Haya haya mambo ndiyo yamempa baadhi ya ballon 'dor ambazo hakustahili.France angekuwa hajabeba World Cup hivi karibuni ningesema Game ya leo anaweza akambania Argentina asibebe.
Mbape amenyanyua kwapa kubeba hili kombe 2018 pamoja na wenzie, wao pia ni wanadamu. Hawawezi kukaza mshipa kumbania Messi akiyepambana ktk carrier yake kwa zaidi ya miaka 18 pasipo World Cup.
Ni mchezaji mzuri ndio ila anatengenezewa tuzo ili kuweka kumbu kumbu tu nyingine hakustahili kabisa.Bibadamu wakilewa ujinga huwa wapuuzi sana
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app