ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,247 Reaction score 6,578 Mar 20, 2024 #81 Mavindozii said: Kuna tibabu mmoja hapa ARUSHA ameniambia anatibu Kisukari kwa nusu milioni , maanina zake , matapeli hawa watu , Click to expand... Achana naye huyo,fanya kumchek Dk Berg YouTube.
Mavindozii said: Kuna tibabu mmoja hapa ARUSHA ameniambia anatibu Kisukari kwa nusu milioni , maanina zake , matapeli hawa watu , Click to expand... Achana naye huyo,fanya kumchek Dk Berg YouTube.
lighuda Member Joined Jul 12, 2015 Posts 11 Reaction score 8 Mar 24, 2024 #82 reymage said: Hakuna maradhi yasiyo na tiba ktk USO wa ardhi!! Muhimu kufata masharti tu tiba na kupata tiba sahihi Kuna dogo alikua na Kansa ya kibofu alipona!! Click to expand... Mkuu unapatikanaje?
reymage said: Hakuna maradhi yasiyo na tiba ktk USO wa ardhi!! Muhimu kufata masharti tu tiba na kupata tiba sahihi Kuna dogo alikua na Kansa ya kibofu alipona!! Click to expand... Mkuu unapatikanaje?
ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,247 Reaction score 6,578 Mar 24, 2024 #83 lighuda said: Mkuu unapatikanaje? Click to expand... Unaenda kupigwa 😞.
lighuda Member Joined Jul 12, 2015 Posts 11 Reaction score 8 Mar 24, 2024 #84 ipyax said: Unaenda kupigwa 😞. Click to expand... Daah nilidhani kuna ukweli si unajua kutapatapa mkuu!
ipyax said: Unaenda kupigwa 😞. Click to expand... Daah nilidhani kuna ukweli si unajua kutapatapa mkuu!
ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,247 Reaction score 6,578 Mar 24, 2024 #85 Shida zako ni fursa kwa wengine chief,kuwa makini sana.
lighuda Member Joined Jul 12, 2015 Posts 11 Reaction score 8 Mar 24, 2024 #86 ipyax said: Shida zako ni fursa kwa wengine chief,kuwa makini sana. Click to expand... Sawa sawa kiongozi. Shida ndiyo husababisha yote haya. Tunabaki kutapatapa tu.
ipyax said: Shida zako ni fursa kwa wengine chief,kuwa makini sana. Click to expand... Sawa sawa kiongozi. Shida ndiyo husababisha yote haya. Tunabaki kutapatapa tu.
ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,247 Reaction score 6,578 Mar 24, 2024 #87 All the best chief,Mungu hatakutupa.
M Merrysiana New Member Joined Aug 8, 2017 Posts 3 Reaction score 1 Mar 25, 2024 #88 reymage said: Nisingeandika Hapa Kwa kua sitaki umaarufu wowote Nasema ukweli Click to expand... Mawasiliano yako please tuna watu Wana teseka sana na haya mardh,kwa msaada zaid.
reymage said: Nisingeandika Hapa Kwa kua sitaki umaarufu wowote Nasema ukweli Click to expand... Mawasiliano yako please tuna watu Wana teseka sana na haya mardh,kwa msaada zaid.