CD4 zinapopungua mkuuGridi ndo Nini?, umefumba Sana nawe, sema tuelewe ndugu, tuweze kujua vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CD4 zinapopungua mkuuGridi ndo Nini?, umefumba Sana nawe, sema tuelewe ndugu, tuweze kujua vizuri.
sawasawa, Asante kujuza kwa uwazi.CD4 zinapopungua mkuu
Kabla ya kuja watu weupe! Waafrika walikuwa wana jitibu na dawa toka nchi gani??Au Wadhungu walikuja Africa na Magonjwa na dawa zake?Wanatuibia tu, na kwa sababu ya ugonjwa inabidi kujaribu, ila suala kupona hiyo ni kitu kingine bib mkubwa anaumwa preassure kila siku tunajaribu , lakini ki ukweli bado tusikie shuhuda zingine
Africa tuna Dawa zetu Bora na za uhakika kuliko hizo za Wazungu. India na China zinafuata nyuma ya AfricaKuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye ushahidi atusaidie tuweze kuamini kwani kuna watu wengi wanasumbuliwa na haya maradhi duniani kote.
Vipi hali ya mgonjwa ndugu, nina mgonjwa hapa kwakweli nimekata tamaa.Nina mgonjwa wa saratani. Imemchukua miezi sita kuanza kupata tiba kuanzia Muhimbili miezi 4 ya nenda rudi na ocean Road miezi 2.
Mgonjwa mwenye saratani hadi stage 2 hupona au kuongeza siku za kuishi.
Mgonjwa wangu baada ya ya kupata mionzi sasa hapati maumivu tena ktk ujumbe wa saratani. Bali kwasasa anauguq maumivu ya mwili mzima imunatokana na miozi yenyewe
Pole sana mkuu,cancer sehemu pekee yenye huduma ya uhakika kwa Tanzania ni hospital ya ocean road tu. Usiende kwa watu wa tiba mbadala au waganga wa kienyeji.Vipi hali ya mgonjwa ndugu, nina mgonjwa hapa kwakweli nimekata tamaa.
WE NI MUUAJI.Ndio tiba inayofaa kwa sasa.
Kazi ya mionzi ni kuuw wadudu wa kansa kutoendelea kukua na kuzaikina.
Mafanikio ya mionzi ni kutoendelea kupata maumivu na kuongezeka kwa uvimbe wa saratani.
Ni heri mionzi kuliko tiba yyt MBADALA kwasasa.
Mgonjwa walio alikuwa ni muoga wa mionzi. Ilipofika ktkt ya tiba nilimjaribu na kumwambia tuachane ya tiba ya mionzi. Walikataa. Akisema imemsaidia sana
Mgonjwa wangu anaimarika kidogo kidogo. Kapungua sana lkn vipimo vya mwisho hajaonekana na kansa.Vipi hali ya mgonjwa ndugu, nina mgonjwa hapa kwakweli nimekata tamaa.
Mkuu pole kwa mama yako kuumwa na maradhi ya presha hebu nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kumtibia mama yako hayo maradhi yake ya Presha ili aweze kupona maradhi yake.Wanatuibia tu, na kwa sababu ya ugonjwa inabidi kujaribu, ila suala kupona hiyo ni kitu kingine bib mkubwa anaumwa preassure kila siku tunajaribu , lakini ki ukweli bado tusikie shuhuda zingine
Tiba nzuri ni kutumia dawa za asili zinaponyesha kabisa ukiweza kuzipata na kuzitumia.Kwa hiyo tiba nzuri ni ipi.
Tunazo hizo tiba. Kuwa muwazi watu wanataabika.Tiba nzuri ni kutumia dawa za asili zinaponyesha kabisa ukiweza kuzipata na kuzitumia.
Habari yako.....nina mgonjwa anateseka sana na haya mardh samahan naomba uni dm mawasiliano yako kuweza kupata msaada tafadhali.Niletee kwangu Mimi sitaki malipo mradi atumie dawa Kwa usahihi gharama ya kunnua dawa ni ya kwako lakini..utaleta matokeo humu Kwa uwezo Wa Mungu
Shidaa Watu wamekua matapeli SIKU hizi na wengi hawaamini tiba asilia ila zipo na wanapona Watu kabisaa
Siwezi SEMA humu ila dawa zipo
Na ndio mwanzo wa magonjwa ya figo. Tunza figo zako, kataa madawa yasiyo na vipimo.Fuateni vipimo sahihi. Matumizi ya dawa bila vipimo ni hatari.wajinga ndio waliwao
Kuna Dawa za asili zinatibu Kisukari na kansa. Ikumbukwe kuwa haya Magonjwa yalikuwepo Africa ata kabla ya Watu weupe kufika Barani Africa. Je Babu zetu walijitibu na nini???.....China mpaka leo zipo hospital 100% zinatibu kwa miti shamba. India pia wana official Taasisi ya madawa ya kienyeji.Kwenye Miti kuna kila aina ya Dawa kwa tiba ya matatizo yote na Tanzania tumebarikiwa kuwa na mita Dawa mingi. Tuna kitengo cha dawa asili , Wizara ya Afya wana Mahabara pale Muhimbili fika hapo wana certified Miti shamba kwa ajili ya HIV,Kisukari na kansa.Majumbani mwetu wengi kuna mti unaitwa Mwarobahini-- from India (wengi wanasema hunatibu magonjwa 40.Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye ushahidi atusaidie tuweze kuamini kwani kuna watu wengi wanasumbuliwa na haya maradhi duniani kote.
Shida ni kwamba hata hao wenye maradhi wameaminishwa kutokupona jambo ambalo si kweli.Kwa hiyo hata kama utamweleza kuwa nitakutibu na utapona anaweza asikuelewe! Lakini wapo wachache wanaojitoa mhanga na kuamua kutibiwa wanapona na kurejesha afya zao.Kupanga ni kuchagua amini kutokupona uendelee kuugua au amini kutibiwa upone na pengine ukapona kweli.Mungu aliweka kila kitu kwenye mimea wala usidanganywe na mtu,hata hizi dawa nyingi za hosp ni mimea ingawa si zote.Kuna Dawa za asili zinatibu Kisukari na kansa. Ikumbukwe kuwa haya Magonjwa yalikuwepo Africa ata kabla ya Watu weupe kufika Barani Africa. Je Babu zetu walijitibu na nini???.....China mpaka leo zipo hospital 100% zinatibu kwa miti shamba. India pia wana official Taasisi ya madawa ya kienyeji.Kwenye Miti kuna kila aina ya Dawa kwa tiba ya matatizo yote na Tanzania tumebarikiwa kuwa na mita Dawa mingi. Tuna kitengo cha dawa asili , Wizara ya Afya wana Mahabara pale Muhimbili fika hapo wana certified Miti shamba kwa ajili ya HIV,Kisukari na kansa.Majumbani mwetu wengi kuna mti unaitwa Mwarobahini-- from India (wengi wanasema hunatibu magonjwa 40.
Kweli kabisa upo sahihi- Dawa za asili zina ponya kabisa na sio Kutuliza kama hizi za Wazungu. Mfano kuna mti mmoja unarudisha nguvu za Kiume baada ya matumizi ya mwezi mmoja na anakuwa sawa kwa miaka mingi mbeleni. Lakini Wazungu wana promote Viagra ambazo mtu akitumia kwa muda fulani tatizo linakuwa kubwaShida ni kwamba hata hao wenye maradhi wameaminishwa kutokupona jambo ambalo si kweli.Kwa hiyo hata kama utamweleza kuwa nitakutibu na utapona anaweza asikuelewe! Lakini wapo wachache wanaojitoa mhanga na kuamua kutibiwa wanapona na kurejesha afya zao.Kupanga ni kuchagua amini kutokupona uendelee kuugua au amini kutibiwa upone na pengine ukapona kweli.Mungu aliweka kila kitu kwenye mimea wala usidanganywe na mtu,hata hizi dawa nyingi za hosp ni mimea ingawa si zote.
Tunashukuru kwa sasa Wizara ya afya imetoa kibali kupitia baraza la tiba asili/mbadala hosp zote za rufaa zina kitengi cha tiba asili/mbadala.
Huku kwetu utapona moyo,lakini hosp utameza dawa maisha yako yote,huku kwetu utapona ulcers,lakini hosp utameza dawa siku zote,huku kwetu utapona bawasiri na tezi dume bila upasuaji lakini,hosp utafanyiwa operation....! Kwa hiyo kupanga ni kuchagua.