Je, Messi akikosa Kombe La Dunia Atakua Juu ya Cristiano Ronaldo?

Sio juu ya ronaldo tu atakua juu ya maradona may be na pele kwa kifupi messi kabakiwa na hii mechi moja tu ya leo hili aandike historia ya mchezaji bora kuwahi kutokea hapa duniani
 
Akose tuu
 
Kwamba ufaransa watalegeza au sio? Hakuna kitu kama hicho mzee
 
Ebu lete fully takwamu za watu hao wawili then tuchambue ubora wao
 
Juu ya pele kwa kipi?
Nimesema may be.. unajua pele pamoja na ubora wake ikumbukwe hakucheza ulaya ambapo kuna ushindani mkubwa pia magori yake amefunga kipindi ambacho sheria ya offside ilikua dhaifu sana sio kama sasa hivi kuna VAR timu ya taifa brazil alizungukwa na mafundi wengi sana hii ilichangia kuonekana ni bora yaani kama pedro wakati wa barca ya gadiora alizungukwa na wachezaji mahiri wengi akaonekana bora ila baada ya kuondoka barca hakuwa na maajabu yoyote maana hakuzungukwa na wachezaji wenye ubora mkubwa kama alipotoka world cup 3 alizochukua pele ilikua ni zamani sana timu nyingi dhaifu na ikumbukwe world cup moja alikua bado mdogo sana akiwa na miaka 17 tu ni sawa na kusema alienda kutalii tu hakuwa na mchango wowote uenda pele na messi wangecheza mpira kizazi kimoja messi angekua juu ya pele
 
Kab
Kila mpenda football anatamani kumuona Messi akibeba hili kombe. Leo Messi anakwenda kutengeneza Historia mpya ya maisha yake ktk futbol.
Kabxa mkuu..Mess amepambana sanaa..ila kwel Mungu anajibu kila ombi la mja wake
 
Sio juu ya ronaldo tu atakua juu ya maradona may be na pele kwa kifupi messi kabakiwa na hii mechi moja tu ya leo hili aandike historia ya mchezaji bora kuwahi kutokea hapa duniani

Respect legend kina maradona na pele, messi kachukua once yes he is best in this erra lakin before yeye kulikuwa na legends before him they did more kuliko messi.
 
Respect legend kina maradona na pele, messi kachukua once yes he is best in this erra lakin before yeye kulikuwa na legends before him they did more kuliko messi.
Ni kweli mkuu na ugumu wa kulinganisha ndo unakuja hapo sasa wamecheza kwenye vizazi tofauti je messi angeweza kuwafunika hao watu kama angecheza kwenye zama zao? Vipi pele na maradona wangeweza kumfunika messi kama wangecheza kwenye zama zake? Ni mjadala mgumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…