Na watu maelfu wanakufa kila siku duniani kwa kansa na kisukari. Si wangewatibu wangekuwa mabilionea😁Na kuna utitiri wa madaktari ambao wapo mitandaoni wakiuza dawa ambazo hutibu kila Aina ya ugonjwa. Kibaya wanakushauri kuacha dawa za hospitalini na uendelee na hizo za kwao.
Huwa nashangaa hawa wanaosema wanatibu kila ugonjwa walikuwa wapi kusaidia watu hata kipindi cha corona outbreak.. 😲Na kuna utitiri wa madaktari ambao wapo mitandaoni wakiuza dawa ambazo hutibu kila Aina ya ugonjwa. Kibaya wanakushauri kuacha dawa za hospitalini na uendelee na hizo za kwao.
Kwa hiyo hakuacha urithi wa maarifa ya hiyo dawa kwa mtu yeyote?Hizi mambo bwana, ni za ajabu.
Nakumbuka mshua alipata sukari mwanzon kabisa mwa miaka ya 2000.
Akasema alikutana na mzee mmoja wa kiarabu kwenye stori stori, akampa dawa. Ni ya unga.
Alikua anaweka kwenye uji, ya kwamba ukichanganya na uji unabadilika rangi huo.uji unakua kama mweusi. Anakunywa.
Mdogo mdogo ndani ya miez 3 akapona kabisa na sindano na vidonge akaacha kutumia. Akawa fiti kabisa.
Na anakumbuka alilipia kwa bia mbili 2 Safari maana ndo huyo mzee aliziomba.
Miaka kama 3 yote hakuwahi kujua suala la kisukari wala dawa wala sindano.
After hizo 3 yrs akasema subiri amtafte tena hata wapige stori maana hajamuona kitambo.
Kufika maeneo yake na kumuulizia, wakamwambia mzee alishadedi kitambo na kama kawaida ya waislam.hakukua na stori mob, alikufa asubuh, jioni akala futi sita.
Ule mshtuko, dingi akarudi tena kwenye sukari. Mpaka leo hii yupo nayo.
So all in all, yawezekana hizi madawa zipo, lakini kumpata huyo ambae yake iko legit ndo kimbembe.
Na most times mtu atakaeweza kukupa dawa ya kienyeji ambayo inatibu kweli, gharama yake hua ni ndogo sana.
Sawa Ila Hawa wanaouza kwa mamilioni ya pesa wengi Ni matapeliHakuna ugojwa usio na dawa,only kifo ndio hakina dawa.
Alitafuta sana lakini hakupata hata mtu mmoja ambae alibakiwa na huo uelewa.Kwa hiyo hakuacha urithi wa maarifa ya hiyo dawa kwa mtu yeyote?
Orodhesha hayo magonjwa na dawa zake, naona unataka jipa promoHakuna ugojwa usio na dawa,only kifo ndio hakina dawa.
Kuna kitu umenikumbusha. Miaka 40 iliyopita ndugu yangu aliugua na kuwa kichaa kabisa. Tukampeleka kwa Mzee Mandondo huko Korogwe. Wakati huo usafiri wa shida. Njiani tukajutana na umati wa watu wakielekea huko na wengine wengi tu wakitoka huko. Kila mtu anatibiwa na chakula unapewa na hakuna malipo. Unaambiwa utatoa chochote utakachojaaliwa baada ya kupona. Ndugu yangu alipona baada ya wiki chache, tukashukuru na kutoa kile tulichokuwa nacho. Hao ndo waliokuwa na uganga bali hawa tulionao wanaweka pesa mbele na matibabu yenyewe si ya kuridhisha.Hizi mambo bwana, ni za ajabu.
Nakumbuka mshua alipata sukari mwanzon kabisa mwa miaka ya 2000.
Akasema alikutana na mzee mmoja wa kiarabu kwenye stori stori, akampa dawa. Ni ya unga.
Alikua anaweka kwenye uji, ya kwamba ukichanganya na uji unabadilika rangi huo.uji unakua kama mweusi. Anakunywa.
Mdogo mdogo ndani ya miez 3 akapona kabisa na sindano na vidonge akaacha kutumia. Akawa fiti kabisa.
Na anakumbuka alilipia kwa bia mbili 2 Safari maana ndo huyo mzee aliziomba.
Miaka kama 3 yote hakuwahi kujua suala la kisukari wala dawa wala sindano.
After hizo 3 yrs akasema subiri amtafte tena hata wapige stori maana hajamuona kitambo.
Kufika maeneo yake na kumuulizia, wakamwambia mzee alishadedi kitambo na kama kawaida ya waislam.hakukua na stori mob, alikufa asubuh, jioni akala futi sita.
Ule mshtuko, dingi akarudi tena kwenye sukari. Mpaka leo hii yupo nayo.
So all in all, yawezekana hizi madawa zipo, lakini kumpata huyo ambae yake iko legit ndo kimbembe.
Na most times mtu atakaeweza kukupa dawa ya kienyeji ambayo inatibu kweli, gharama yake hua ni ndogo sana.
Ni kweli kabisa. Kuna mmoja nilimwambia amtibu kwanza magonjwa akipona saratani ndipo atalipwa akakataaWengi, au tuseme wote ni matapeli. Matapeli wakubwa sana. Ni vile tu mtu ukiumwa unakubali kila tiba.
Shida ya waAfrica ndio ipo hapo madawa mengi mazuri yamepotea Kwa sababu hakuna kumbumbuKwa hiyo hakuacha urithi wa maarifa ya hiyo dawa kwa mtu yeyote?
Hawa waganga nimewaambia nina watu wengi nje ya nchi wana tatizo la saratani niwalete Ila tukubaliane malipo ni baada ya kupona. Nimewaambia pesa si tatizo wawatibu kwanza Ila wote ukiwaambia hivyo wanakupa visingizio kibao. Nikajua hakuna kitu hapo.Mimi kuna mshkaji wangu alidata (kuchizi) kabisa akapelekwa bugando kule chini kwa vichaa na yeye et ni chizi dah! Ilikua ghafra tu yaani.
Mshkaji alikaa sana huko kwa machizi ila yeye alikuwaga analia tu muda wote hata sijui kwann! sasa mule hospital kuna jamaa yeye alikua ameanza kupona uchizi ndo alikua kama mbabe kwa machizi walikua kama wanamuogopa sasa tukienda kumuona mshkaj wetu huyo jamaa anatuambia tumpe sigara sisi tulimwambia uwe unamuangalia huyu dogo letu akasema poa.
Siku moja tulienda jamaa akatuambia huyu ndugu yenu mtoeni humu huyu sio wa kukaa humu, jamaa ni chizi aliyeanza kupona ndo anatushauri hivo hata anavoongea kichizi ila ule ushauri hatukupuuza. Jamaa alikua anasema mpelekeni kwa mganga. Yaani chizi anatushauri.
Ndugu zake wakamtoa mshakaji akapelekwa kwa mtaalam wiki 2 tu jamaa akapona eti akawa mzima wakati alikua amedata kabisa!! Kuna wataalamu bado sema ni wachache sana hasa huko majoring ila hawa mjini ni matapeli.