DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
G O A T ninani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amechukua na sasa yupo juu ya Ronaldo , na wote wana tabia zinafanana japo WANASAYANSI WANAENDELEA NA TAFITI kujua sababu ya MBAPPE kudindisha KILA AKIFUNGA GOLI.Habarani Wapenda Michezo.
Naomba niseme mapema mimi ni shabiki wa Ronaldo the Boy from Madeira CR7 shabiki Kufakufa. Hio haimanishi siwez kusema mazuri ya Messi NO, MESSI is so F*ck*ng Talented Kabisa.
Nirud kwenye Mada. Leo ndio ndio ile siku Maalum. Macho Mengi yapo kwa Messi. Dua Nyingi zipo kwa Messi,
Watu wanataka Messi ashinde Hii World Cup na wengi wanataka watumie hii Cup kama kumaliza Mjadala wa Who is a GOAT? Ambao umetawala Kwa Miaka Mingi.
Na Currently baada ya Ronaldo kutolewa na Team yake ya Taifa Watu walianza The Debate is Over,MESSI is a GOAT na sisi Mashabiki wa CR7 tumekaa Kimya hatuwez kujibu hadi iishe hii world Cup Maana tulupigwa na Kitu kizito.
Sasa Naomba niulize ikitokea Messi na Argentina wakafungwa Match ya Leo Messi atakua Juu ya Ronaldo??
Na Kwa Kipi?