Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Hapana ujue kuna nyakati za shibe na nyakati za njaa, akiba ni muhimu, usimuue yusufu wako, bora umuweke gerezani atakusaidia baadaye
Imebidi niangalie uli join lini😅😅

Sawa nitaanza kumuweka Yusuf gerezani
 
Siyo mbaya huwezi kujua kwa siku moja kila kitu
Uko vizuri sana, mwanzoni niliweza kukaa hivi kama wewe, zikianza mada za singo maza na wanawake tunaopenda pesa kupopolewa, sukari inapanda kwa kasi napanic sio kawaida,mpaka nikaumbuka mie loh! ikabidi nikubaliane na hali tu.. nilikuwa nishazoea vijana wananiita braza braza dahh!😕
 
Miye nipo hapa kitambo, yamepita mengi kuna baadhi ya watu humu tunawasiliana kwa mambo mbali mbali.
 
Wanaume wanaona ni haki yao kupewa uke kama ahsante. Na hilo ndio tatizo kubwa lipo toka enzi za mababu na mabibi.
Muhimu kusimamia misimamo yako kama hutaki kataa linda utu wako..!!
 
Tatizo tukiwasaidia naninyi mnajilegeza sana mnataka tufanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…