- Thread starter
- #21
So sad. Serikali ingefuatilia haya Mambo. Wanalo Baraza la tiba asilia. Tungeweza kuongeza pato la taifa kupitia medical tourism. Imagine hiyo dawa ingekuwa approved na taasisi za serikali si kungekuwa na mafuriko ya watalii mpaka tukose pa kuwalaza!Shida ya waAfrica ndio ipo hapo madawa mengi mazuri yamepotea Kwa sababu hakuna kumbumbu