Je mtaji wa ml.8 unatosha kufuga layers 600 mpaka waanze kutaga?

Gavinci

Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
48
Reaction score
45
Habari wakuu, naombeni uzoefu wenu hasa kwenye sekta hii ya kuku wa mayai. Binafsi nimewahi kufuga kuku wa kienyeji, chotara, na broilers kwa uchache, ila kwa sasa nahitaji kufuga kuku wa mayai 600 hivyo ningependa kujua gharama zao hasa kwenye upande wa chakula, vifaranga na madawa tuu ukiacha gharama zingine kama banda na vifaa kama drinkers na feeders maana vipo. Bajeti niliyo nayo ni ml.8 naombeni muongozo wenu kama itatosha au kama haitoshi je inaweza angalau kutosha kuku wangapi wa mayai. Kimakazi naishi Tanga~Pande. Ahsanteni na karibuni kwa michango wakuu.
 
Manunuzi @ 2500 x 600..= 1.5m
.....inaweza ikatosha.....utaongeza kdg...

Ukiweza baada miezi 3....tengeneza chakula wewe....wakizooee...kiwe balanced ili wasicheleww kutaga
 
Habari wakuu, naombeni uzoefu wenu hasa kwenye sekta hii ya kuku wa mayai. Binafsi nimewahi kufuga kuku wa kienyeji, chotara, na broilers kwa uchache, ila kwa sasa nahitaji kufuga kuku wa mayai 600 hivyo ningependa kujua gharama zao hasa kwenye upande wa chakula, vifaranga na madawa tuu ukiacha gharama zingine kama banda na vifaa kama drinkers na feeders maana vipo. Bajeti niliyo nayo ni ml.8 naombeni muongozo wenu kama itatosha au kama haitoshi je inaweza angalau kutosha kuku wangapi wa mayai. Kimakazi naishi Tanga~Pande. Ahsanteni na karibuni kwa michango wakuu.
SEHEMU SAHIHI YA KUAGIZA VIFARANGA NI S&Q GROUP OF INTERNATIONAL LIMITED

bonyeza link hapo juu kwa maelezo yote ya kuku
 
banda tayari ninalo mkuu,idadi kubwa ambayo nimewahi kufuga ni kuroilers 170
You are good to good kwa mtaji huo kuwa makini na makampuni ya vifaranga kama ujawai weka oda kwao chukua mzigo kidogo na kwa tahadhari . Kuna wamama mbeya wanalia kilio baada ya kununua vifaranga mmoja ameshapoteza kuku 300 kati ya 500 ,mwingine wameisha kuku 259 na hela ilikuwa ya mkopo
 
Habari wakuu, naombeni uzoefu wenu hasa kwenye sekta hii ya kuku wa mayai. Binafsi nimewahi kufuga kuku wa kienyeji, chotara, na broilers kwa uchache, ila kwa sasa nahitaji kufuga kuku wa mayai 600 hivyo ningependa kujua gharama zao hasa kwenye upande wa chakula, vifaranga na madawa tuu ukiacha gharama zingine kama banda na vifaa kama drinkers na feeders maana vipo. Bajeti niliyo nayo ni ml.8 naombeni muongozo wenu kama itatosha au kama haitoshi je inaweza angalau kutosha kuku wangapi wa mayai. Kimakazi naishi Tanga~Pande. Ahsanteni na karibuni kwa michango wakuu.
kama hiyo ndio hela yako yote uliyonayo usiibwage yote kwenye hiyo issue angalia namna ya kutumia hata milion 5
 
You are good to good kwa mtaji huo kuwa makini na makampuni ya vifaranga kama ujawai weka oda kwao chukua mzigo kidogo na kwa tahadhari . Kuna wamama mbeya wanalia kilio baada ya kununua vifaranga mmoja ameshapoteza kuku 300 kati ya 500 ,mwingine wameisha kuku 259 na hela ilikuwa ya mkopo
Doh aisee nashukuru kwa kunipa tahadhari mkuu. Bado sijajua ni kampuni gani inayotoa vifaranga bora wa layers
 
Back
Top Bottom