Je, Medard Kalemani ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati kimya kimya?

poa nimekuelewa mkuu, sisi ccm ni waelewa tukieleweshwa[emoji16][emoji16]
 


Jinga la kwanza kwenye nchi ya uchumi wa Kati
Ww jamaa Ni mpuuuzi kabisa , uwezo wa kufikilia Ni zaidi ya mdogo
 
Kalemani ni mchapakazi mzuri , miaka mitano iliyopita kabla ya unaibu waziri alifanya vzr akapewa uwaziri [ yule mzee kamwene akapewa wizara nyngne ] kiufupi amefanya kazi nzuri kweli anastaili kabisa kuendelea kuwa waziri wa nishati
Híi nchi inahitaji watu wa kazi

Hz polojo mnazo peana eet ooh mbunge wa chato ni upuungufu wa kufikilia , mnaleta ukabila katika kazi , tuwe tunafikirie mbali na kupima kipimo Cha kazi
 
Huyo jamaa namkubali sana
Anastahili kurudi kwani ametutoa mbali.

Kumbuka ule mgao wa umeme kabla yake, mwingi ulikuwa hata haueleweki. Siku hizi ukiwapigia hata emergence wana pokea na kufuatilia. Mambo yamebadiliaka kwa kweli. BIG UP!
Unamjua Proffesa Muhongo wewe. Unajua aliyetatua suala la mgao wa Umeme na kuvunja ukiritimba ndani ya TANESCO anyway huyu kadandia gari ambalo watangulizi washaweka Switch On.
 
Ukoo wa panya huo mtu na mjomba wake, Majambazi
 
Kiprotokali na nadhani hata Kikatiba limefanyika Kosa Kubwa Yeye kuwepo hapo na badala yake aliyetakiwa kuwa hapo ni Katibu Mkuu wa Wizara.
Mkuu na wewe umechangia uzi bila kufuatilia tukio lenyewe..hicho ulichomalizia kusema ndicho kilichofanyika..Katibu Mkuu ndiyo aliyekuwa mwenyeji wa PM.
 
Kila zama na kitabu chake. Zama hizi za bwana Kishimba na kina Jumbe Brown

Kumbuka hii awamu si awamu ya 5.
🤣🤣Hamna mkuu wangu, mh.SSH ni wa wote.....wanaompinga ndani ya CCM ni "wakuja" tu wasiokijua chama vyema.....

#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
🤣🤣Hamna mkuu wangu, mh.SSH ni wa wote.....wanaompinga ndani ya CCM ni "wakuja" tu wasiokijua chama vyema.....

#SiempreJMT
#KaziIendelee

Haki, usawa na uhuru wa watu ukiwa si kipaumbele chake, inakera mno.

Utawala kuwa wa kidemokrasia katika nchi ni suala la muhimu sana vinginevyo unaona wananchi mali wanavyo furahia kuondolewa kwa kizingiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…