Je, Matibabu ya saratani na kisukari kwa tiba mbadala ni uhalisia?

shukrani sana
 
Ulcers hupona,dawa za Asili zinatibu ulcers lakini kwa hizo za hospital hupunguza maumivu kwa muda tu. Nilisumbuliwa sana na ulcers miaka 10 iliyopita,baadaye nikapata mchanganyiko flani wa dawa za Asili toka kwa kijana wa kimasai,nilitumia dose kea muda Kama wiki tatu. Baadae nikaanza kupata inafuu na kupona kabisa. Nikaamua nijipime kwa kula vyote nilivyozuiwa,nikaanza na mishikaki yenye pilipili Kali Sana,siku ikapita bila usumbufu. Nikawarejea dagaa,ugali usiokobolewa(dona) nk. Namshukur Mungu,mpaka sasa siishi kwa masharti ya kipi nile na kipi nisile!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Duuh...ale Hindi changa asubuhi na jioni kwa siku tatu, au juice ya majani ya mshika nguo kwa wiki moja asubuhi na jioni
Majani ya mshika nguo ya aina gani yapo Kama aina mbili, yale meusi Kama miba ambayo wanasema majani yake yanaongeza damu, au vile vya duara duara?.
 
Wanatuibia tu, na kwa sababu ya ugonjwa inabidi kujaribu, ila suala kupona hiyo ni kitu kingine bib mkubwa anaumwa preassure kila siku tunajaribu , lakini ki ukweli bado tusikie shuhuda zingine
Asee sijui nifanyaje nikusaidie ili nikienda kijijini nikuletee dawa,kuna Mama namfahamu amepona.
 
Wakati makanisa mengine yakizalisha matapeli ya Miujiza na uponyaji Wasabato wamejitahidi sana kuzalisha matapeli wa Tiba mbadala.

Unaambiwa mmea mmoja unatibu magonjwa 300 hayo magonjwa mia tatu yapi huambiwi kazi kuibiana tu.
 
Hawa waganga nimewaambia nina watu wengi nje ya nchi wana tatizo la saratani niwalete Ila tukubaliane malipo ni baada ya kupona. Nimewaambia pesa si tatizo wawatibu kwanza Ila wote ukiwaambia hivyo wanakupa visingizio kibao. Nikajua hakuna kitu hapo.
Niletee kwangu Mimi sitaki malipo mradi atumie dawa Kwa usahihi gharama ya kunnua dawa ni ya kwako lakini..utaleta matokeo humu Kwa uwezo Wa Mungu
Shidaa Watu wamekua matapeli SIKU hizi na wengi hawaamini tiba asilia ila zipo na wanapona Watu kabisaa
Siwezi SEMA humu ila dawa zipo
 
Seriously, saratani inapona?
 
Mkuu unahakika au unaaminisha watu
Yupo sahihi! Kama mgongo unatibika kirahisi, nini kiishinde tiba sahihi.

Hivi unaujua mzambarau? Kwa waliona na grid, tumia lita moja ya mchemsho wa magome lita moja asubuhi, mchana na jioni. Baada ya mwezi utathibitisha kuwa dawa zipo
 
Poleni sana
Alipatwa na saratan ya eneo gani la mwili?
 
Yupo sahihi! Kama mgongo unatibika kirahisi, nini kiishinde tiba sahihi.

Hivi unaujua mzambarau? Kwa waliona na grid, tumia lita moja ya mchemsho wa magome lita moja asubuhi, mchana na jioni. Baada ya mwezi utathibitisha kuwa dawa zipo
Gridi ndo Nini?, umefumba Sana nawe, sema tuelewe ndugu, tuweze kujua vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…