Je, milioni 35 nizi-invest katika biashara ipi kati ya hizi?

Ahsante boss.. thank u for ur time.. hapo hardware kwa ushauri yako nifungue ya aina gani
 
Ibetie mkuu jumapili anacheza man city na man u mpe man u win alafu weka hela yote.
 
Kila biashara inalipa......... ukisimuliwa
Sio kila la kuambiwa unabeba, changanya akili zako na za kuambiwa, pili hakuna mlima wa kuteremka tu,changamoto ziko kila mahala.

Mara nyingi siri ya biashara(fursa) wengi hawasemi, ukiambiwa ni aidha huyo ni mtu wako wa dhati kabisa hajaona haja ya kukuficha au la kuna fursa za kupigwa.

Katika hizi za biashara ya pharmacy inalipa huo ndio uhalisia, hii haijalishi saana location, ila ukipata location nzuri inapendeza zaidi. Ninaishi na watu ambao wanaishi kwa pharmacy na hardware pia, ninachokizungumza nakijua kiasi chake.


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Usingetambua thamani ya icho kitu. Ungeona kawaida. Yaani ili uitwe mzuri inabidi mbaya awepo. Ama uitwe tajiri masikini lazima awepo. Sasa wote matajiri hakuna Mana ya utajiri. Do you get me or the concept my dear
Dear!!! Aisee wewe tunaitanaje dear, we ni me au ke..

Joke, [emoji23] yenye kaukweli ndani yake.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa ushauri wangu,
Uza vifaa vya umeme na hardware.

Hardware usiiogope Sana mpaka ukajicomplicate Kwenye madaraja ya foundation, tools &finishing.

Huo mtaji wako wa mil.35 unatosha kabisa kwa kuanza.
(Mimi nilianza na mil.25 TU, nna miaka 18 Kwenye hii biashara)

Wewe Uza materia&tools zile zinazotoka Sana kulingana na Hali ya uchumi wa Sasa.

Zile material high class achana nazo, kikubwa uwe na sampo TU afu wakihitaji unaleta kwa Oda maalum.
 
Ahsante mkuu..so kwa ushauri wako, nianze kwa kuchanganya materials na tools kwa uchache zile zinatoka kwa saana
 
Hongera for 18 years mkuu.
 
Wewe kumbe ndio Financial Analyst ?au sijaelewa hapa
 
Wekeza kwny biashara ambayo una ujuzi nayo, that will be enough. Mambo mengine tunajifunza mbele ya safari
 
Kama umeamua kufanya biashara halali kabisa. Nenda kwenye biashara ya Pharmacy...

Hakikisha unafuata masharti na vigezo vyote... utafurahia thamani ya uwekezaji wako.

Cha muhimu biashara uitegeshe sehemu muafaka
 
Safi Sana Mkuu,Ukimsaidia mhitaji MUNGU anakulipa mara mia.
 
Kwenye biashara ya mchele alianza na mtaji wa Shilingi ngapi?
 
Yaa kitaaluma tunaita Feedlot system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…