So sad. Serikali ingefuatilia haya Mambo. Wanalo Baraza la tiba asilia. Tungeweza kuongeza pato la taifa kupitia medical tourism. Imagine hiyo dawa ingekuwa approved na taasisi za serikali si kungekuwa na mafuriko ya watalii mpaka tukose pa kuwalaza!Shida ya waAfrica ndio ipo hapo madawa mengi mazuri yamepotea Kwa sababu hakuna kumbumbu
Huwa najiuliza mionzi Ni salama? Haiathiri deli na tissue zilizo jirani na uvimbe?Nina mgonjwa wa saratani. Imemchukua miezi sita kuanza kupata tiba kuanzia Muhimbili miezi 4 ya nenda rudi na ocean Road miezi 2.
Mgonjwa mwenye saratani hadi stage 2 hupona au kuongeza siku za kuishi.
Mgonjwa wangu baada ya ya kupata mionzi sasa hapati maumivu tena ktk ujumbe wa saratani. Bali kwasasa anauguq maumivu ya mwili mzima imunatokana na miozi yenyewe
Ndio tiba inayofaa kwa sasa.Huwa najiuliza mionzi Ni salama? Haiathiri deli na tissue zilizo jirani na uvimbe?
Kansa ili uiweze punguza au acha kutumia sukari na ule alkaline food kansa itaisha yenyewe
Duuh...ale Hindi changa asubuhi na jioni kwa siku tatu, au juice ya majani ya mshika nguo kwa wiki moja asubuhi na jioniMshua toka 2007 anaumwaga vidonda vya tumbo hakuna hospital na clinic hajakajaga dawa za miti shamba uliweka ndani utazan mganga muda wote huwa anaendelea kula omeplazole toka miaka hiyo mwaka huu amekataa kutumia dawa aina yeyote anadai amechoka but cha ajabu afya inaimalika toka kaacha dawa hadi nashindwa kuelewa
Chinno wana man
Mionzi sio tiba nzuri ya kutibu maradhi ya Saratani Mionzi ina madhara makubwa ukitumia kuliko hata kuponya hayo maradhi yako.Ndio tiba inayofaa kwa sasa.
Kazi ya mionzi ni kuuw wadudu wa kansa kutoendelea kukua na kuzaikina.
Mafanikio ya mionzi ni kutoendelea kupata maumivu na kuongezeka kwa uvimbe wa saratani.
Ni heri mionzi kuliko tiba yyt MBADALA kwasasa.
Mgonjwa walio alikuwa ni muoga wa mionzi. Ilipofika ktkt ya tiba nilimjaribu na kumwambia tuachane ya tiba ya mionzi. Walikataa. Akisema imemsaidia sana
Dawa ya kisukari ni kuacha wanga na sukariKuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye ushahidi atusaidie tuweze kuamini kwani kuna watu wengi wanasumbuliwa na haya maradhi duniani kote.
Kwa hiyo tiba nzuri ni ipi.Mionzi sio tiba nzuri ya kutibu maradhi ya Saratani Mionzi ina madhara makubwa ukitumia kuliko hata kuponya hayo maradhi yako.
hindi bichi au??Duuh...ale Hindi changa asubuhi na jioni kwa siku tatu, au juice ya majani ya mshika nguo kwa wiki moja asubuhi na jioni
Juice kipimo gani na iandaliwe vipi??Duuh...ale Hindi changa asubuhi na jioni kwa siku tatu, au juice ya majani ya mshika nguo kwa wiki moja asubuhi na jioni
alkaline ndio nini mkuuKansa zote zinapona kwa njia hiyo?
Ndio lile changa halijakomaa vyema linakuwa linatoa kama Maziwa maziwa hivihindi bichi au??
Unaponda ponda yale majani unachanganya na maji then unapata glass asubuhi na jioni.Juice kipimo gani na iandaliwe vipi??
hili la ulcers nakumbuka kuna rafiki yangu mmoja nilisoma nae isipokuwa yeye alikuwa anaishi dsm,ikawa ananilalamikia sana vidonda vya tumbo vinamsumbua sana kama nitasikia dawa nzuri huku nilipo nimsaidie maana katumia dawa nyingi mpaka amechoka,ilitokea siku nikapita sehemu nikamkuta mama mmoja anatangaza dawa za asili na akataja kuwa anayo dawa ya tatizo lile niliingiwa na shauku ya kumuuliza na nikamnunulia jamaa yangu maana yule mama aliniaminisha sana,jamaa alitumia chupa mbili na alinihakikishia amepona kabisa na mpka sasa hajawahi kusumbuliwa tena na ulcers.hivyo dawa inaonekana zipo ila tatizo kuzijua ndio shida maana wauzaji nao wamekuwa engi siku izi.Mshua toka 2007 anaumwaga vidonda vya tumbo hakuna hospital na clinic hajakajaga dawa za miti shamba uliweka ndani utazan mganga muda wote huwa anaendelea kula omeplazole toka miaka hiyo mwaka huu amekataa kutumia dawa aina yeyote anadai amechoka but cha ajabu afya inaimalika toka kaacha dawa hadi nashindwa kuelewa
Chinno wana man
Huwa najiuliza mionzi Ni salama? Haiathiri deli na tissue zilizo jirani na uvimbe?