Hapa kuna utata sana. Tukisema Tanesco wana mawasiliano na Luku, inakuwaje uingizwaji wa token za Luku ya Tanesco huwa hauleti usumbufu. Maana kama wana network ina maana iko stable balaa...
Majibu kwa wote..ndani ya hiyo meter ya luku kuna line (simcard) ya mtandao wa vodacom. Line hiyo ndo uwa inafanya mawasiliano na server ya vodacom kwenda tanesco.
uwongo mkubwaMajibu kwa wote..ndani ya hiyo meter ya luku kuna line (simcard) ya mtandao wa vodacom. Line hiyo ndo uwa inafanya mawasiliano na server ya vodacom kwenda tanesco.
Kwa maana hiyo sehemu ambazo hazina network za simu, mita za LUKU zitakuwa haziwezi kuwa recharged?Majibu kwa wote..ndani ya hiyo meter ya luku kuna line (simcard) ya mtandao wa vodacom. Line hiyo ndo uwa inafanya mawasiliano na server ya vodacom kwenda tanesco.
Kwenye mita karibu zote kwenye ile screen display zinakuwa na symbol ya network kama zile za kwenye simu, kwa maana hiyo nadhani kutakuwa na mawasiliano na Tanesco. Na kama sio za network zina maanisha nini?
mi binafsi nimeangalia kipindi maalum cha tanesco wakionyesha jinsi wanavyoweza kuaccess taarifa zako za matumizi ya umeme na hata kukukatia umeme wakiwa ofisini, ukiwa unachakachua wanafahamu, mechanism sifahamu, ila luku zinamifumo ya data, huamini uliza tanesco
Mkuu sijakuelewa! Sidhani kama symbol zinazo onekana kwenye screen zina uhusiano wowote na Wireless/wired network. Labda nizumgumzie kidogo kuhusu screen diplay generally, ni hivi Screen zote kuanzia za computer za kawaida, mobilephone, instrumentation (LUKU) zinawekwa pale kukusaidia wewe mtumiaji ujuwe kinacho endelea, lakini vifaa hivyo havielewi lugha ya alphanumerical character (alfabeti, namba, space, linefeed, formfeed nk) vifaa/mashine hivyo vinaelewa lugha ya ki-digitali tu {binari(0 na 1) na hexadesimali(0 - 16 na hizo ubadirishwa kwenye binari)} Kubadirisha text na namba ambazo binadamu anazielewa na kuziweka kwenye lugha ambayo mashines zinaielewa wanapashwa kutumia code ya kubadirisha text na namba na kuziweka kwenye lugha ya kidijiti kwa kutumia ASCII code kama nakumbuka vizuri, na si lazima mashine kutumia code ( ambayo hiko very popular) kuna code nyingine chungu zima cha muhimi hapa ni kubarisha text 2 binary. Back to the point narudia kusema binafsi sijawahi kuona LUKU inayo onyesha symbol za network, sikatai kwamba mita za nama hizo zipo duniani lakini kwa Tanzania sijawahi kuziona. Luku za hapa kwetu - kinacho onekana pale ni kWh, kuonyesha umeme uliobaki kadri unavyo tumia, kuonyesha zero wakati umeme unapokwisha, kuonyesha namba wakati una-topup, kuonyesha kama token imekubaliwa au la, kufuta namba na kuhingiza upya kama ulingiza kwa makosa nk.Kwenye mita karibu zote kwenye ile screen display zinakuwa na symbol ya network kama zile za kwenye simu, kwa maana hiyo nadhani kutakuwa na mawasiliano na Tanesco. Na kama sio za network zina maanisha nini?
Mkuu nafikiri walikuwa wanazungumzia LUKU zilizofungwa viwandani i.e watumiaji wakubwa nafikili siku hizi hizo mita zinafungwa kwenye nguzo mbali kidogo na kiwanda husika hawazifungi ndani ya kiwanda tena, LUKU za viwandani ndio zilizo wekwa mfumo wa kuwa monitored matumizi kutoka ofisi kwao na kufanya lolote wapendalo, sio LUKU za majumbani. Katika kubainisha uchakachuaji wa umeme wa majumbani nadhani wanangalia tred ya matumizi yako ya kila mwezi unapokwenda kununua umeme kutoka kwa wakala wao - hapo ndio wanaweza kugundua kama unachukua muda mrefu sana kabla hujanunua umeme wakilinganisha na historia yako siku za nyuma, kama kungekuwa na mawasiliano ya LUKU za majumbani na Tanesco kusingekuwa na ulazima wa Wafanyakazi wa Tanesco kutumwa ku-disconnect umeme nyumbani kwako wange disable mita wakiwa ofisini. narudia kusema kwamba kihunganishi cha wateja wa majumbani na Tanesco ni wakati unapo kwenda kununua umeme kutoka kwa Wakala wao ukiwa na mita namba yako - mashine za wakala ndio zinawasiliana na Database Servers za Tanesco kwaku-invoke track record yako na kufanya marekebisho fulani mfano malipo ya VAT, madeni kama unadaiwa na fixed costs collected kila mwisho wa mwezi, baada ya kumaliza zoezi hili ndio zitatolewa namba/code zenye information ya kiasi cha umeme ulionunua unapewa ili uzingize kwenye mita manually - kama mita hizo zingekuwa na mawasiliano ya moja kwa moja na Tanesco kuna haja gani ya mteja kununua token na kuzihingiza manually kwenye mita yake, kwa nini hafanyiki automatically kutoka ofisi za Tanesco baada ya kununua umeme.mi binafsi nimeangalia kipindi maalum cha tanesco wakionyesha jinsi wanavyoweza kuaccess taarifa zako za matumizi ya umeme na hata kukukatia umeme wakiwa ofisini, ukiwa unachakachua wanafahamu, mechanism sifahamu, ila luku zinamifumo ya data, huamini uliza tanesco
Hivi unafahamu kuwa tumewekwa kwenye tarif tofauti tofauti kutegemeana na umepeleka mchoro wenye items ngapi wakati wa kuomba umeme?Wanajuaje huo wastani wakati ni 'pre-paid'? Unaingizwaje kwenye tariff ya watumiaji wakubwa au wadogo wakati wewe ni pre-paid, yaani unalipa kabla ya kutumia? Watajuaje kama utatumia kiasi kikubwa au kidogo?
Mkuu, wangekuwa wanafuata mambo ya mchoro wa kuombea umeme mbona wangeshafilisika mapema zaidi kuliko walipo sasa!Hivi unafahamu kuwa tumewekwa kwenye tarif tofauti tofauti kutegemeana na umepeleka mchoro wenye items ngapi wakati wa kuomba umeme?
We usipo nunua umeme wao wanaju mteja fulani mwezi huu akuja .hapo wanajua unachakachua ila ukilipa huku unachakachua awajui hawana network yoyote wale
...wala LUKU haijui TANESCO ipo coordinate gani!So zile code unazopewa baada ya kununua units zinaenda kutafsiriwa na luku ni units ngapi, na si kwamba unapo ziingiza zile code zinatumwa Tanesco kuwa verfied
Kwamaana hiyo LUKU haiwasiliani na server za Tanesco