ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Achana naye huyo,fanya kumchek Dk Berg YouTube.Kuna tibabu mmoja hapa ARUSHA ameniambia anatibu Kisukari kwa nusu milioni , maanina zake , matapeli hawa watu ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana naye huyo,fanya kumchek Dk Berg YouTube.Kuna tibabu mmoja hapa ARUSHA ameniambia anatibu Kisukari kwa nusu milioni , maanina zake , matapeli hawa watu ,
Mkuu unapatikanaje?Hakuna maradhi yasiyo na tiba ktk USO wa ardhi!!
Muhimu kufata masharti tu tiba na kupata tiba sahihi
Kuna dogo alikua na Kansa ya kibofu alipona!!
Unaenda kupigwa 😞.Mkuu unapatikanaje?
Daah nilidhani kuna ukweli si unajua kutapatapa mkuu!Unaenda kupigwa 😞.
Sawa sawa kiongozi. Shida ndiyo husababisha yote haya. Tunabaki kutapatapa tu.Shida zako ni fursa kwa wengine chief,kuwa makini sana.
Mawasiliano yako please tuna watu Wana teseka sana na haya mardh,kwa msaada zaid.Nisingeandika Hapa Kwa kua sitaki umaarufu wowote
Nasema ukweli