Kansa ili uiweze punguza au acha kutumia sukari na ule alkaline food kansa itaisha yenyewe
No disease including cancer can exist in an alkaline environment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kansa ili uiweze punguza au acha kutumia sukari na ule alkaline food kansa itaisha yenyewe
shukrani sanaUnaponda ponda yale majani unachanganya na maji then unapata glass asubuhi na jioni.
Njia nyingine unachuma Yale majani kiasi cha kiganja cha mkono halafu unayatumbukiza katika kikombe chenye maji ya moto kwa muda wa dakika 3-5 maji yata badilika rangi utayanywa na utatafuna kiasi kidogo cha hayo majani na kumeza...asubuhi na jioni kwa week...
Usaidie na wengine wapone kwa kuwapa ushuhuda huko ulipo.
Ulcers hupona,dawa za Asili zinatibu ulcers lakini kwa hizo za hospital hupunguza maumivu kwa muda tu. Nilisumbuliwa sana na ulcers miaka 10 iliyopita,baadaye nikapata mchanganyiko flani wa dawa za Asili toka kwa kijana wa kimasai,nilitumia dose kea muda Kama wiki tatu. Baadae nikaanza kupata inafuu na kupona kabisa. Nikaamua nijipime kwa kula vyote nilivyozuiwa,nikaanza na mishikaki yenye pilipili Kali Sana,siku ikapita bila usumbufu. Nikawarejea dagaa,ugali usiokobolewa(dona) nk. Namshukur Mungu,mpaka sasa siishi kwa masharti ya kipi nile na kipi nisile!hili la ulcers nakumbuka kuna rafiki yangu mmoja nilisoma nae isipokuwa yeye alikuwa anaishi dsm,ikawa ananilalamikia sana vidonda vya tumbo vinamsumbua sana kama nitasikia dawa nzuri huku nilipo nimsaidie maana katumia dawa nyingi mpaka amechoka,ilitokea siku nikapita sehemu nikamkuta mama mmoja anatangaza dawa za asili na akataja kuwa anayo dawa ya tatizo lile niliingiwa na shauku ya kumuuliza na nikamnunulia jamaa yangu maana yule mama aliniaminisha sana,jamaa alitumia chupa mbili na alinihakikishia amepona kabisa na mpka sasa hajawahi kusumbuliwa tena na ulcers.hivyo dawa inaonekana zipo ila tatizo kuzijua ndio shida maana wauzaji nao wamekuwa engi siku izi.
Majani ya mshika nguo ya aina gani yapo Kama aina mbili, yale meusi Kama miba ambayo wanasema majani yake yanaongeza damu, au vile vya duara duara?.Duuh...ale Hindi changa asubuhi na jioni kwa siku tatu, au juice ya majani ya mshika nguo kwa wiki moja asubuhi na jioni
Haya hapaMajani ya mshika nguo ya aina gani yapo Kama aina mbili, yale meusi Kama miba ambayo wanasema majani yake yanaongeza damu, au vile vya duara duara?.
Asee sijui nifanyaje nikusaidie ili nikienda kijijini nikuletee dawa,kuna Mama namfahamu amepona.Wanatuibia tu, na kwa sababu ya ugonjwa inabidi kujaribu, ila suala kupona hiyo ni kitu kingine bib mkubwa anaumwa preassure kila siku tunajaribu , lakini ki ukweli bado tusikie shuhuda zingine
Asante, haya majani pia yanaongeza damu, Kuna majani haya pia dawa ya vidonda vya tumbo.Haya hapa
Wakati makanisa mengine yakizalisha matapeli ya Miujiza na uponyaji Wasabato wamejitahidi sana kuzalisha matapeli wa Tiba mbadala.kwenye hizi good samaritan kuna kifaa chao cha kushika mkononi wanadai kinapima mwili mzima kitu ambacho hakipo duniani kinachoshangaza wadau wameteka sawa wazazi wetu wanawazungusha kwa magonjwa wasiyoweza kutibu kuja kwenda hospitali ugonjwa ushafika kwenye terminal stage
Tiba nzuri ni Tiba ya kutumia dawa za asili aka mitishamba hazina madhara kwa kutibu maradhi ya Saratani au maradhi ya kisukari.Kwa hiyo tiba nzuri ni ipi.
Niletee kwangu Mimi sitaki malipo mradi atumie dawa Kwa usahihi gharama ya kunnua dawa ni ya kwako lakini..utaleta matokeo humu Kwa uwezo Wa MunguHawa waganga nimewaambia nina watu wengi nje ya nchi wana tatizo la saratani niwalete Ila tukubaliane malipo ni baada ya kupona. Nimewaambia pesa si tatizo wawatibu kwanza Ila wote ukiwaambia hivyo wanakupa visingizio kibao. Nikajua hakuna kitu hapo.
Seriously, saratani inapona?Niletee kwangu Mimi sitaki malipo mradi atumie dawa Kwa usahihi gharama ya kunnua dawa ni ya kwako lakini..utaleta matokeo humu Kwa uwezo Wa Mungu
Shidaa Watu wamekua matapeli SIKU hizi na wengi hawaamini tiba asilia ila zipo na wanapona Watu kabisaa
Siwezi SEMA humu ila dawa zipo
Hakuna maradhi yasiyo na tiba ktk USO wa ardhi!!Seriously, saratani inapona?
Mkuu unahakika au unaaminisha watuHakuna maradhi yasiyo na tiba ktk USO wa ardhi!!
Muhimu kufata masharti tu tiba na kupata tiba sahihi
Kuna dogo alikua na Kansa ya kibofu alipona!!
Yupo sahihi! Kama mgongo unatibika kirahisi, nini kiishinde tiba sahihi.Mkuu unahakika au unaaminisha watu
Nisingeandika Hapa Kwa kua sitaki umaarufu wowoteMkuu unahakika au unaaminisha watu
Poleni sanaNina mgonjwa wa saratani. Imemchukua miezi sita kuanza kupata tiba kuanzia Muhimbili miezi 4 ya nenda rudi na ocean Road miezi 2.
Mgonjwa mwenye saratani hadi stage 2 hupona au kuongeza siku za kuishi.
Mgonjwa wangu baada ya ya kupata mionzi sasa hapati maumivu tena ktk ujumbe wa saratani. Bali kwasasa anauguq maumivu ya mwili mzima imunatokana na miozi yenyewe
Utumbo mkubwa.Poleni sana
Alipatwa na saratan ya eneo gani la mwili?
Gridi ndo Nini?, umefumba Sana nawe, sema tuelewe ndugu, tuweze kujua vizuri.Yupo sahihi! Kama mgongo unatibika kirahisi, nini kiishinde tiba sahihi.
Hivi unaujua mzambarau? Kwa waliona na grid, tumia lita moja ya mchemsho wa magome lita moja asubuhi, mchana na jioni. Baada ya mwezi utathibitisha kuwa dawa zipo