Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Naam wivu ni fukuto baya sana.Ndugu zangu cocastic na secretarybird mimj sio nabii ila haitaziidi massaa 24 lazima Binti wa zamani aje na uzi wa mambo bwana yake aliomfanyia kwenye mkesha wa krismasi ili ishinde hii inayotrend sasa hivi
Hakika muweke sawa bwasheee.Namtahadharisha jamaa yangu min -me asije akatapeliwa maana alikuwa nje ya jukwaa wakati tapeli alivyoanza kuwa wa moto.
Nasikia kasahau password ya ile ID ya GENTAMYCINE baada ya kolog out na nasikia anampigia sana simu adriz akimtaka amrudishie lile daftari aliloondoka nalo kwamba lilikuwa limeandikiwa password ya account hiyo 😂.secretarybird
cocastic
Manyau nyau hilooo limekuja si nili waaambia, hapo hapo itaingia ile akaunti ya ertugrul🤣🤣🤣
Haya, shauri yako bwashee 😂.Acha wivu bwashee huyu mrembo nimemwelewa ,kaniachieni haka nitoe upwiru wa jela asee
Unataka kusema nini bwasheeHaya, shauri yako bwashee 😂.
Bwashee nimemwambia lakini anang'ang'ania tu.Hakika muweke sawa bwasheee.
Utakutana na jitu jeusi lenye sauti nzito kama George Bantu 😂.Unataka kusema nini bwashee
😅😅 umeona eenhe, yani mtu anakaa ananiwaza kama mie mumewe 🚮🚮🚮Naam wivu ni fukuto baya sana.
He was talkin about you😂🤡😅😅 umeona eenhe, yani mtu anakaa ananiwaza kama mie mumewe 🚮🚮🚮
Anang'ata anapukiza. Ni rafiki wa Genta sana na ndiye anayemshika akili
Muhimu papuchi iwepo tu bwashee 😁Utakutana na jitu jeusi lenye sauti nzito kama George Bantu 😂.
Hakuna cha urafiki akaunti moja hizo 😂😂😂Anang'ata anapukiza. Ni rafiki wa Genta sana na ndiye anayemshika akili
Nakupenda tu hunaga visilani kama yuleHayo yanazungumzikaa, 😂😂😂😂😂
Huenda taperi limeongeza na ushirikina kidogo ndiyo maana.Bwashee nimemwambia lakini anang'ang'ania tu.
Ipo basi? 😂Muhimu papuchi iwepo tu bwashee 😁
Umejuaje haipo mangi?Ipo basi? 😂