ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #201
SawaSio mbaya yote heri
π€£π€£ Kutoka pale kwenye balehe hadi pale utakapoamua mwenyewe kuwa sasa enzi zangu zimeishaHivi enzi hua ni zipi π€£
Hapa nilipo sijui kama nipo kwenye enzi zangu au bado π€£π€£
Ofisini kwake labda umeenda kikazi kutaka kujua kuhusu kitu fulani. Nalo linapata upenyo wa kukubananisha huku linachungulia dirishani kama nje Kuna watuπ π π πYaani anakubananisha anakuwa amekukuta wapi π€£π€£π€£
nacheka huku naogopaa πYanakera wewe niliwahi bananishwa mahali kama sio mhasibu kutokea ingekuwa stori nyingine
Alitaka kukutia hapo hapo ofsini heh alikua na nyege za jogoo huyo π. Tulipurukushana mle ofisini kwake mafaili yalidondoka ovyoovyo π π π halafu linajichekesha chekesha kama ngiri na kitambi chake cha local beer.
Dah mpka unapoamua enzi zangu zimeisha lol ππ€£π€£ Kutoka pale kwenye balehe hadi pale utakapoamua mwenyewe kuwa sasa enzi zangu zimeisha
Acha basi mbavu zanguuOfisini kwake labda umeenda kikazi kutaka kujua kuhusu kitu fulani. Nalo linapata upenyo wa kukubananisha huku linachungulia dirishani kama nje Kuna watuπ π π π
π€£π€£ Daah nimecheka japo haichekeshiYanakera wewe niliwahi bananishwa mahali kama sio mhasibu kutokea ingekuwa stori nyingine. Tulipurukushana mle ofisini kwake mafaili yalidondoka ovyoovyo π π π halafu linajichekesha chekesha kama ngiri na kitambi chake cha local beer.
π€£π€£π€£ Na ni mtu mzito halafu na mikoti yake kama ya misomisondo wakiwa stejini. Ukiliona kwenye TV Sasa limekaa kwenye mikutano kumsikiliza Mkuu wa nchi utasema Boss si ndo huyu.nacheka huku naogopaa π
Alitaka kukutia hapo hapo ofsini heh alikua na nyege za jogoo huyo π
Pole kwa kunusurika
Ndio, kwenye sex ntamnyonya hata njia yake ya haja kubwa π ShesRise_1Hicho kishundu ndio ugonjwa wako kijana?
Mtuombee mjue π π ππ€£π€£ Daah nimecheka japo haichekeshi
Acha basi sponsor la kwendaπ€£π€£π€£ Na ni mtu mzito halafu na mikoti yake kama ya misomisondo wakiwa stejini.
Kama ana kitambi halafu uwe na nyama pengine hata ungempa asingekufikiaUkiliona kwenye TV Sasa limekaa kwenye mikutano kumsikiliza Mkuu wa nchi utasema Boss si ndo huyu.
ππ Neno ubakaji kwa watu wengine ni msamiati ambao haupo kwenye kamusi zao, kwa sababu mtu kama huyo anakuwa anafikiria kweli? Kijumla msamiati wa sexual harassment hapa kwetu haupo kabisaOfisini kwake labda umeenda kikazi kutaka kujua kuhusu kitu fulani. Nalo linapata upenyo wa kukubananisha huku linachungulia dirishani kama nje Kuna watuπ π π π
π Yeah wengine enzi huwa haziishi mpaka fifty huko wanapeta tuDah mpka unapoamua enzi zangu zimeisha lol π
Siku yangu leo ni nzuri sana
Time yote mwanya njeeπ€£π€£
Mama akiwa anaongea nao jamani walivyotulia baadhi Yao kama watu vile π€£π€£π€£π€£π€£π€£ kazi kuitikia tu " KAZI NA UTU" π€£π€£π€£.Acha basi sponsor la kwenda
Kama ana kitambi halafu uwe na nyama pengine hata ungempa asingekufikia
Umejua kunichekesha sana bintiπ π π
Utasemaje umebakwa dada mtu mzima π unaweza kukanwa Hadi na daktari. Ukibananishwa akifanikiwa unatoka mkavu kama sio wewe π π π .ππ Neno ubakaji kwa watu wengine ni msamiati ambao haupo kwenye kamusi zao, kwa sababu mtu kama huyo anakuwa anafikiria kweli? Kijumla msamiati wa sexual harassment hapa kwetu haupo kabisa
Wanasema kicwa cha chini kikiwa active cha chini kinapoteza fahamu πππ Neno ubakaji kwa watu wengine ni msamiati ambao haupo kwenye kamusi zao, kwa sababu mtu kama huyo anakuwa anafikiria kweli? Kijumla msamiati wa sexual harassment hapa kwetu haupo kabisa
Ngojq nijikagueπ Yeah wengine enzi huwa haziishi mpaka fifty huko wanapeta tu
Wanawake mkiwa hamjavutiwa kimapenzi na mwanaume banaπ ungekua umevutiwa nae ungekuja muanika humu realMamyYanakera wewe niliwahi bananishwa mahali kama sio mhasibu kutokea ingekuwa stori nyingine. Tulipurukushana mle ofisini kwake mafaili yalidondoka ovyoovyo π π π halafu linajichekesha chekesha kama ngiri na kitambi chake cha local beer.
Sasa kazi na utu ndio hawana nyege π πMama akiwa anaongea nao jamani walivyotulia baadhi Yao kama watu vile π€£π€£π€£π€£π€£π€£ kazi kuitikia tu " KAZI NA UTU" π€£π€£π€£.