Hivi kwa mfano ukiamua kununua nyama kilo 100 na kwenda kuwapa mbuzi wanaoteseka huko mitaani kwa kukosa wa kuwapa chakula lengo lako litakuwa limetimia? Kila siku mashehe wanasema futari bora ni ile inayotolewa kwa wenye uhitaji huo, wale ambao hata kupata kikombe cha uji au kokwa moja ya tende kufuturu ni shidaaa...Ww aliyekwambia anatumia hela ya serikali nani au umbea tu unakusumbua huyo mkurugenzi hana hela ya kufutulisha? Wangetangaza manispaa ya kinondoni inafutulisha hapo sawa ujue kutofautisha maisha binafsi ya mtu na ya kazini
Sawa ana hela sasa atumie jina lake kualika watu na siyo cheo chake!Ww aliyekwambia anatumia hela ya serikali nani au umbea tu unakusumbua huyo mkurugenzi hana hela ya kufutulisha? Wangetangaza manispaa ya kinondoni inafutulisha hapo sawa ujue kutofautisha maisha binafsi ya mtu na ya kazini
Ni fedha za umma na ndiyo sababu ametumia cheo chake badala ya jina lake. Kwani thawabu atapata yeye au ofisi anayotumikia?Umejuaje kwa hela ya serikali? Tangu ramadhan imenza ni mwendo wa kutushambulia waisilamu. .
Anafanya ufisadi kutumia fedha za umma kufuturisha watu! Hakuna thawabu yo yote atapata kwa wizi wa fedha za umma!Shida iko wapi apo?
kwaiyo unampangia cha kufanya?
Usimpangie na hela yake mkuu, mwache aitumie anavyoamua. Pia moderators waangalie sio kila uzi ni uzi nyingine zinaharibia watu reputation na kazi zao.Mkurugenzi sio mwanasiasa kwanini awaite viongozi wa CCM?
Unaonekana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Kwanini asingefuturisha walimu au manesi ?
Siyo fedha zake ni fedha za makusanyo ya halmashauri!Usimpangie na hela yake mkuu, mwache aitumie anavyoamua. Pia moderators waangalie sio kila uzi ni uzi nyingine zinaharibia watu reputation na kazi zao.
Hii ni mujibu wa Sheria au Kanuni ipi kwamba ukitumia cheo basi lazima fedha za ofisi zitumike na ukitumia jina lako basi unatumia fedha zako binafsi?Sawa ana hela sasa atumie jina lake kualika watu na siyo cheo chake!
Kwa kutumia cheo chake kualika watu ni wazi zitakazotumika ni fedha za umma na siyo hela yake!
Ni fedha za umma na ndiyo sababu ametumia cheo chake badala ya jina lake. Kwani thawabu atapata yeye au ofisi anayotumikia?
Unaota wewe lete ushahidi hapa.
Naona lililokuudhi ni Kufuturisha na sio matumizi.Kuna taarifa kuwa siku ya kesho mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni anaenda kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa yote ya Kinindoni zaidi ya 150.
Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu?
Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma itakuwaje?
Au ndio urefu wa kamba wenyewe huu?
Mkurugenzi sio mwanasiasa kwanini awaite viongozi wa CCM?
Unaonekana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Kwanini asingefuturisha walimu au manesi ?
Mimi nikiamua kufuturisha na kusema mnaalikwa kwa yule mfanyakazi wa HouseMaker company maana yake natumia pesa ya company?Ni fedha za umma na ndiyo sababu ametumia cheo chake badala ya jina lake. Kwani thawabu atapata yeye au ofisi anayotumikia?
Kwa akili zako kabisa unafikiria pesa zake za mshahara alizoamua kufuturisha ni za kwako au za serikali?Siku Wagala wakikamata nchi wakafanya yao ya Kioaimara sitarajii kusikia kelele toka kwa ndugu zetu wa damu
Mimi nikiamua kufuturisha na kusema mnaalikwa kwa yule mfanyakazi wa HouseMaker company maana yake natumia pesa ya company?
Au kuna askari ameamua kufuturisha basi anatumia pesa za jeshi?
Nyie watu akili zenu mmezipeleka wapi?
Where's your damn brain?
Hatutaki sensa si mliambiwa hii sio nchi ya kidini, hatuwezi kutumia resources za serikali kukusaidia wewe kujua una waumini wangapi kwanini msifanye wenyewe na maustadhi wenu. Cha kufurahisha zaidi ni kwamba hio movement yenu ilikua kipindi 2012 kipindi cha Mkwere ustadhi mwenzako.Ushahidi wakati hamtaki sensa π kwa kuhofia tumewazidi,,pole sana nkoi