Je, mimi ni mrembo sana au wa size ya kati?

Na Kuna yule dogo anae uza TV humu watu wawe nae makini Kila nikimuita pm tufanye biashara ananikimbia Nina mashaka nae hata ofisi Inawezekana hana
Kuna mteja mmoja nikikutana nae fb tukachat akawa ameipenda bidhaa flan ila akawa bado mzigo anao ikapita miezi akaja kunichek kwa call kawaida nikamwambia mzigo upo nikampgia vdio call aone kwa ushahdi hapo hapo akatuma mil 3.2 hapo hapo. Nilifikilia sana moyo wa ujasiri wa huyo kijana alionao . Sasa huyo jamaa ni kama ww ma risk taker pro
 
😃Kaka ni balaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…