Je, Messi akikosa Kombe La Dunia Atakua Juu ya Cristiano Ronaldo?

Haya haya mambo ndiyo yamempa baadhi ya ballon 'dor ambazo hakustahili.

Ni mchezaji mzuri ndio ila anatengenezewa tuzo ili kuweka kumbu kumbu tu nyingine hakustahili kabisa.Bibadamu wakilewa ujinga huwa wapuuzi sana

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Messi ana Magoli Mangapi??
 
Hata akipata hawezi kuwa juu, washambuliaji hupimwa kwa kufunga kwao, sasa kati ya eashambuliaji hawa nani ana magoli mengi.Ubishi wa ngomani muachage.Kwamba mmakonde akitania sana atamzidi mngoni.WASHAMBULIAJI HUPIMWA KWA IDADI YA MAGOLI.
 
Mkuu wacha tutulie maana tumesemwa sana
 
Bado Ronaldo atabaki na deni la kuipatia timu yake medali ya kombe la dunia.
 
Peter Crouch na Podcast yake, anasema mtu anayemchagua CR7 na kumuacha MESSI,anamtazama marambili na kushuku uwezo na ufahamu wake wa kandanda.! Hii battle ya hawa jamaa nilifanya uamuzi sahihi mwaka 2010,Nikawa na wa enjoy wote bila taabu yoyote.
 
Viumbe kutoka sayari Nyingine kabisa
 
Messi akishinda Leo atakuwa sawa na Maradona na Pele wakati ufaransa akishinda Leo itakuwa timu bora Kama Brazil ya 1962 na mbape atakuwa Kama pele .
Kwahio Tusubiri Rekodi
 
Siku ya rekodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…