...anakataaje kumnyonuesha mtoto...yni mi navyopenda wanangu kuliko kula eeeh...Kweli mkuu, kunasiku wife yaani anakataa kumnyonyesha dogo, namuuliza kwanini hataki akanijibu mnyonyeshe na wewe kama unaona raha, alikula banzi ambalo hatakuja sahau
Unampiga Samia?Juzi Tu hapo jmosi nimetoka mjini kuna kitu nilienda kumnunulia bila kumuaga naenda wapi,nikachelewa kurudi kidogo.
Akaniandikia meseji ya ajabu Hadi sn "yaani wewe mwanaume Hadi mshahara uishe ndy utatulia nyumbani,sasa hivi ushaenda Kwa michepuko yako". Isivyo bahati meseji inaingia nami ndy nafika nyumbani,nikaweka mzigo wake mezani akachezea vibao kadhaa kisha akaniomba msamaha kwamba hakujua km nimeenda huko
Kwa wale wenye kukaa na wanawake wanaelewa kbs jinsi wanawake wanavyozingua,Mimi simlaumu kbs master J km anampiga mkewe,maana kauli umetoka upande mmoja wa mwanamke,ingawa naye hayupo direct
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mimi ujanja wangu wote mwanaume akiwa karibu sigombani,sibishi,situtakani mqqna najua kabisa kibongobongo kifuatacho ITV ....[emoji1][emoji1][emoji1]sijawahi hata kutiwa singi,Mimi hua nikiona hapa pamekaa vibaya naomba msamaha au nakaa kimya baasi!Kweli mkuu, kunasiku wife yaani anakataa kumnyonyesha dogo, namuuliza kwanini hataki akanijibu mnyonyeshe na wewe kama unaona raha, alikula banzi ambalo hatakuja sahau
Hata simjibishi nakuwa kimya nafanya yameisha huku naanda rungu navunja mguu nasepa zangu mie[emoji23][emoji23][emoji23]Dada yangu,usiombe mwanaume akupige na umuvizie umpige! Hua naona mara nyingi, mwanaume akimpiga mke wake na mke akawa Cool,hua hakuna ugomvi zaidi,ila sasa mwanaume akupige kofi halafu urudishe,na maneno mengi sijui,nipige sasa,nasema nipige?? Nakuambia unaweza shangaa umepaa kama ndege! Utakua mtama huo,kabla hujatua chini,unakula kerebu! Ukija fika chini,mchuzi unamwagika tu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mkuu, kunasiku wife yaani anakataa kumnyonyesha dogo, namuuliza kwanini hataki akanijibu mnyonyeshe na wewe kama unaona raha, alikula banzi ambalo hatakuja sahau
Kuna wanaume dream killers kwa walosoma Kisutu wanamjua Sarah Kaisi wakishua kitambo ila amefeli kwenye mahusiano ndo ameharibu kila kitu...Shaa unapoteza maisha, kipaji na talanta yako
Muangalie Nandy hata na kaZuchu Sasa hivi wewe na wao ni mbingu na ardhi
Sugua gaga
Hana njaa yuleKuna wanaume dream killers kwa walosoma Kisutu wanamjua Sarah Kaisi wakishua kitambo ila amefeli kwenye mahusiano ndo ameharibu kila kitu...
Hana njaa ila pale alipo mapenzi ndo yamemfelisha ,Sarah daahhh!!!baasi tuHana njaa yule
Juzi Tu hapo jmosi nimetoka mjini kuna kitu nilienda kumnunulia bila kumuaga naenda wapi,nikachelewa kurudi kidogo.
Akaniandikia meseji ya ajabu Hadi sn "yaani wewe mwanaume Hadi mshahara uishe ndy utatulia nyumbani,sasa hivi ushaenda Kwa michepuko yako". Isivyo bahati meseji inaingia nami ndy nafika nyumbani,nikaweka mzigo wake mezani akachezea vibao kadhaa kisha akaniomba msamaha kwamba hakujua km nimeenda huko
Kwa wale wenye kukaa na wanawake wanaelewa kbs jinsi wanawake wanavyozingua,Mimi simlaumu kbs master J km anampiga mkewe,maana kauli umetoka upande mmoja wa mwanamke,ingawa naye hayupo direct