min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wew Sio mbaya ni mzuri sana na mrembo piaKwaiyo mi mbaya
Wew Sio mbaya ni mzuri sana na mrembo piaKwaiyo mi mbaya
We cheka tu.....hayajakukuta 😂.😂😂😂😂😂
Ujumbe ameupata sasa akitapeliwa itakuwa juu yake.Kuwa makini bwana na bwashee, maana hapa kati alikuwa kimya gafla hatukumuelewa, tukikaa kizembe tapeli litapita nae mazimaa.
Anajaribu kuchungulia kaburi kabla ya siku zake za kuzikwa hazijafika.
Comments zake anaweka ma emojs mwengi kama wwYupiiiii?? 😂😂😂😂
Mwanetu miyeyusho sana huyo😂😂😂 Ngoja aingie ile akaunti aliotaka kumtapeli makontena Vincenzo Jr
Mbaya zaidi linakuja limejipodoa mafuta kama makatuni ya mbinguni.Ujumbe ameupata sasa akitapeliwa itakuwa juu yake.
Nawe mkuu. Huu uzi wa HAYA LAND HOV Leo umenifurahisha sana na pia umewafungua macho Wana JF wengi kuhusu shughuli anazofanya bwana manyau nyau.secretarybird usiku mwema ndugu, ila cocastic amecheka leo hadi nimedinda, na HAYA LAND HOV nae anaandaa mafuta kesho akisubiria stori murua ya Binti wa zamani
Anyway until next time guys.
Mtego huoo vijana wangu wawe makini huko PM
Hahaha 😂, hili safari hii linepitea njiaMbaya zaidi linakuja limejipodoa mafuta kama makatuni ya mbinguni.
Exactly 💯 mwana anakimbiza balaaUzi unakimbia kinyama!! 😂
😂😂😂, Habari ndiyo hiyo mkuu. Ukidhani umepata ujue ndo umepatikana mazima.Siamini macho yangu , mtoto mzuri hivi iweje ana miliki mbupu bwashee?
Hatulipii mzigo bila kutolewa kwenye makaratasiUzi unakimbia kinyama!! 😂
Exactly 💯 mwana anakimbiza balaa